International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Habari wana jamvi , imekua ndoto yangu ya muda mrefu kutaka kusogea mbele kidogo na kubadilisha upepo wa bongo kutokana na factors nyingi tu ikiwemo ugumu wa maisha pamoja na uvunjifu wa...
5 Reactions
32 Replies
8K Views
Watawapokea Wapalestina wa Gaza Wa kwanza ni Abdel Fattah El-Sisi, rais wa Misri, na wa pili ni Abdullah II, mfalme wa Jordan Hawa jamaa ni pro west na pro Israeli. Walipokea misaada ya kutosha...
9 Reactions
108 Replies
3K Views
Anaitwa Ian Kagame (Luteni Usu) Mtoto wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame, kwa sasa rasmi amejiunga na kikosi cha Ulinzi wa Rais wa Nchi hiyo (PSU). Hivi karibuni (mwishoni mwa Mwaka 2022) Ian...
18 Reactions
67 Replies
6K Views
I have been wondering what is going on in the minds of many people,even here in JF.You wonder whether these people are normal.The rationale of their arguments was far from having a human touch,it...
0 Reactions
1 Replies
418 Views
Wanakumbi. Vikwazo vya mara moja kwa Malema na kutangazwa kwake kama mhalifu wa kimataifa! Elon Musk. Majibu ya Julius Sello Malema. Nadhani umepoteza kabisa ubongo wako wa kushoto: shujaa wa...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Wanajeshi 75 wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) wanapandishwa kizimbani leo Februari 10, 2025 wakituhumiwa kukimbia mapigano baina ya vikosi vya Serikali na waasi wa M23. Taarifa...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Mamia ya askari wa Rwanda waliokuwa wakipigana bega Kwa bega na waasibwa M23, wamefariki dunia Kwa kipindi Cha mwezi mmoja wa mapigano ya kuuteka mji wa Goma. Taarifa za ndani zinasema askari...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Wanaukumbi. All three Israeli captives were starved because of Israel. Israel controls the borders and the aid going in. It is Israel that imposed starvation on Gaza as a whole. The irony is...
7 Reactions
101 Replies
3K Views
Burkina Faso iliyo chini ya utawala wa kijeshi wa Kapteni Ibrahim Traore imeanzisha utaratibu wa kurusha live kesi zote zinazohusu ubadhirifu wa fedha za umma. Utaratibu huo umeanza mwezi Novemba...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Mjasiriamali bilionea Elon Musk ameibua mvutano mpya na kiongozi wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), Julius Malema, akipendekeza kwamba Malema atangazwe kuwa mhalifu wa kimataifa...
1 Reactions
1 Replies
581 Views
Baada ya sintofahamu iliyotokea kuhusiana na usafirishaji za maiti za wanajeshi wa Afrika Kusini waliokufa wakipigana na kundi la waasi la M23, hatimae wamesafilishwa kupitia Rwanda. Kamati ya...
3 Reactions
66 Replies
3K Views
Ohad Ben Ami, 56 ni miongoni mwa mateka walioachiwa huru na Hamas ili kubadilishana na wafungwa wa kipalestina amesema wazi wazi. “I say to the families of the captives, go out and demonstrate and...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Kufuatia Bilionea Elon Musk mwenye uraia wa Afrika Kusini na Marekani kutaka Kamanda mkuu wa chama cha EFF Bw. Julius Malema atajwe kama mhalifu wa kimataifa, chama chake cha EFF kimetoa kauli...
4 Reactions
9 Replies
997 Views
Katika ligi nyingi za michezo za Kimarekani, kama MLB Major League Baseball, NBA National Basketball Association, na NFL National Football League, timu zinazoshindana na wachezaji wake huitwa...
1 Reactions
8 Replies
593 Views
USAID is officially dead. Elon Musk alisema USAID ni shirika la kihalifu na linapaswa kufa Kwa taarifa hii ni wazi kwamba kauli yake imetekelezwa Je ndugu zangu nini itakuwa athari kwa Afrika...
22 Reactions
249 Replies
17K Views
SEHEMU ya I "Inshu ya Banyamulenge, ni kisingizio tu! Ni kitu ambacho hakipo. Iliisha mwaka 2002". Anasema Nyamwasa. Baada ya vifo vya wanajeshi wa Afrika kusini kufia vitani nchini DRC...
6 Reactions
67 Replies
3K Views
Top Ngo Usaid Recipients (fiscal Years 2013-2022) 1. Catholic Relief Services: $4.6 billion (nonprofit) 2. Chemonics International: $4.5 billion (for-profit) 3. FHI 360: $3.8 billion (nonprofit)...
6 Reactions
103 Replies
4K Views
Petty and vindictive.
4 Reactions
12 Replies
854 Views
Vita vya maneno vimeibuka katika mtandao wa X kati ya tajiri mbwatukaji Elon Musk na mwanasiasa mbwatukaji toka Afrika Kusini Julius Malema kisa kauli zilizo tafsiri kuwa za kibaguzi toka kwa...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Huyu waziri mkuu wa Hungary ananikumbusha Bernard Membe alivyojiunga ACT akafanywa mgombea urais halafu akawa hafanyi kampeni anapiga ruti za Dubai tu na akagoma kujiuzulu pale chama chake...
1 Reactions
0 Replies
387 Views
Back
Top Bottom