Mheshimiwa Mélanie Joly, Waziri wa Mambo ya Nje; Mheshimiwa Ahmed Hussen, Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa; na Mheshimiwa Mary Ng, Waziri wa Ukuzaji wa Mauzo ya Nje, Biashara ya Kimataifa na...
Kiongozi wa kijeshi wa Gabon, Jenerali Brice Oligui Nguema, ametangazia nia yake ya kugombea urais katika uchaguzi ujao wa mwezi ujao (April, 2025).
Nguema alishika madaraka mwaka 2023 kupitia...
Umoja wa Mataifa(UN) yamfukuza Nderitu(Faizafoxy wa Kenya) kwa kukataa kuainisha tabia ya Israel huko Gaza kama 'mauaji ya halaiki,' WSJ inahoji.
Upinzani wa Nderitu kutaja vitendo vya Israel...
Israel ni taifa lenye usiri na utata mkubwa,kutoka kwenye kuanzishwa kwake,watu waliolikaa zamani na wanaolikalia kwa sasa.Historia inatuambia kuwa taifa la Israel lilianzishwa mwaka 1948,lakini...
Wadau hamjamboni nyote?
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anasema mgongano wake na Rais wa Marekani Donald Trump wiki iliyopita ulikuwa wa "majuto," kwamba yuko tayari kufanya kazi chini ya...
Wanaukumbi.
Mkutano Mkuu wa Nchi za Kiarabu kuijenga upya Gaza.
Mfalme wa Saudi Arabia amezitaka Misri, Jordan na Qatar kuunganisha nguvu katika kulaani ukiukaji wa haki za binadamu wa Israel...
Jeshi la M23(siliiti kundi tena, kwa walivyofanya, wana hadhi ya kuitwa wanajeshi), huko Kivu kusini, limezitaka taasisi zote za kiserikali kuendelea kutoa huduma kama kawaida.
Kuna taasisi...
Pesa ya kujenga nchi waliyoiharibu wenyewe hawana ila ya kurusha makombora kwenda Israel na USA wanayo. MATAPELI!
=============
Wizara ya Mambo ya Nje siku ya Jumanne ilirejesha tena hadhi ya...
Uongozi wa jimbo la Beni, umetaarifiwa na serikali ya rais wa DRC Tshisekedi, kutotambua bidhaa kutoka mji wa Goma, kwa njia ya ardhi au ya anga, maeneo ya Bunagana na Ishasha, maeneo...
kampuni ya utengenezaji wa semiconductor ya Taiwan TSMC imetangaza kuwekeza dola bilioni 100 (shilingi trilioni 260) kujenga viwanda vya kutengeneza semiconductor nchini Marekani.
Taiwan imekuwa...
Serikali ya Rwanda imesema haitarejesha pesa ilizopewa na Uingereza kwenye mpango walioingia awali wa Uingereza kupeleka wakimbizi nchini Rwanda. Mpaka sasa Uingereza imeilipa Kigali dola za...
Borris (rais wa zamani wa urusi) alikuwa Na Ndoto Ya Kuirejesha Tena USSR Ndo Putin anasimamia Hayo maono.
Russia 🇷🇺 Kwa Sasa ni Taifa Lenye Uwezo mkubwa Mno KIJESHI kwahiyo Uwezo Huo ulikuwa...
Askari 260 wa Jeshi la Ulinzi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) waliokamatwa kwa kosa la kuwakimbia wapiganaji wa Kundi la M23 na kufanya uhalifu wa kivita mashariki mwa nchi hiyo...
Urusi imesema kuwa ilizamisha meli ya mizigo iliyokuwa imebeba silaha na vifaa vya kijeshi iliyokuwa ikielekea Ukraini siku ya Jumamosi, Machi 1.
Kituo cha vita cha Telegram cha Urusi Talipov...
Wakuu,
Ufichuzi wa Mbunge wa Marekani Scott Perry kwamba Shirika la Misaada ya Kimataifa la Marekani (USAID) limekuwa likifadhili kundi la kigaidi la Boko Haram nchini Nigeria uliibua hisia...
Mahusiano ya Rwanda na serikali ya Uingeleza, siku za nyuma yalikuwa mazuri.
Mwaka 2022, mwezi wa nne, enzi za waziri mkuu, Rishi Sunak, serikali zote zilisaini mkataba wa mamilioni ya Euro...
Wabunge watatu wamejeruhiwa Jumanne, mmoja wao akiwa katika hali mbaya, baada ya vurugu kuzuka bungeni Serbia huku fataki na mabomu ya moshi yakirushwa.
Mvutano ulianza wakati wa kikao cha kupiga...
Dunia katika miaka hii mitatu iliyopita kufikia sasa imeshuhudia maajabu mengi na vichekesho visivyotarajiwa.
Marekani imekuwa bega kwa bega na Urusi katika kutaka vita vya Ukraine visitishwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.