International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Sweden leo itatuma ndege pamoja yenye watu wenye asili ya Iraq Kwenda Iraq ambao WATAFUKUZWA KWA NGUVU (deportation) kutoka Sweden hadi Iraq. Baadhi ya Wairaq ambao watafukuzwa leo wamekuwa...
29 Reactions
178 Replies
15K Views
Wadau hamjamboni nyote? Haya ni maoni yangu binafsi kwa Rais wa Iran Naamini anakubalika na wote kuanzia mashariki hadi magharibi, kaskazini hadi kusini! Mwenyezi Mungu azidi kumpa hekima...
1 Reactions
10 Replies
806 Views
Kiongozi mkuu wa Waasi, bwana Abu Jolani ametoa hotuba ambayo imetafsiriwa ililenga zaidi kuuambia Ulimwengu ni nini anakusudia kwa Taifa la Syria. Ameitolea hotuba yake ndani ya msikiti mkuu wa...
26 Reactions
74 Replies
5K Views
Haya mambo kiukweli yananichanganya Bado sijaelewa picha inayochezwa hapa. Leo katika Hali inayoonesha kuwa Urusi imeutambua rasmi uongozi wa mpito wa waasi wa Syria imepokea mabadiliko ya...
10 Reactions
132 Replies
6K Views
Wanaukumbi. 🚨#BREAKING: Israel imezidisha uchokozi wake kwa kuingia katika miji mitano katika Milima ya Golan ya Syria. Miji mitatu kati ya hii iko ndani ya eneo la buffer lililosimamiwa na UN...
4 Reactions
101 Replies
7K Views
Sheria mpya inayopendekezwa nchini Iraq inayolenga kupunguza umri wa ridhaa ya Ndoa kwa Wanawake hadi miaka tisa, jambo linalolenga kuruhusu Wanaume Nchini humo kuoa Wanawake wakiwa na Umri mdogo...
1 Reactions
47 Replies
2K Views
Rais wa Uturuki katikati ya vita vya Gaza alitangaza ataingia Israel ili kuizuia Israel isiendelee kuwaua wapalestina, Hilo jambo hakulifanya kamwe. Anachokifanya sasa kuwapa silaha waasi na...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Ni rahisi muislam kushawishika na kua na nia, kuatayari kujitolea au kupigania dini bila ya kua na mpango unaoeleweka. kwa sababu hiyo, watu wenye mipango wanawatumia sana waislam kwa kigezo cha...
4 Reactions
10 Replies
694 Views
Russia walishaonesha kuwa hawawezi peleka wanajeshi kule Syria sababu nao wana kibarua kigumu na Ukraine. Irani wamekuwa paralysed na israel hasa kile kipigo cha mwisho cha ndege za kuendeshwa na...
4 Reactions
10 Replies
738 Views
Ni kwa mara nyingine Trump anaukataa mshahara wa Urais, dola 400,000 kwa mwaka (shilingi bilioni 1 na milioni 40) ili usaidie wenye uhitaji na shughuli za kimaendeleo. Kama ilivyokuwa katika...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Kuna kila dalili kuwa kituo kinachofuata baada Syria ni Iran. Baada ya kusoma komenti kadhaa za waajemi masaa machache yaliyopita katika mtandao wa X, nimebaini ya kuwa utawala wa kifamle...
7 Reactions
44 Replies
3K Views
Wanaukumbi. ⚡️BREAKING: Sasisho la mazungumzo ya kusitisha mapigano: Kulingana na vyanzo vya kipekee vya Al-Araby TV: ➤ Hamas imewasilisha Misri orodha ya wafungwa ambao wataachiliwa katika...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Imetangazwa dakika chache zilizopita na vyombo vya Habari ===== UPDATES: ===== Rais wa zamani Donald Trump kutoka chama cha Republican, ameshinda Uchaguzi wa Marekani. Chanzo: Spectator Index...
74 Reactions
559 Replies
32K Views
Waziri Mkuu wa Canada Justin Tradeu ameyasema hayo leo kwenye Mtandao wa X.Wananchi wengi wa Canada wamempongeza kwa hatua hiyo. Wachunguzi wengine wa mambo wanasema ni Pressure za Raisi mteule...
6 Reactions
52 Replies
2K Views
Russia can't manage to fight in multiple front lines. They have a limited resources. Balshar Assad regime has collapsed due to its ally (Russia) failure to step in and help. Russia is engaged...
28 Reactions
69 Replies
3K Views
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda sasa bila kupata majibu. Kwa nini Hamas walianzisha chokochoko ambayo msukosuko wake hawawezi kuustahimili? Wapalestina wa Gaza wanapaswa kuilaani kabisa Hamas na...
48 Reactions
118 Replies
6K Views
Kuna watu huwa wanawaona waarabu kama hawana akili za kujitegemea. Sasa Bashir Assad kaondolewa madarakani. Jee kaondolewa na Wasiria peke yao ama hao Wasiria wamesaidiwa na Marekani au Russia...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari za hivi punde zinadai,Wapiganaji wa HTS ambao wanasadikika kuungwa mkono na nchi ya Uturuki, wameuzingira mji wa nne kwa ukubwa nchini Syria wa HAMA kusini Magharibi mwa nchi hiyo. Mji huo...
22 Reactions
832 Replies
24K Views
https://youtu.be/NM2hAO4p8IU?si=6YELos-i_A88ekRw Inavyosemekana mauajj yametokea mapema asubuhi mishale ya saa 12 na dakika 45 nje ya hoteli ya Hilton. Huyo CEO ni Brian Thompson. Inavyoelekea...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Wanaukumbi Moscow anaomba msaada kwa Mturuki baada ya kuzingirwa na vikosi vya waasi. ========== Russian troops have requested Turkey’s support for their safe exit from Syria following a...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom