Amani ya ulaya Sasa kulindwa na ulaya pasipo wahuni kutoka Marekani.
Viongozi wa ulaya wamekutana kujadili namna ya kuimarisha ulinzi na majirani zao Ukraine pasipo kuwaalika Marekani. Hii ni njia...
Mikutano Miwili Mikubwa ya China, ambayo ni Mkutano wa Bunge la Umma la China na Mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China inafanyika hapa Beijing, na wajumbe zaidi ya 5,000 wanakutana...
Israel bila Marekani, si kitu huko Mashariki ya Kati.
Taiwan bila Marekani, si kitu mbele ya China.
Korea Kusini bila Marekani, si kitu mbele ya Kim Jong Un.
Na Ukraine bila msaada wa Marekani...
Kwa kuwa amesema kubwa la wakubwa huenda this time around Wakapata amani ya kudumu.
----
Marekani imehimiza Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Jumanne kuzingatia kuchukua hatua za...
Trump ni mfanyabishara makubwa, siasa zake ni siasa za kibiashara zaidi, anaifahamu kuwa Urusi ni taifa lenye mali, nguvu na technology kubwa ya Kila kitu. Anajua kuwa Urusi ni kikwazo kwa...
Hakuna nchi inayoitwa Palestina na wala haitakuwepo. Wafia dini endeleeni kushupaza mafuvu yenu na kujikombakomba kwa waarabu.
============
Mwanaume Mwarabu kutoka Saudi Arabia katika ujumbe kwa...
Kuna malalamiko ambao mfanyakazi kutokuwa na hatia lakini wameamua kumnyonga ambaye ambaye hata familia yenyewe imelalamika kuwa sio yeye.
Imani ya wa isalamu ndio inatajawa kuwa imani yenye...
Viongozi wa nchi za kiarabu waliokutana huko Cairo wamesema Gaza itajengwa kwa plani nzuri waliyokwisha kuibuni wakati wapalestina hao wakiwa humo humo ndani.
Raisi Elsisi ambaye mara nyingi...
Wakuu,
Polisi wamesema shambulio hilo lilitokea katika kituo cha basi na treni siku ya Jumatatu, ambapo "mshukiwa alidungwa risasi na mlinzi wa usalama na raia aliyekuwepo eneo hilo."
Taarifa ya...
Wakuu, kwa miaka mingi tuliambiwa maamuzi yoyote pale USA ni ya taasisi na si mtu mmoja. Kwamba katiba yao ndio inaamua, kwamba hata akija Rais kichaa anaongoza maana yeye si mtoa maamuzi pekeake...
Wanaukumbi
Maelfu ya waandamanaji katika miji mbalimbali ya Israeli wametaka usitishaji mapigano kati ya Israel na Hamas uendelee na mateka zaidi waachiliwe.
Kadiri hatua ya kwanza ya...
Wakuu,
Baada ya Trump kuonekana kuanza kuringaringa na kumnyanyasa Ukraine, Uingereza imeamua kuuvaa wenyewe huu ugomvi.
Akiwa anaongea hivi karibuni, Starmer amesema kuwa ukiachana na Euro...
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu jana wakati analihutubia bunge la KNESSET alitoa kalipio kali kwa magaidi wa Hamas na akasisitiza kuwa wasicheze na moto maana watapata kipigo ambacho...
Waziri wa Ulinzi Israel Katz:
"Licha ya shirika la kigaidi la Hamas kukiuka mara kwa mara na kukataa kwake mipango uliotolewa na mjumbe maalum wa Rais Trump katika Mashariki ya Kati Witkoff...
Ili kuwa Muisrael njia kuu na ya Uhakika zaidi kwanza ni wewe kuwa Myahudi.
Kuna njia kuu mbili za kuwa Myahudi
1) Kutokana na uzao, yaani Mama yako awe myahudi. Haijalishi wewe ni atheist, au...
Rais wa Marekani, Donald Trump amehutubia Congress na amesema Rais wa Ukraine, Volodymyr Oleksandrovych Zelenskyy amemuandikia barua na kukubali kurudi kwenye meza ya mazungumzo kuhusu kusaini...
04 March 2025
Kigali, Rwanda
Marekani yamfukuza mfungwa wa Mauaji ya Kimbari ya Rwanda Ahmed Napoleon Mbonyunkiza
2025-03-04
Mamlaka ya Kitaifa ya Mashtaka ya Umma (NPPA) nchini Rwanda mnamo...
Nilikuwa namsikiliza new German chancellor akizungumza baada ya kuchaguliwa alisema "It's high time european nations should get indepence from us"
Najiuliza. Je, wataweza?
UTANGULIZI:
Mwaka 2003 Marekani ilivamia Iraq kimabavu na kumuondoa raisi wa nchi hiyo.
Mataifa mengi ya Ulaya yalimuunga mkono Marekani kwamba anapambana na serikali dhalimu inayohifadhi magaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.