International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kwenye mifumo mingi ya sheria ya Magharibi kuna kitu kinaitwa "Plea Bargaining" . Kwenye huu mfumo ni kwamba muendesha mashitaka anatengeneza dili kwa mshitakiwa kushirikiana naye kumpa taarifa...
0 Reactions
0 Replies
330 Views
Taarifa za Damascus kuanguka mikononi mwa waasi zikiwa zinaendelea kusambaa na kusubiria kuthibitishwa rasmi wengi wameshangazwa na waasi wa Syria kuweza kufanikiwa kirahisi na kwa haraka sana...
16 Reactions
85 Replies
5K Views
Huu ndiyo ukweli halisi wa mambo yalivyo na yanayoendea pale Mashariki ya kati, bila kujali uharibifu, vifo, majanga...
0 Reactions
0 Replies
363 Views
Homs tayari imeanguka mikononi mwa waasi Damascus ipo matatani Wakurd jana nao wameteka mji wa mashariki mwa Syria na kuzuia jeshi la Iraq na Iran kutoa msaada wa silaha na kijeshi kwa Assad...
0 Reactions
5 Replies
767 Views
Hivi karibuni kumekuwa na habari kuwa Saudi Arabia iko kwenye mazungumzo ya bei ya mauzo ya mafuta yake kwa sarafu ya China, Yuan. Ingawa baadhi ya nchi zinaunga mkono sarafu ya China Yuan kuwa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Saudi Arabia itaendelea kutumia dola ya Kimarekani katika biashara ya mafuta baada ya kuona kwamba kuachana na sarafu hiyo yenye nguvu duniani itaiathiri uchumi wake. Saudi Arabia bado...
1 Reactions
5 Replies
886 Views
Jeshi la Anga la Israel, Israel Air Force(IAF) linafanya mashambulizi ya anga mbalimbali nchini Syria,hii ni baada ya Serikali ya rais Bashar Al Assad wa Syria kuangushwa na Waasi wa Hayat Tahirir...
11 Reactions
41 Replies
3K Views
Wakati ambao Israel wako tayari kugharimika ili kupata watu wake kwa hali na mali kuna jamaa fulani wa itikadi ya kitapeli wanaruhusu watu kuoa watoto hadi wa miaka 9. === Waziri Mkuu wa Israel...
7 Reactions
68 Replies
2K Views
Libreville, Gabon Rais mpya wa Gabon anashtua kila mtu, Nitawaua Nyote Mnaohusika na mgao wa umeme ... https://m.youtube.com/watch?v=aBdYmZ54h9A Rais wa Gabon , Jenerali Oligui Nguema ametishia...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
% kubwa ya hawa makamanda walioongoza haya mapinduzi ni tawi la Al- Qaeda (Kikundi cha Waislam wenye itikadi kali) ambacho Us alisema ni MAGAIDI. Al- Qaeda ingawa kwa sasa hawavumi sana lakini...
0 Reactions
5 Replies
741 Views
Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imelalamikia shambulizi la anga linaloshukiwa kufanywa na Israel, ambalo limepiga jengo la ghorofa katika kitongoji cha Mezzeh mjini Damascus na kusababisha vifo...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi ndugu zangu Mimi huwa najua waarabu ndo watu matajiri zaidi duniani nikiamini Mansour wa Man City atakuwa hata tajiri wa tatu au nne duniani kumbe hata kwenye matajiri mia mbili...
8 Reactions
59 Replies
3K Views
Baada ya utawala wa Assad kuondolewa, wananchi wa Syria wamevamia ubalozi wa Iran mjini Damascus na kuharibu mali ikiwemo Samani na komputa. Je mahusiano kati ya Iran na Syria yanaendelea Kama...
9 Reactions
15 Replies
1K Views
Kampuni ya Orano ya nchini Ufaransa imepoteza udhibiti wa mgodi wa Uranium wa Airlit wa nchini Niger uliokuwa ukiendeshwa na Kampuni tanzu ya Orano iitwayo Somair. Orano ambayo ni kampuni...
0 Reactions
1 Replies
452 Views
Afichua fununu za nia ovu za Rwanda Asema hatuziamini, lakini hatuzipuuzi Rais Jakaya Kikwete Rais Jakaya Kikwete, ameeleza kuhuzunishwa na jinsi serikali na viongozi wa Rwanda...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Nimeona beberu Trump yupo kwenye ikulu ya ufaransa wanagonga mvinyo na kina macron na zelewensk Kwanni wanamruhusu huyu mtu kufanya vikao wakati Biden hajakabidhi kijiti? Wajuzi mniambie kwann...
1 Reactions
10 Replies
878 Views
Wakuu, Waasi sio kwamba wameamua ku-deal na Bashar Al Assad tu, sasa hivi wamemkamata hata Wazri Mkuu wa nchi hiyo. Kwenye video inayosambaa kwa kasi mtandaoni, Waasi wa kundi la Dara...
5 Reactions
107 Replies
6K Views
Tumesimama kando ya ikulu ya rais, moja ya jumba alimokuwa akiishi Assad. Watu wengi, wengi wakitoka vijijini, walivamia ikulu na wamekaribia kuharibu kila kitu. Kufikia wakati tunafika, mahali...
2 Reactions
4 Replies
849 Views
Shambulio la IDF Leo Gaza huko eneo la Beit Lahia limeua wapalestina 106 na kuacha maelfu wakijeruhiwa. --- Raia takriban 34 wa Palestina wameuwawa kufuatia shambulio la lililolenga jengo moja la...
6 Reactions
97 Replies
3K Views
Back
Top Bottom