International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kushabikia Wayahudi au Waislam katika vita hivi ni matokeo ya ujinga wa maarifa. Wayahudi na waislam wote hawamjui Yesu. Wananyozidi kuuana wanaongeza idadi ya watu wa jehanam. Mkristo unatakiwa...
7 Reactions
66 Replies
3K Views
18 February 2025 Katika mahojiano na msemaji wa AFC /M23 Bw. Lawrence Kanyuka amewataka ujumbe wa EAC na SADC watembelee maeneo yaliyokombolewa na waasi Lawrence Kanyuka...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Pichani, ni aliekuwa kiongozi wa kundi la wapiganaji TWIRWANEHO(TUJIRINDE), la wanyamulenge huko Kivu kusini. Ameuwawa akiwa na wenzie wa 5,wanaosemekana kuwa walinzi wake, katika shambulio la...
8 Reactions
12 Replies
1K Views
Taarifa zilizopo, zinasema kwamba, Kanali wa DRC, Mushonda Jacques Mukalayi, aliuwawa jana, tarehe 19 Februari, 2025. Kwa mjibu wa vyanzo,Kanali huyu, ambaye ni Mnyamlenge, aliuliwa akiwa nyumbani...
4 Reactions
6 Replies
693 Views
  • Closed
Kwa Tafsiri isiyo rasmi ya Kiswahili.... Muhsin Hendricks, anayetambuliwa kama Imamu wa kwanza kutamka hadharani kuwa mshiriki wa mapenzi ya jinsia moja duniani, amepigwa risasi na kuuawa karibu...
8 Reactions
100 Replies
5K Views
Msemaji mkuu wa kisiasa wa AFC/M23, Lawrence Kanyuka, ametangaza kwamba, wanajeshi wa Afrika Kusini waliopewa hifadhi katika kambi ya MONUSCO huko Goma, walitakiwa kuwa kwao kwa sasa, kwa sababu...
1 Reactions
5 Replies
754 Views
Umewhi kujiuliza kwenye hio vita ya congo ingekua ni jamii mbili tofauti ndo zinazopiganna yani mfano jamii moja iwe mtu mweus nyingine iwe mzungu au mwarabu mu asia n.k Si kwa chuki, si kwa...
0 Reactions
1 Replies
489 Views
Chama tawala cha Fatah cha Mamlaka ya Palestina (PA) kimepiga marufuku shirika la habari la Al Jazeera lenye makao yake nchini Qatar kufanya kazi katika maeneo ya Judea na Samaria, likilituhumu...
6 Reactions
52 Replies
3K Views
Kuna maoni kutoka wachambuzi wa uchumi wa nchi za Magharibi kama Marekani yakidai kuwa bidhaa za viwandani za China ni za bei rahisi kwa sababu wafanyakazi nchini China hawalipwi vizuri. Na...
14 Reactions
97 Replies
5K Views
Waafrika tuache unafiki na woga, tuchukue hatua sasa kuhusu kile kinachoendelea kule mashariki mwa DRC. Hakuna siri, Rwanda ndio kichocheo kikuu cha vita huko DRC kwa kuwaunga mkono kwa kila kitu...
3 Reactions
15 Replies
907 Views
Uingereza siku ya Jumanne ilitangaza kwamba imemuita Balozi wa Rwanda nchini Uingereza baada majeshi ya Ulinzi ya Rwanda na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda kusonga mbele katika mashariki...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Huko Duniani kote Vita ya Uchumi imepamba moto Wamarekani, Bara la Ulaya, Waarabu, Uchina na hata Urusi wanagombania Rasilimali chache zilizobakia Africa Tuzidi kuwaombea Mkuu wa Rasilimali za...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
15 February 2025 Uganda Yatangaza Nia Ya Kuchukua Jimbo la Ituri la DRC CDF Muhoozi Kainerugaba SAT 15 FEB, 2025 12:57 Na Jacobs Seaman Odongo Uganda imekuwa ikifanya operesheni za kijeshi...
9 Reactions
106 Replies
6K Views
Haya mataifa yaliyotengeneza silaha za nuclear walizitengeneza za nini kama hawana mpango wa kuzitumia? Wanakaa nazo kama mapambo tu?! Huwa nasikia baadhi ya wachambuzi wa geopolitics wanasema...
2 Reactions
18 Replies
905 Views
Kituko cha kwanza mazungumzo yanafanyika pasipo wahusika wakuu Ukraine kuwepo katika hayo mazungumzo! Yani ni sawa na umemkamata mgoni anamtafuna mke wako ukazua ugomvi halafu wapatanishi wanakuja...
8 Reactions
29 Replies
2K Views
Jeshi la Kongo lime collapse na Wanamgambo wa Wazalendo wameanza kushambulia jeshi la Kongo huko Uvira. Sasa hivi M23 wanaangalia tu kazi inafanywa na Wazalendo ambao wameshatuhumiwa kwa mauaji...
7 Reactions
66 Replies
3K Views
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema Kiev ingependa kukomboa maeneo yaliyochukuliwa na Urusi kwa njia ya kidiplomasia, lakini Vladimir Putin amedhamiria kuendeleza mapambano ya kijeshi...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Kuna maamuzi ambayo bwana Trump anafanya anakuwa kama kachanganyikiwa na haelewi Geopolitics zilivyo. Kwanini nasema hivyo? Hivi karibuni katangaza Marekani kusitisha misaada kwenye nchi zote...
5 Reactions
78 Replies
3K Views
Hawa manyang'au wa U.S naona wameshamtumia Zelensky kama pampas sasa wanataka kumtupa. Visingizio vimeanza za kuwinda kuondoshwa Huyu Musk mtandao wake huu amekuwa akiutumia kuchochea tawala...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanakaumbi. 🇺🇲🇷🇺 Marekani na Urusi zitaanza mazungumzo nchini Saudi Arabia ili kumaliza vita nchini Ukraine. Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao kwa sababu hakuna...
11 Reactions
122 Replies
6K Views
Back
Top Bottom