Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,022
- 9,292
Ili kuwa Muisrael njia kuu na ya Uhakika zaidi kwanza ni wewe kuwa Myahudi.
Kuna njia kuu mbili za kuwa Myahudi
1) Kutokana na uzao, yaani Mama yako awe myahudi. Haijalishi wewe ni atheist, au mtu wa dini, lakini ukiweza kuprove kuwa umezaliwa na mama ambaye ni Myahudi basi na wewe unachukuliwa kuwa ni Myahudi!
2) Njia ya pili ni kupitia kubadiri dini yako na kuchukua dini ya kiyahudi, Katika kubadiri dini ili utambulike katika jamii ya wayahudi kuwa kweli umebadiri dini ni lazima kwanza upitie mafunzo ya miezi tisa katika jumuia za kiyahudi zinazotoa mafunzo hayo nje ya israel.
Baada ya kuwa umekuwa Myahudi, Unapata haki za kurudi Israel kwa mujibu wa sheria ya " Kurudi", yenye lengo la kuwaleta/kuwarudisha wayahudi popote pale walipo duniani ili wakaishi Israel!
Kazi kwenu muipendao Israel sana, mnayo nafasi ya kuwa Wayahudi, Mnayo nafasi ya kuwa Waisrael ili mbarikiwe kama msemavyo!.
Badala ya kuwabariki Waisrael tu ili mbarikiwe, ni vyema mkawa Waisrael ili mbarikiwe zaidi!