Mbu Milioni 32 Wenye Ugumba Kuachiliwa Marekani Kupambana na Magonjwa
Inaripotiwa kuwa Google inajiandaa kuachilia mbu milioni 32 waliotengenezwa maabara na wasioweza kuzaliana katika maeneo...
Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama wa Kitaifa katika Bunge la Iran Ebrahim Azizi:
Ikiwa mashambulizi dhidi ya Lebanon hayatakoma kabisa, siku za giza zinangojea utawala wa Kizayuni na vikosi vya...
Jeshi la IDF liliteka tena Ngome ya Beaufort huko Lebanon ambayo Israel iliikalia kisheria kuanzia 1982 hadi 2000 katika vita vya kwanza vya Lebanon.
Safari hii Magaidi wa Hezbollah wanapigwa...
Utawala wa bashar al assad umeanguka
Utawala wa assad ungetakiwa uanguke miaka zaidi ya 10 iliyopita sema kilichokua kinamsaidia ni msaada wa russia na iran ulimfanya kuweza kudumu kwa mda wote...
Kiongozi wa kundi la wanaharakati wa kuwaondoa wageni nchini Afrika Kusini, Jacinta Ngobese-Zuma, hivi karibuni amerekodiwa kwenye video akimuomba na kumsihi mzungu mmoja awaajiri raia wa Afrika...
Kuna mtego ambao Iran anaingia pasipo kujua
Ushabiki wekeni pembeni tujiulize kabisa kama Marekani na Israel wana uwezo wa kujua siri za ndani ya Iran yaani nina maana kujua wapi viongozi wa juu...
Hili ni tishio jipya la usalama Kwa nchi zetu za Africa.
Uwepo wa Wagner group Africa kunapelekea mapinduzi ya kijeshi kwa Serikali halali za Africa haswa zile zisizo egemea upande wa Urusi...
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limetuhumu jeshi la Mali na kikundi cha kijeshi cha Urusi, Wagner, kwa kuhusika na mauaji ya jamii ya Fulani na kutoweka kwa...
Assad na familia yake wamefika salama Moscow. Serikali ya Urusi yawapa hifadhi kuishi humo kwa muda wote.
===
Syria’s Bashar al-Assad and his family have arrived in Moscow and have been granted...
Honestly, kuanguka kwa huyu mwamba kiboko ya mataifa ya magharibi kumenihuzunisha sana. Was it coincidence or planned. Mbona imekuwa haraka sana wakati jana tu nimeskia Hezbollah wametuma maelfu...
Ghana wapo kwenye mchakato wa kupitisha Sheria ya kuwaruhusu wananchi wenye uraia nchi nyingine(diaspora) kuwa na fursa ya kugombea ubunge na kuwa na haki ya kuteuliwa nafasi ya uwaziri! Cha ajabu...
⚠️Picha za picha kali sana⚠️ GRAPHIC-VIDEO
Umoja wa Mataifa umeongeza vyombo vya Israeli kwenye orodha yake nyeusi ya unyanyasaji wa kijinsia unaohusiana na migogoro kwa mara ya kwanza, ukitaja...
Wanaukumbi.
🇮🇷 Iran is not backing down and sent a clear message 🔥
Trump at 6:00 PM: "Accept our terms or there will be no deal."
🇮🇷 Iran at 7:00 PM : "Listen, Trump. If you propose changes to...
Ni suala la muda tu ulimwengu utaanza kushuhudia matukio ya kigaidi duniani, hususani dhidi ya Marekani, raia wake na washirika wake. Matukio hayo hayatakua ya kushangaza sana duniani katika siku...
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje, Lin, amesema China itatuma timu ya wataalamu wa afya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ili kusaidia mapambano dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola katika ukanda...
Irani wajiangalie sana.
US wanapoteza muda makusudi Ili Israel wapate muda mzuri wa kuivuruga Lebanon na kuwafukuzia mbali Hez bulaa Ili wakianza tena kuwashambulia Irani wasipate kipigo kutoka...
Wanaukumbi.
Macron amwita Rais wa Iran Dkt. Masoud Pezeshkian:
Usikaze tena kufunga Mlango-Bahari wa Hormuz na unaweza kupata chochote unachotaka… Ufaransa na Ulaya ziko tayari kufuta vikwazo...
Wakati kakaake Fidel akiwa Rais ye ndo kidume cha utekaji, utesaji, ufiraji, ubakaji na mauaji
Lakini hizi jinai za damu huwa haziozi. Methali za mavi ya kale hayanuki ni uongo tulikaririshwa...