International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ikiwa Ni katikati ya kuitafuta suluhu ya migogoro WA Ukraine na urusi. Serikali ya marekani tayari ilishatuma ujumbe wake nchini saudia Arabia kukutaba na upande WA urusi ili kumaliza mgogoro WA...
14 Reactions
88 Replies
5K Views
https://x.com/kivunews24/status/1893282140516667574
2 Reactions
8 Replies
497 Views
Jonas Savimbi aliongoza vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Angola kwa miaka mingi na kutoa fursa kwa maliasili za nchi hiyo kumilikiwa na makampuni ya mabepari.Uraisi alioutarajia hakuupata na...
5 Reactions
16 Replies
917 Views
Pichani, ni maandalizi ya jeshi la Polisi nchini Rwanda,mpakani mwa Rwanda na DRC. Eneo hili ndo watapitabadhi ya wanajeshi wa Afrika Kusini, na kupekuliwa, ili waendelee na safari yao,kuelekea...
0 Reactions
1 Replies
371 Views
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameapa kuwashughulikia magaidi wa Hamas kwa vitendo vya vya kinyama kuua watoto Kafri na Ariel Bibas watoto ambao waliwateka nyara Oct 07,2023 wakiwa na...
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Unaweza kusema headline iwe "Ni Uchina Tena" Kamera za Ufukunyuzi Zenye Nguvu Zaidi Duniani zimetengenezwa na Wanasayansi wa China nchi hiyo ikiweka Viwango Vipya vya Upelelezi na Ufuatiliaji wa...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Kulingana na Elon Musk kupitia DOGE yake hivi ndivyo vikundi vya magaidi vilivyokuwa vinafadhiliwa na USAID! Utapeli mtupu.
1 Reactions
4 Replies
750 Views
Kufuatilia vikao vizito vinavyoendelea vyenye agenda ya kurudisha utulivu na amani DRC pia ushahidi na hesabu za idadi vta vifo vya raia, ubakaji, utesaji na mauaji kadhaa mamlaka za haki...
3 Reactions
11 Replies
811 Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU KRISTO MFALME WA WAFALME Kama ni kweli hawa watu weupe wanaipenda Africa na wanatupenda WA Africa bas wasimamishe misaada mara moja Africa tunajiweza...
1 Reactions
5 Replies
349 Views
Kufuatia kukamilika kwa mchakato wa utambulisho na Taasisi ya Kitaifa ya Tiba ya Uchunguzi kwa kushirikiana na Polisi wa Israeli, wawakilishi wa IDF wamefahamisha familia ya Bibas kwamba wapendwa...
4 Reactions
81 Replies
3K Views
Efforts To Arrange Trump–Putin Meeting Underway, Moscow Says Moscow is working to arrange a face-to-face meeting between Russian President Vladimir Putin and U.S. President Donald Trump, Russian...
1 Reactions
2 Replies
815 Views
BAADA ya WANAJESHI WAO kuuwawa na M23 South Africa imetuma WANAJESHI zaidi ya 700 na VIFAA vizitooo Imeomba nchi za SADC na EAC kushirkiana kuuondoa MAGAIDI WA M23 wakiachwa wataenea Africa...
8 Reactions
92 Replies
5K Views
Wadau hamjamboni nyote? Ni maneno ya Rais Trump wa Marekani Kwamba Israel wakiamua kuzingatia makubaliano ya kusitisha vita au kuanzisha vita tena dhidi ya magaidi ya Hamas yeye wala hana...
3 Reactions
12 Replies
910 Views
Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu imetangaza kuwa magaidi 600+ ambao walikuwa wamepangwa kuachiliwa leo kutoka magereza nchini Israel, badala ya mateka 6 walioachiliwa leo asubuhi...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Hili ni onyo kwa Australia ambayo ni "the U.S vassal state" kibaraka wa Marekani. Kwa nini China ipeleke meli zake 3 za kivita pwani ya Australia na kufanya mazoezi hayo kati kati ya Australia na...
8 Reactions
80 Replies
3K Views
Walipokutana viongozi wa mataifa ya kiarabu hapo juzi na kukataa mpango wa raisi Trump wa kuwahamisha wapalestina na kuimiliki Gaza kumeivunjia heshima pakubwa taifa la Marekani. Tukio la hapo...
2 Reactions
8 Replies
833 Views
Hii ni Habari Njema kwa watanzania kwamba mkurugenzi mpya wa FBI Kash Patel mama yake alikuwa Mtanzania na baba yake ni Mganda Tembeeni vifua mbere 😄
12 Reactions
114 Replies
7K Views
Kiukweli niliwaamini sana Urusi, sasa sina imani nao. Hii vita kwa nguvu ambazo wanazo Russia ilikuwa waimalize ndani ya week moja zikizidi mbili. Sasa sielewi kwa nini wanapiga dana dana nyingi...
13 Reactions
66 Replies
5K Views
Akiwa katika mahojiano yake ya kuthibitishwa kuwa Mkurugenzi mpya wa FBI, Kash Patel alipoanza kwa kuelezea historia ya familia yake alisema baba yake alikimbia Uganda ya Idi Amin, dikteta muuaji...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Jamaa kaanza kuajiri wahuni wa mitaani kwenye kazi ya kupekua taarifa nyeti za serikali na walipa kodi wa AMERICA! 🤣 Miongoni mwa wahuni alioajiri Musk kwenye kitengo chake cha kudhibiti...
18 Reactions
134 Replies
7K Views
Back
Top Bottom