Wakuu
Kuna video hii ikimuonesha Mwanajeshi wa Rwanda, ambaye amejikuta matatani nchini Msumbiji baada ya wananchi kumshtukia akiwa amevaa sare za jeshi la polisi wa Msumbiji na kumzonga wakitaka...
Katika kile kinachohesabiwa na wengi kama kuanza kutepeta kwa Trump rais huyo wa Marekani ameondoa bidhaa za electronics katika vita vyake vya tarrifs na China.
Hata hivyo Wamarekani wengi...
Baada ya kuona China ameamua kutokupepesa macho,
Sasa ameamua kufuta tozo zote za Simu, na Vifaa vyote vya electronic kutoka China.
Kama amefuta hizi tozo, nini maana yakujifanya anaweka tozo...
Maadhimisho haya ktk miaka yetu hufanywa na wayahudi na hata wakiristo, ambapo wakiristo mbali na Pasaka huadhimisha pia UFUFUO wa YESU Kiristo
Chimbuko lake ni Ukombozi wa Wana wa Israel kutoka...
Inasemekana marekani aliingiza pesa nyingi sana kutokana na mauzo ya SILAHA katika vita kuu ya dunia kuwauzia wa ulaya.Je ni kweli SILAHA ndo Zilizoipa mafanikio marekani na takwimu kwa sasa...
Vita vya kibiashara vya Trump vimepelekea kuporomoka kwa sarafu ya dola vibaya sana tangu miaka 10 iliyopita.
Tayari Trump ameshafedheheka na vita vyake hivyo vya kibepari hata hivyo dola bado...
Shambulizi la anga la Israel limeharibu sehemu ya hospitali katika mji wa Gaza, wizara ya afya ya eneo hilo inayosimamiwa na Hamas imesema
Video iliyowekwa mtandaoni ilionekana kuonyesha moto...
China suspends soybean imports from three US companies, including Louis Dreyfus, one of the world’s biggest agricultural trading companies.
More than half of all soybean exports from the US go to...
Leo hii, kwa mara ya 31, ni kipindi ambacho nchi ya Rwanda inakumbuka mauaji dhidi ya watutsi nchini humo, yaliyofanyika rasmi mwaka 1994, April 7. Mauaji haya, kwa wengi wanayahusisha na...
Yani mngejua tu namna China anavyoichukia Marekani ya awamu hii na jinsi walivyo na hasira acheni tu, Soko kubwa la dunia nzima lipo Marekani wao wamepigwa pin kwa ushuru mrefu halafu nchi zingine...
Katika vita vya silaha taifa la Marekani limetia hasara kubwa maeneo mengi duniani na hawajawahi kushinda hata sehemu moja.
Wamepigana Afghanistan na hatimae wakashindwa na kukimbia mbio...
Hata mashirika makubwa ya ndege Duniani wanakuambia njia yenye pesa ni ya kwenda Marekani au kutoka Marekani, Mfano London to New york, New Delh to New york, Tokyo to New york na kadhalika.
Hio...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon katika mahojiano na waandishi wa habari:
"Tuliweka wazi kuwa msaada na ujenzi mpya utakuja mara tu silaha zote nchini Lebanon zitakapokuwa mikononi mwa...
"Tunasubiri simu zao" hivyo ndivyo Trump alivyopost kwenye akaunti yake baada ya Marekani kuongeza ushuru kwa China kufikia 104%
Tangu mwanzoni kabisa Trump alipoanza kuiongezea ushuru China...
Ngoma inaelekea mwisho coz wakubwa wa dunia wanakaribia muafaka! Ukraine Mashariki vs Ukraine Magharibi!
https://x.com/worldupdates245/status/1910985103620047014...
Minisitiri ushinzwe ibikorwa by’ubutabazi, Maj Gen (Rtd) Albert Murasira, yasobanuye ko impunzi zirindwi Ishami ry’Umuryango w’Abibumbye rishinzwe Impunzi (UNHCR) rishinja u Rwanda kwanga kwakira...
Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo China kwenda Marekani sasa ni 145%.
Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo Marekani kwenda China ni 84%.
Naona Mchina kashindwa kwenda sambamba Mnyamwezi 🤣...
Ambao hatujabobea kwenye kimombo tunaona kama kwamba huyu raisi ameamua kuingiza mambo ya ubasha kwenye vita vya kibiashara.
Kwa wale ambao hawajawahi kujaribu mambo hayo wanapata kichefu chefu na...