International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Allah amesema kisasi ni haki, sasa Iran baada ya kupokea kichapo toka kwa marubani wakike wa ISRAEL, eti mpaka sasa ni zaidi ya mwezi wanaogopa kulipa kisasi. Mwanzo walikuwa na mbwembwe sana...
19 Reactions
72 Replies
3K Views
Mahakama ya Rufaa ya D.C. imetangaza uamuzi wa kuunga mkono sheria inayotaka ByteDance, kampuni mama ya TikTok kutoka China, kuuza hisa zake za programu hiyo ifikapo Januari 19, 2025, la sivyo...
6 Reactions
48 Replies
3K Views
Mahakama imeamuru Matokeo ya Uchaguzi Mkuu yahakikiwe ikiwa ni uamuzi unaotokana na Kesi ya kupinga Matokeo hayo iliyofunguliwa na Vyama vya Independent Patriots for Change (IPC) na Landless...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Closed
Kuna kipindi mtume aliagiza wanaume wa Wayahudi wachinjwe na wakachinjwa sana tu kwa ukatili mkubwa hadi watoto wa kiume waliobalehe, ila hatimaye alijifia na bado Wayahudi wakaendelea...
7 Reactions
54 Replies
3K Views
Habari inayosambaa Mitandaoni: Wadruze wa Syria wanaomba wao wenyewe kuunganishwa eneo la Milima yao ya Golan yote iwe ndani ya taifa la Israeli. Jumuiya ya Wadruze wa al-Hader nchini Syria...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Waasi walioiangusha serikali ya Assad waapa kuendeleza mapambano ili kuiteka Yerusalem. Kwa mnaojiuliza sababu za Israel kuitwaa miji mitano ya Syria na vilele vya Hermon baada ya regime...
27 Reactions
173 Replies
9K Views
Habari za wakati huu waungwana wa jamiiforums. Ni nani alikuwa nyuma ya kuvunjika kwa taifa la Sudan? Je, ilikuwa ni vita ya mabeberu dhidi ya uchumi (mafuta) wa Omar al-Bashir? Ni kweli kwamba...
12 Reactions
78 Replies
10K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kazi ya kusafisha magaidi ya Hamas haijapoa na inakwenda spidi ya kasi kubwa! Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: ========== Live Update arrow right icon From the...
12 Reactions
142 Replies
5K Views
Mwana anasisitiza watu wazaliane unlike yule mwenzie wa makompyuta anaeshadadia depopulation. Heko kwa huyu mwamba, dunia inahitaji watu. The future of humanity is through birth.
4 Reactions
6 Replies
547 Views
Mapigano ndani ya Damascus kwa sasa!!! Rebel forces have declared Syria "free", saying the "tyrant" President Bashar al-Assad has left. It is the end of a dark era and the beginning of a new...
18 Reactions
385 Replies
20K Views
Uwepo wa Ukristo barani Afrika unaendelea kuendana na hali za kijamii, kisiasa na kiuchumi za bara hili. Hotuba inayozunguka taasisi ya Kikristo barani Afrika ni ngumu, yenye viwango tofauti vya...
9 Reactions
42 Replies
4K Views
Sawa, Tupe data za kweli sasa. Unajua inahitaji research ya kweli independently Hao wazungu ni kawaida Yao kupigia chapuo uwongo wao na kuwalisha jamii. Hivyo Elon Anataka utajiri uongezeke na...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Israel imeingiza vifaru kwenye eneo la kijiografia la Syria. Kinyume cha utaratibu. Inashambulia uti wa mgongo wa jeshi lililoshindwa la Syria. Kana kwamba wanataka serikali itakayokuja hata kama...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? IDF kwa sasa haina mpango kabisa wa kuondoka kwenye vilele vya mlima mrefu kabisa wa Hermon huko Syria hadi hapo hali ya usalama itakapokuwa nzuri! Taarifa kamili hapo...
1 Reactions
0 Replies
341 Views
Familia ya Rais Assad imekimbia nchini Syria wakati ambapo waasi wamebakiza maili 12 kuutwaa mji wa Damascus. Mke wa Assad na watoto wao wamekimbilia Urusi , huku wanafamilia wengine kama ndugu...
12 Reactions
86 Replies
5K Views
Mtu inabidi amwambie huyu Papa feki kwamba Yesu alizaliwa, alilelewa, aliishi na alikufa kama myahudi aliyeishi Judea. ====================================== Pope Francis unveiled the annual...
5 Reactions
119 Replies
6K Views
Na wote kila mmoja anaamini anayafanya kwa ajili ya yule mungu wao kwenye dini yao.... At least 127 people, mostly civilians, were killed in Sudan on Monday and Tuesday by barrel bombs and...
3 Reactions
4 Replies
812 Views
Wapiganaji 100 wa Hamas wamekamatwa Leo na jeshi la Israel IDF. Kwa Sasa wapo Chini ya ulinzi. Haya yanatokea baada ya kuonekana wapiganiji wa Hamas wamo ndani ya Hospitali huko Gaza. Ndipo...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa mpya kabisa operesheni za kijeshi za IDF kuwaua Viongozi magaidi inaendelea kwa Kasi ya kutisha Muda mfupi uliopita Kamanda Mkuu wa Hamas aendaye Kwa jina la...
8 Reactions
74 Replies
3K Views
srael has confirmed its involvement in the abduction of Lebanese national Imad Amhaz. The Israeli Army Radio reported that the operation was planned well in advance, awaiting the right moment for...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
Back
Top Bottom