International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ndio, lile n taifa la vibopa bwana. Sio wazee wa tshirt na vitenge mixer kubebwa kwny vichanja kwenda kuunga mkono juhudi. Yani USA Mchakato wa raisi huamuliwa na vibopa 538 tuu, na bunge la...
8 Reactions
64 Replies
3K Views
Inawezekanaje kwa miaka zaidi ya 200 Marekani kubwa hivyo yenye wapiga kura takribani milioni 150 na maelfu ya wagombea uchaguzi unafanyika bila wagombea kukamatwa na polisi au mikutano ya siasa...
10 Reactions
45 Replies
1K Views
Marekani inatarajia kufanya uchaguzi wa Rais, Tar 5 Novemba. Kukiwa na wagombea sita wa kiti hicho ambapo wagombea nane, ambapo wagombea wawili kati ya hao ni wasio na vyama vya siasa. Mbali na...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mamilioni ya dola za kimarekani Kwa magaidi wakiachia huru mateka wa Israel. Taarifa zaidi hapo chini kwa kimombo: ========== An Israeli official confirms a Channel 12...
1 Reactions
8 Replies
823 Views
Ni hivi karibuni tu dunia imetoka kuadhimisha siku ya Tiba Asilia, ambapo mchango wa matibabu haya ya jadi kwa sasa umekuwa ukisaidia sana katika sekta ya afya. Kwa karne nyingi, maarifa ya...
0 Reactions
0 Replies
364 Views
As they say, "Power dreams of more Power" Ayatollah na Islamic regime yake ikifanikiwa kumpiga Israel sio tuu kwamba itaji-establish kama moja kati ya nchi za kuogopeka Middle East na duniani...
9 Reactions
196 Replies
5K Views
Siongezi neno.sipunguzi. sisi waislamu wa Buza kwa Mpalange tutatoa neno. FaizaFoxy na Ritz tusiache hili jambo bila kulitolea ufafanuzi.
14 Reactions
206 Replies
7K Views
Waasi wa Houthi wa nchini Yemen wamesema kwamba wamerusha makombora kulenga mji wa Riyadh,nchini Saudi Arabia. Saudi Arabia imefanikiwa kutungua makombora hayo mawili aina ya ballistiki...
3 Reactions
97 Replies
11K Views
Report by; Titu Datta Gupta & Sharier Khan The costly power from Adani’s 1,600MW coal power plant in India is one of the many reasons why Bangladeshis are paying significantly higher rates to use...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mtandao wa Twitter/X ndio jukwaa maarufu zaidi na pendwa la kimtandao kwa miaka mingi ya hivi karibuni katika kutoa taarifa za mambo ya siasa, katika uchaguzi huu wa Marekani unaondelea wadau wa...
1 Reactions
4 Replies
470 Views
Meli ya Kivita ya Israel imepita Suez Canal ikiwa na bendera ya Misri na Israel kitendo kilichowachefua baadhi ya Wamisri. ======= A small group of protestors gathered on the steps of the...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Inasikitisha sana kwa kile kinachoendelea kwenye Bara la Afrika. Huku wananchi wanawachagua( kama kweli wanachaguliwa kwa kura) wakiamini wataenda maofsini kufanya kazi na kukuza uchumi, utawala...
3 Reactions
12 Replies
909 Views
Inafahamika kuwa Israel imeshindwa kuwakomboa mateka wanaoshikiliwa na Hamas kwa zaidi ya mwaka mmoja. Hii ni pamoja na kutumia mbinu na teknolojia za hali ya juu ktk kuwatafuta na kuwaokoa ndani...
9 Reactions
52 Replies
2K Views
Serikali ya Equatorial Guinea imeminya Mtandao wa Whatsapp Nchini humo ili Raia wake wasiweze kupakua (ku-download) na kusambaza picha pamoja na video kwa kutumia Whatsapp, kufuatia kashfa ya...
1 Reactions
3 Replies
771 Views
Naona Serikali Equatorial Guinea wanafanya kila mbinu kuhakikisha mambo yasiwe mengi baada ya huyo jamaa kuchafua hali ya hewa kwenye taifa hilo na nje ya taifa hilo ============================...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Hawa majahili wasiokua hata na mshipa wa aibu ni tatizo la Dunia Tukiri ukweli wote bila itikadi kuwa uzayuni ni kansa ya dunia ya leo NEW: [emoji1134][emoji1146]Israel destroyed The Church of...
8 Reactions
98 Replies
3K Views
Matukio ya hivi karibuni huko Gaza na Lebanon ambayo yameonwa na wadau wengi kuwa ni ukiukwaji mkubwa wa Israel wa haki za binadamu na kuvunja kanuni za Umoja wa Mataifa, yamefanya baadhi ya nchi...
3 Reactions
12 Replies
858 Views
Zikiwa zimebakia siku mbili ili uchaguzi wa Marekani ufanyike, Dunia nzima imeshika pumzi ikitafakari nini kitatokea Marekani. Dunia nzima imegawanyika makundi mawili. Kundi la kwanza ni lile...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Katika ulimwengu huu wenye ubabe mwingi sana wa kitecholojia na uchumi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu. Wamarekani wengi watamchagua Donald Trump ikiwa ni pamoja na vijana wasaka ajira...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Kuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu uwezo wa USA kiichumi, kivita, silaha, technology. Ukweli unabaki pale pale kwamba hakuna taifa lolote linalomsogelea MAREKANI kwenye: a) Uchumi b)...
43 Reactions
219 Replies
9K Views
Back
Top Bottom