International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ndege zote zilizosajiliwa nchini Rwanda au kwingineko lakini zenye Makao yake nchini Rwanda, zimepigwa marufuku kuruka juu ya anga ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mamlaka ya DR Congo...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Hamas imetangaza Alhamisi kuwa itawaachilia huru mateka watatu wa kutoka Israel kama ilivyopangwa. Awali, Hamas ilikuwa imetishia kuchelewesha kuachiliwa kwa mateka, ikidai Israel haijatimiza...
1 Reactions
2 Replies
666 Views
Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Iran kupitia Jeshi lake la irgc wameanza kuwapelekea Fedha magaidi ya Hezbollah kupitia uwanja wa ndege wa Beirut =============== Iran’s IRGC Quds Force has...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Siku ya jana, Elon Musk alimtembelea Rais wa Marekani Donald Trump kwenye ofisi ya Rais maarufu kama Oval Office. Kilichovutia na kushtua wengi ni baada ya kumleta mwanae...
11 Reactions
43 Replies
4K Views
U.S. Senate CONFIRMS Robert F. Kennedy as Secretary of Health and Human Services Hal Turner World February 13, 2025 By a Vote of 52 to 48, the United States Senate has CONFIRMED the nomination...
0 Reactions
2 Replies
549 Views
Kama mmoja wa Taifa na Bara ambalo limekuwa marginalized kwa kutumia mabavu hapo kabla na mpaka sasa hivi kwa hila / ujanja na ulafi wa viongozi wetu ninafurahia kinachotokea.... Nina uhakika...
9 Reactions
69 Replies
2K Views
Raisi WA Ukraine Vlodomir Zelensky amesema nchi yake iko tayari kutoa kipande Cha ardhi yake Kwa urusi ili kumaliza vita na uhasama baina Yao. Chanzo: SPECTATOR INDEX
7 Reactions
46 Replies
4K Views
Trump anasema kuwa namna Rais Putin alivyotangaza majimbo mawili makubwa ya Ukraine kuwa huru, hayapo ndani ya Ukraine, ni namna ya kipekee iliyotumia akili kubwa mno (Genius). Trump akaendelea...
18 Reactions
134 Replies
12K Views
Baadhi ya wanawake ambao waume zao walikuwa wanajeshi wa FRDC(jeshi la DRC), wanahangaika sana baada ya waume zao kufia vitani, wengine wapo kambini ilipo MONUSCO, wengine wamekimbilia nchi jirani...
0 Reactions
1 Replies
450 Views
Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya urusi imeshtukia mchezo mchafu baada ya kugundua vifaa vya mawasiliano walivyouziwa/ kupewa na kampuni ya kichina kukutwa vimetegeshwa vilipuzi Kama vile...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kumekuchaa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Dozens of Lebanese nationals have been stranded at the international airport in Tehran since this morning after...
2 Reactions
6 Replies
738 Views
Wadau hamjamboni nyote? Bahari nzuri ya kupendeza ya galilaya imefanana na bara la Afrika Maji yake Yana baraka kubwa sana Mungu ibariki Israel
9 Reactions
31 Replies
2K Views
The European Union member countries which includes France, Germany, Italy, expressed their shared commitment to multilateralism, the rule of law, non-racialism, and non-sexism in South Africa...
4 Reactions
4 Replies
893 Views
Raia wengi wa Nigeria wamekuwa wakihusishwa na utapeli kila kona ya dunia kuanzia nchi za Africa, Uarabuni, Ulaya hadi Marekani. Kwa nini Nigeria imekuwa ikizalisha matapeli wengi hivi wa...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Kweli kuwa Bilionea siyo mwisho wa matatizo. Angalia mahusiano mabaya ya Elon Musk dhidi ya wanafamilia wake:- 1. Wake wa Zamani Elon Musk amewahi kuoa mara mbili kwa wanawake wawili tofauti...
9 Reactions
100 Replies
6K Views
Baada ya wiki mbili, kufuatia vita vya serikali ya DRC na kundi la waasi la M23, wanajeshi wa FARDC, waliokuwa wamekimbilia kwenye kambi ya MONUSCO, wameamua kutoka na kujipeleka kwenye kambi ya...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
12 February 2025 Arusha, Tanzania DR CONGO YAFUNGUA KESI MAHAKAMA YA AFRIKA, RWANDA YAWEKA PINGAMIZI MAHAKAMA HAINA MAMLAKA DR Congo Vs Rwanda Katika Mahakama ya Afrika-AfCHPR...
1 Reactions
13 Replies
867 Views
Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) limesema limepata ushahidi mpya kuhusu mauaji ya aliyekuwa Rais wa Marekani, John F. Kennedy, ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Rais Donald Trump. FBI...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Paul Kagame,anampiga vita Baba Raila Odinga asiwe rais wa kamisheni ya Afrika,kwani anajua kuwa hawezi kumburuza.Kiburi na jeuri ya Kagame itaendelea mpaka lini?
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Kuna uwezekano Isreal na Marekani wakaivamia tena Gaza. Ninavyoandika, Trump anapanga kuwahamisha na kuwanyang'anya ardhi yao kwa maslahi binafsi na Netanyahu. Je, ataweza au ndo mgogoro unaanza...
11 Reactions
114 Replies
5K Views
Back
Top Bottom