International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mara afukuze wafanyakazi anavyotaka, Mara aajiri anavyotaka, Mara ayafute mashirika anavyotaka, Mara aifute mikataba ya watangulizi wake hovyohovyo, Leo tena ameamuru sarafu flani isitengenezwe...
4 Reactions
19 Replies
852 Views
Hili ni kinyume cha sheria. Si Donald Trump wala Elon Musk anayo mamlaka ya kufuta USAID; ni Bunge (Congress) pekee linaloweza kufanya hivyo kwa kupitisha sheria. Kesi za kisheria zinaendelea...
6 Reactions
143 Replies
6K Views
Wateja wakubwa wa bidhaa zote za Rwanda kuanzia madini, kahawa hadi chai kwa nje ya Waafrika ni Waarabu wa UAE na China. Katika kelele zote za Congo kutaka watu wasitishe kununua bidhaa za Rwanda...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Mwandishi UMUTONI Adeline arekodi video kuonesha Wanajeshi wa DRC walioshindwa na M23 wanavyoishi kwa tabu Goma
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanakataa kuonekana kama wasaliti kwa waarabu wenzao kwa kukubali wahamishe i.e kuwafavor wazayuni Wao wenyewe hawana maeneo ya kutosha ( hii sio kubwa sana) Strong one: wanajua Israel...
3 Reactions
6 Replies
539 Views
Mfalme Abdullah wa Jordan na Mwanawe Wamtembelea Trump Ikulu Mfalme Abdullah wa Jordan na mwanawe wametembelea Ikulu ya White House kwa mazungumzo na Rais wa Marekani, Donald Trump. Mkutano huo...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Kwa uonavyo wewe kati ya colonel Muammar Gaddafi au Nelson Mandela (Tata Madiba) nani shujaa/mwamba wa Afrika? Ninaomba tusimuongelee mwalimu Nyerere kwa maana yeye nafasi yake kwa Afrika haina...
26 Reactions
577 Replies
73K Views
Habari Wakuu! Mwanamke wa kwanza wa kiafrica kuwa nuclear physicist amefariki dunia tarehe 9/02/2025 akiwa na umri wa miaka 37. Mwanamke huyu anaitwa Senamile Masango ambaye amezaliwa mwaka 1987...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Kagame ameleta msimamo wa M 23 kuwa watambulike na congo DR, sijui ni kivipi serikali ya Congo haiwatambui Wanyamulenge? RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, amesema nchi yake haiwezi kukaa kimya wakati...
16 Reactions
93 Replies
5K Views
Je sisi ni raia wa Marekani ? Je tunalipa kodi au tozo Marekani? Je tunawafanyia nini cha Maana Marekani tustahili misaada ? Kwa Nchi za Afrika hasa Tanzania mna Madini ya aina mbali mbali...
18 Reactions
51 Replies
3K Views
Angola imerekodi visa 3,402 vya kipindupindu na vifo 114 tangu mlipuko huo uanze mapema Januari, kulingana na taarifa ya kila siku ya Wizara ya Afya kwa vyombo vya habari jana (Jumanne). Tangu...
0 Reactions
1 Replies
257 Views
USA is the land of immigrants, they came from all over the world. When they were few it was normal, but now, as population increase, the expansion among communities is visibly noted. The only...
1 Reactions
1 Replies
578 Views
Wakuu, Kama unafuatilia uchaguzi unaoendelea nchini Marekani basi bila shaka utakuwa umemuona Bilionea Elon akiwa bega kwa bega na Donald ambaye amechaguliwa kuwa Rais wa 47 wa Marekani...
2 Reactions
6 Replies
922 Views
Huyu bwana Trump Rais wa marekani wakati wa kampeni zake kabla hajawa Rais wa marekani mara kadhaa alikuwa akisema ataiwekea China tarriffs za 60% kwa bidhaa zote zitokazo China. Jambo la...
3 Reactions
19 Replies
766 Views
Nchi ya Burundi, inayohusika na vita vinavyoendelea mashariki mwa Congo, kupitia makubaliano ya ushirikiano kwa mambo ya kisalama, kuanzia Septemba 2023, na hili jambo liliifanya Burundi kuwa...
9 Reactions
160 Replies
8K Views
Nimesoma communique ya Joint Summit (EAC-SADC) majeshi ambayo hayajaalikwa Congo yanapaswa kurudi kwao. Je mojawapo NI Jeshi la Rwanda? Shame on you PK Soma: Kagame awatuhumu SADC na Ramaphosa...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
MGOGORO PALESTINA, ISRAEL; UTAKATIFU JERUSALEM KIKWAZO CHA AMANI KISIASA na kihistoria kwa marejeo ya miaka 500 hadi milenia moja iliyopita, Israel ni wavamizi, waliingia kwenye miliki ya...
18 Reactions
206 Replies
9K Views
Trump anafikiri anaweza kumwendesha kila mtu atakavyo. Amekutana na kisiki cha China, hakitaki masihara hata kidogo. Ukimwaga mboga wenzako wanamwaga ubwabwa.
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Baada ya wiki, mji wa Goma mashariki mwa DRC, kuangukia mikononi mwa kundi la M23, uongozi huo umewaweka viongozi wapya, ili jamii iweze kuendelea kupata huduma za kiserikali. Bwana BAHATI MSANGA...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Saudi official Al-Saadoun says if Trump wants to be a 'hero of peace', he must move his Israeli loved ones to Alaska and then to Greenland after annexing it. =====================...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Back
Top Bottom