International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Maandamano makubwa yalizuka katika miji kadhaa ya Yemen, ikiwemo Sana’a, Saada, Dhamar, Hodeida na Amran, baada ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya waasi wa Houthi. Waandamanaji, wengi wakibeba...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
BYD's shares rally after rolling out new technology it claims charges EVs in five minutes Shares of China's BYD rallied on Tuesday after the company announced a new technology that it claims can...
3 Reactions
9 Replies
815 Views
Habari? Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu vita vya Gaza, cha kushangaza sijaona chochote kimefanywa na raia wa Gaza kuwashinikiza Hamas kuwaachia Mateka wa Islael ili kusitisha mapigano. Lakini...
5 Reactions
11 Replies
751 Views
Huku askari wa Ukraine walioingia jimbo la Kursk ndani ya Urusi wakiuliwa kwa wingi baada ya kuzibiwa njia ya kutokea, Rais Trump na Putin wanatarajiwa kukutana hivi karibuni ili kuweka sawa namna...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Naibu wa Gavana wa Benki Kuu ya Umoja wa Ulaya Luis de Guindos amesema kuwa, rais wa Marekani, Donald Trump amesababisha kukosekana utulivu katika ghughuli za kiuchumi na rais huyo ni janga baya...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Baada ya masaa 36 ya mashambulizi ya kulipizana kisasi. Donald Trump amekuja na mpya Leo anasema mashambulizi yeyote yatakayofanywa na houth kuanzia sasa atachukulia ni Iran imehusika kuanzia...
13 Reactions
39 Replies
2K Views
Msemaji wa kundi la wanamgambo wa Palestinian Islamic Jihad, Abu Hamza, ameripotiwa kuuawa katika shambulio la Israel katika Ukanda wa Gaza, kwa mujibu wa chombo cha habari cha Saudia, Al Hadath...
1 Reactions
4 Replies
552 Views
Tukianza na Donald Trump kuwakilisha mabwanyenye wa Marekani ni kuwa ni waroho sana wa mali kiasi kwamba kila kitu wanataka wakabidhiwe wao ili wawagawie wengine kwa uchoyo na dhulma. Upande wa...
1 Reactions
12 Replies
644 Views
17/03/2025, the Council imposed restrictive measures on nine individuals and one entity responsible for acts that constitute serious human rights violations and abuses in the Democratic Republic...
0 Reactions
5 Replies
782 Views
Shambulio la kijeshi la Israel dhidi ya Hamas, lililofanyika alfajiri la leo, shambulio moja, moaka sasa vifo vimefikia watu 400, wakiwemo maafisa wa juu wa Hamas. Majeruhi ni zaidi ya 500, na...
2 Reactions
7 Replies
486 Views
Tofauti na Siad Baare aliyekua kiongozi mwanamapinduzi na mjamaa Kagame ni kiongozi mbinafsi mwenye umbari na malengo ya kurejesha dola ya kihistoria ya watutsi iliyokua inatawala mbali ya wabantu...
0 Reactions
1 Replies
448 Views
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, ameionya Marekani kupitia shirika la habari la serikali, KCNA, akisema kuwa “msaada wowote wa kijeshi” ambao Marekani itatoa katika Asia ya Kaskazini...
0 Reactions
0 Replies
578 Views
1. Kwanini kuna vikundi viiingi vidogovidogo vya majeshi ndani ya DRC? FARDC, FDLR, ADC, Wazalendo... 2. Wale maaskari wana mafunzo ya kijeshi au ni raia wa kawaida tu wanapewa magwanda ya...
1 Reactions
6 Replies
509 Views
🚨BREAKING: IDF imethibitisha rasmi kuwa imefanikiwa kuwaangamiza magaidi 6 wa Hamas leo ndani ya Ukanda wa Gaza. Mmoja wao alishiriki katika mauaji ya Oktoba 7, mmoja alikuwa amevaa kama...
8 Reactions
58 Replies
3K Views
Naona majibishano ya maneno makali yaliyokosa staha ya kidiplomasia na makabiliano halisi ya kijeshi barani Ulaya na Amerika (migogoro ya Russia vs Ukraine, Trump kutaka kuzichukua Canada na...
1 Reactions
7 Replies
673 Views
Wakati nchi za Afrika Mashariki zikiendelea kumpet pet Kagame, masaa machache yaliyopita Wizara ya Fedha ya Marekani imetangaza rasmi kuwawekea vikwazo Waziri wa Mambo ya Afrika Mashariki wa...
13 Reactions
72 Replies
3K Views
Magaidi waliompindua Rais Assad wa Syria wameapa kupambana na Magaidi wenzao wa Hezbollah kwenye mpaka wa Syria na Lebanon hii inatokana na Hezbollah kuingia Syria na kuwateka nyara askari wa...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Wakuu, Rais wa Rwanda Paul Kagame Paul Kagame amelionya taifa la Ubelgiji kuwa watawakabili kwa kuwa wamekuwa wakitoa maagizo kwa Rwanda kama wao ndiyo wenye haki ya kuwasimamia. Akizungumza...
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Moja ya taifa lililofurahia kwa kuvunjwa kwa sauti ya Marekani (VOA) ni China ambayo imesema redio hiyo kwa lugha zote kubwa duniani ilikuwa ni kiwanda cha hadhithi za uongo. Katika hatua za hivi...
0 Reactions
5 Replies
495 Views
Alliance Fleuve Congo (AFC/M23) inasikitika kwamba taasisi fulani za kimataifa zinadhoofisha makusudi juhudi za amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kukwamisha mazungumzo...
0 Reactions
4 Replies
581 Views
Back
Top Bottom