Mnamo Oktoba 1, 2024, Iran ililenga Israel kwa makombora 200, Ni mashambulizi makubwa lakini athari zilikuwa kidogo, Mabomu mengi yalikosa target yalitua nje ya mji, Mtu mmoja aliuawa ambae ni...
Rais wa Marekani Donald Trump amewaeleza Ulaya na Ukraine hataki kuona vita inaendelea Ukraine badala yake ametoa muda wa siku 21 kuanzia tatehe ya tamko vita viishe au vinginevyo atajitoa katika...
Baada ya AFC/M23 kuomba serikali ya Afrika kusini kuondoa wanajeshi wake, na nchi hiyo ikakataa, hatimae ombi la M23 limekubaliwa, na njia pekee iliyotolewa(corridor) ikiwa ni Rwanda, jumapili ya...
Pentagon wamepeleka ripoti yao ya mwaka 2020 kwenye bunge la Marekani kuhusu nguvu ya kijeshi ya taifa la Uchina.
Uchambuzi huo umezungumzia ukuaji wa kasi wa nguvu ya kijeshi ya taifa la Uchina...
Israel has destroyed the tower block housing Al Jazeera and the Associated Press news agency in Gaza.
They are doing this for one reason - to stop the truth being known about their assault on the...
Umoja wa Kisovieti (USSR au CCCP) taifa lililozaliwa mwaka 1922-1991, lilikuwa ni moja ya taifa lenye nguvu sana duniani lakini lenye mwisho mbaya sana ambao ni aibu kwa watu wake mpaka leo...
Kundi la wapiganaji TWIRWANEHO, huko Kivu kusini, limetangaza rasimi kujiunga na kundi la AFFC/M23.
Baada ya kifo cha aliekuwa kiongozi wa kundi hilo, General Michael RUKUNDA, AKA MAKANIKA, kwa...
Wakuu,
Inaonekana huko nchi Marekani wameanza kufuata mienendo ya wanasiasa wa CCM.
Mbunge mmoja huko nchini Marekani amepeleka muswada bungeni ambao una lengo wa kumuongezea muhula wa 3...
Kwa hiali yao,askali Polisi 2,100 na wanajeshi 890 huko Kivu kusini, wameamuwa kutoka walikokuwa wamejificha na kukubali kujiunga na M23 kwa hiali.
Akiongea nao Gen Byamungu, amewashukuru kwa...
Wapambe wa Trump wanasema he is not there for playing games, you Around with him and Find out.
Leo ndege 2 za kijeshi zenye rais 160 wa Columbia ambao walikua wahamiaji haramu nchini Marekani...
Tangazo hili, lilitolewa na kusainiwa na waziri wa fedha nchini DRC, akiwataka wananchi kuchangia fedha kwenye account zilizowekwa katika tangazo hilo, llengo likiwa ni kukusanya uwezo wa...
Makala ndefu sana!
Mwenye kutafsiri aje atusaidie
https://www.newtimes.co.rw/article/24237/news/africa/tshisekedis-vast-armoury-in-goma-and-plan-toinvaderwanda
Baada ya njama za Islamists zikibeba maono ya Muslim brotherhood kupamba moto tokea Hamas wavamie Israel October 7, 2023 tukashuhudia pia kuibuka kwa siasa za mrengo wa kulia huko Ulaya.
Reform...
The return of TikTok to the United States apparently came at a politically-correct price: Shut down all criticism of Israel.
Users of TikTok have suddenly found the phrase "FREE PALESTINE" is...
Wakiwa kwenye hafla ya chama cha wachezaji NCAA Trump na gavana wa jimbo la Maine Janet Mills wamerushiana maneno baada Trump wakati anahutubia kumuita gavana huyo na kumtaka kutekeleza amri...
Habari zilizopo kwa sasa, ni kwamba baada ya wanajeshi wa Burundi na FARDC kukimbia uwanja wa ndege na kukimbilia mjini Bukavu, yawezekana M23 tayari ilikuwa mjini ikiwachora tu. Tofauti na Goma...
Siwezi mlaumu Trump maana Marekani imemlushia pesa mingi sana Ukraine
KYIV — Utawala wa Trump uko karibu kufikia makubaliano na Ukraine kuhusu upatikanaji wa haki za madini zenye thamani ya mamia...
Wadau hamjamboni nyote?
Mteule huyo aliyekuwa amestaafu ni rubani wa ndege za kijeshi na amewahi kukaimu nafasi ya mkurugenzi Mkuu CIA
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Today, I am...
Wadau hamjamboni nyote?
Jenerali CQ Brown muda wake wa kuhudumu akiwa Mkuu wa.majeshi unaisha mwaka 2027
Ametumbuliwa akiwa kwenye ziara ya kikazi kusini mwa marekani na taarifa amezipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.