Kaburi hilo limelipuliwa na kuharibiwa vibaya mno na waasi waliochukua nchi kwa kumfurusha bashar al assad
Ikumbukwe hafez al assad aliwaua wasunni wengi sana wakati akitawala syria kwa mkono wa...
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, amefanya mabadiliko makubwa ya uongozi kwa kumfuta kazi mkuu wa jeshi, mkuu wa polisi, na gavana wa benki kuu, kwa mujibu wa...
Ukraine wana vita/machafuko lakini wana muda wa kupanga, kulima, na kulisha Afrika 😭😭😭
Ukraine iko vita na kwenye machafuko kwa miaka kadhaa sasa lakini wana mipango dhabiti, wana muda wa kulima...
An Israeli security source tells local media that the country’s military has carried out “one of the largest attack operations in the history of its air force” in Syria following al-Assad’s...
Hamjamboni Watanzania wenzangu
Siku za hivi karibuni, nimekuwa sina furaha, kila nikifungua mitandaoni, Kwenye luninga na sehemu mbali mbali za mitandao nakutana na tarifa za ugaidi zikiwa...
Wakuu,
Mara baada ya Assad kupinduliwa na kukimbia nchi yake kwenda Urusi huku vikundi vya waasi vikiwa vimechukua mambo yameanza kubadilika kwa wana-Syria duniani kote.
Hivi karibuni nchi...
Hii ni taarifa isiyotajwa sana katika vyombo vyetu vya habari nchini.lakini ni tukio linalo-trend nchini Marekani.
kijana Msomi na anayetoka kwenye familia tajiri Ndg.Luig Mangione anatuhumiwa...
Matamshi ya kutaka kuliaangamiza taifa la Israel hayakuanza Leo. Viongozi wengi Wamefanya hivyo tangu zamani.
Baadhi ya hao viongozi ni
1) Pharaoh
2) Haman
3) Nebuchadnezzar
4) Belshazzar
5)...
The United States Air Force has begun bombing Syria.
After the fall of the Syrian government, and the resignation of President Bashar al-Assad, who fled to Moscow, Russia earlier today, the...
Kumba Urusi ndio kinara wa kuuza silaha Africa baada ya China
Silaha hizi ndio zinatumika kuvuruga amani Africa
Siku zote tunalaumi nchi za Magharibi kumbe wachawi halisi ni Urusi na China
Israeli imefanya la kustajaabisha huko Syria
Imeshambulia ngome (bezi) za Syria kwa 80% kwa mashambulizi 250 ambayo yameharibu meli, ndege, vifaru na maghala yote ya makombora na silaha...
Ghadaffi alikataa kukimbia nchi akapambana mpaka tone la mwisho. Alipambana akafa akipambana. Hakukimbilia kwa mabeberu, alipambana akashinda.
Saddam Hussein naye alikataa kukimbia. Alipambana...
Wizara ya Katiba na Sheria imemwekea Rais Yoon Suk Yeol, zuio la kutosafiri nje ya nchi hiyo kwa maelezo kuwa inachunguza madai ya Uasi yaliyoambatana na Amri ya kuiweka nchi chini y Utawala wa...
Shirika la Habari la Serikali ya Syria,SANAA limeripoti kwamba,Msafara wa wanajeshi kadhaa wa Urusi pamoja na vifaa vya kijeshi vimeanza kuondoka nchini Syria.
Video kadhaa zimeonesha msafara wa...
Katika hali ambayo inaonesha kuwa ni kudhibiti bidhaa za China nchini Russia. Serikali ya Putin imeongeza kodi ya bidhaa za China ili kulinda bidhaa zake. Jambo ambalo limeshtua kidogo watu...
Ni eneo la kimakati lililowaumiza Israel vichwa kwa muda mrefu, kilele cha mlima Hermon kiliwapa advantage kubwa Syria na Hezbollah kuichunguza na kuishambulia Israel.
Israel imetwaa eneo hili...
NATO wamecheza mchazo mkali sana wa kisiasa dhidi ya MRUSI.
Mosi, wameanzisha mtafaruku Lebanon kwa kumtumia mshirika wao mkubwa Israel, jambo ambalo limepelekea vikosi vingi vya Hizbullah...
Kiongozi wa waasi, Abu Mohammed al Jolani, ambaye kundi lake lilikuwa kitovu cha mashambulizi ya muda mfupi yaliyomaliza miongo ya udikteta nchini Syria mwishoni mwa wiki hii, ametumia miaka mingi...
Wakuu,
Hivi huyu baba Trump ana washauri kweli?
Hivi karibuni akiwa anaongea kwenye kipindi cha Meet The Press, amesema kuwa kwa sababu nchi wanachama wa NATO hawanunui bidhaa kutoka Marekani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.