Mahakama ya Katiba nchini Zambia imetoa maamuzi kuwa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Edgar Lungu hawezi kuwania tena kiti cha Urais kwenye uchaguzi wa mwaka 2026 kwa kuwa tayari amehudumu mihula...
Niaje niaje, katika kuendeleza msururu wa matukio baadaya kuanguka utawala wa mkono wa chuma kutoka kwa familia ya asad waasi waliopindua serikali wamechoma moto kaburi la baba yake na asad.
Hii...
Siku mbili tangu raisi Bashar Al Assad aondolewe madarakani kutokana na upinzani ulioongozwa na wanamgambo wa chamba cha Hizbu Tahrir,dalili zote zinaonesha watu hao wanaoingia madarakani si...
Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake, ataimiliki nyumba ya Yakobo hata milele, na ufalme wake utakuwa hauna mwisho.
Wadau hamjamboni nyote?
Nafarijika nikisoma maneno hayo...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini:
December 12, 2024
Pope meets PA’s Abbas at the Vatican for first time in three years
By Agencies and ToI Staff
Today, 2:59 pm
Pope Francis...
Amani kwenu watumishi
Wamewahi kutokea viongozi wengi lakin sisi Gen Z hatukuwashudua
Lakini katika generation yetu hii huyu jamaa mwamba wa kuitwa Benjamini Netanyau ndo mtata zaid kwa sasa...
Jeshi la Urusi hii Leo limeuzuia msafara wa Majeshi ya Marekani uliokua unataka kuingia katika mji Qamishlo nchini Syria na kuualazimisha kugeuza kurudi ulipotoka.
Source: Visegrad24 X account
Vyombo mbalimbali vya habari Nchini Urusi vimethibitisha kuwa Kiongozi wa waasi huko Syria baada ya majadiliano ya muda amekubaliana na serikali ya Urusi kuendelea kutekeleza majukumu yake nchini...
Kuna baadhi ya mambo yana shangaza dunia hii hasa hapo middle east.
Mfano mgogoro huu unao endelea Syria baada ya aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al- Assad kupinduliwa na wanaoitwa waasi au...
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) hivi karibuni liliamua kuorodhesha Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina kwenye mali za urithi za kiutamduni za bindamu...
Mkutano wa mwaka 2024 wa Kazi ya Uchumi wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China unafanyika hapa Beijing. Mkutano huo utachambua hali ya sasa ya uchumi wa China, na kuamua mwelekeo wa sera...
Wanajamii waswahili walisema kikulacho kimo nguoni mwako, usemi huu umedhihirika baada nyaraka kuvuja zikionyesha utawala wa aliyekuwa rais wa Syria Asad alikiuwa akishirikiana na serikali ya...
Amani kwenu waungwana
Baada ya wakristo wa south Sudan kuwaachia wasudan nchi yao Mambo yanaendelea kuwa Mambo
Watu wa Sudan waliwaita wasudan kusin kuwa ni makafiri na wakaitangaza Sudan kuwa...
Hii ni elimu ya juu Sana. Kama uelewa wako ni mdogo, utabaki kupolomosha matusi.
Taifa LA Israel limejengwa juu ya watoto 12 wa Yakobo.
Miongoni mwa wale watoto, alikuwepo mtoto kwa jina la...
Wanaukumbi.
Waasi wanaoungwa mkono na Uturuki, Israel, Ulaya na Marekani wanatumiwa kuungusha utawala wa Rais Bashar al-Assad.
Ulaya na Marekani hapa wapambana na Urusi baada kushindwa...
Syrian rebel fighters have destroyed the tomb of late president Hafez al-Assad, father of ousted president Bashar, in the family's hometown.
Videos verified by the BBC showed armed men chanting...
Kwa kiongozi mwenye Hekima yeyote angechukua maamuzi kama aliyoyafanga Assad. Tayari fitina ilikua imeshaingia ndani ya nyumba . Assad angesema apambane ni wazi kungetokea Mauaji ya wenyewe kwa...
Behold what the West and Israel has done by overthrowing Assad in Syria
America, Europe, Israel, Turkey, Saudi Arabia et.al., the three brief videos below demonstrate what YOU have done, by...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.