International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Elon Musk ameendelea na mvutano wake dhidi ya serikali ya Afrika ya Kusini kwa kusema kuwa kampuni yake ya Starlink haijaruhusiwa kufanya kazi nchini humo kwa sababu yeye sio mtu mweusi...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu, Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, aliachiwa huru Jumamosi baada ya kushikiliwa kwa siku 52, baada ya upande wa mashtaka kuamua kutokata rufaa dhidi ya uamuzi wa mahakama uliobatilisha...
3 Reactions
10 Replies
990 Views
Baada ya baadhi ya nchi za Ulaya na Marekani kuiwekea Rwanda vikwazo pia kuwekea viongozi wa Rwanda vikwazo kwa kujihusisha na migogoro ndani ya DRC. Sasa ni dhahiri na muda muafaka kwa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Trump yeye hajali hata kuhusu soko la hisa https://x.com/spectatorindex/status/1897740651107864732?t=LM3GG61kwI11WIYkLzbAhw&s=19 Je, ni kweli au siasa siasa tu za kujaribu kuongea uongo ili...
4 Reactions
11 Replies
962 Views
Itakumbukwa kuwa Houthis walisimamisha kuishambulia Israel baada ya makubaliano ya kusitisha vita ili kubadilishana mateka wa kivita. Israel amekiuka makubaliano ya round ya kwanza na Hamas ...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Tazama nchi hizi ni lazima mwananchi apate mafunzo ya kijeshi. Denimaki 🇩🇰 Austria 🇦🇹 Russia 🇷🇺 Israel 🇮🇱 Finland 🇫🇮 Norwei 🇳🇴 Korea zote mbili Angola 🇦🇴 Mozambique 🇲🇿 Algeria 🇩🇿...
0 Reactions
27 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Machi 7 (Reuters) - Rais wa Marekani, Donald Trump alisema Ijumaa "anazingatia sana" kuweka vikwazo vikali, vikiwemo vile vya benki, na ushuru kwa Urusi hadi makubaliano ya kusitisha...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Mpango wa Uhamiaji wa Wakaazi wa Gaza Wazinduliwa Israel imekamilisha maandalizi muhimu ya kuwezesha uhamiaji wa wakaazi wa Gaza, mradi tu nchi zilizo tayari kuwapokea zinaweza kupatikana...
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Kufuatia hali iliyopo ya mitizamo inayowekwa wazi kipindi hiki kuliko nyakati zozote, mawaziri wa ulinzi wa Marekani na Uingereza wakiongozana na viongozi wakuu wa kijeshi wakutana ili kuondoa...
5 Reactions
8 Replies
734 Views
Wabunge 241 wa Afrika Kusini wameukubali na wengine 81 kuupinga muswada wa kutaka kutwaliwa na kununuliwa ardhi kwa nguvu katika nchi hiyo. Hadi Agosti 30 mwaka huu, Kamati ya Bunge la nchi hiyo...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
My Take Hili liwe funzo Kwa Afrika Kusini maana mtu mweusi hakuna kitu anakiweza zaidi ya uharibifu Afrika Kusini: Serikali Kunyakua Ardhi Kwa Nguvu kutoka Kwa Wazungu Bila Fidia...
7 Reactions
67 Replies
3K Views
Hii Haina tofauti na vyeti Feki wa Magufuli. My Take Ndani ya miaka 3 ijayo tutazamie Zimbabwe Kuingiza tena Afrika kwenye Kilimo na Ufugaji. --- Two decades after thousands of white farmers...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Marehemu Mugabe kuwapora Walowezi wa Kizungu na ambao walikuwa raia wa Zimbabwe wenye Asili ya Uingereza,hatimaye Serikali imetangaza kuanza kuwalipa mabilioni...
18 Reactions
122 Replies
6K Views
Aliekuwa kiongozi wa kundi la waasi la FDLR, General OMEGA, siku za nyuma, baada ya handaki aliyokuwemo na wenzake kulipuliwa na M23, na kusababisha vifo vya badhi ya walinzi wake, na kuhisiwa...
3 Reactions
4 Replies
861 Views
Mwanamke mjamzito alisafiri hadi Marekani kwa lengo la kujifungua ili mtoto wake apate uraia wa Marekani kwa kuzaliwa. Hata hivyo, alipofika uwanja wa ndege nchini Marekani, alikumbana na hali...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir ametoa wito wa utulivu nchini humo kufuatia kushambuliwa kwa helikopta ya Umoja wa Mataifa siku ya Ijumaa. Kulingana na jeshi la Umoja wa Mataifa la kulinda amani...
0 Reactions
1 Replies
405 Views
Hongera Lt. Jenerali Eyal Zamir kwa kuwa Mkuu wa 24 wa Wafanyakazi wa IDF. Kamanda Eyal Zamir Mafanikio yako ni mafanikio ya IDF na mafanikio ya nchi yetu! Tunakuamini utaliongoza jeshi kwa...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Kwa ilivyo sasa Raisi Donald Trump maisha yake yapo hatarini mara kumi zaidi ya wakati wa kampeni za kugombea uraisi wa Marekani kwa awamu ya pili. Viongozi wengi wa nchi kadhaa za bara la Ulaya...
1 Reactions
7 Replies
753 Views
Nini hatima ya PKK/YPG huko Syria ?
0 Reactions
55 Replies
3K Views
Back
Top Bottom