SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,802
Nimesoma communique ya Joint Summit (EAC-SADC) majeshi ambayo hayajaalikwa Congo yanapaswa kurudi kwao. Je mojawapo NI Jeshi la Rwanda? Shame on you PK
Soma: Kagame awatuhumu SADC na Ramaphosa kuwaunga mkono Congo. Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama SADC ni Rais Samia!
Soma: Kagame awatuhumu SADC na Ramaphosa kuwaunga mkono Congo. Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama SADC ni Rais Samia!