Mashambulio ya hali ya juu yaliofanywa na Marekani tangu utawala wa Biden na kuwa ya matumizi ya silaha nzito zaidi wakati wa Trump ambayo yameshapitisha mwezi sasa,imedhihirika kuwa...
Tarehe 2 mwezi Aprili, Marekani ilianzisha vita ya biashara ya kimataifa kwa kutoza kile inachokiita kuwa ni “ushuru wa usawa”. Kitendo hicho cha Marekani kimelainiwa vikali na jamii ya kimataifa...
Mwendesha mashtaka Sebastián Basso wa Argentina ameomba hati za kimataifa za kukamatwa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, na wengineo kuhusiana na shambulio la bomu la AMIA mwaka 1994...
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anasema makubaliano ya Iran yatafanya kazi tu ikiwa vituko vyake vya Nuclear vitalipuliwa, vinginevyo nguvu ya kijeshi itatumika.
Waziri Mkuu Benjamin...
Hii ni hotuba ya Sheikh wa Palestina Issam Amira akihutubia katika Msikiti wa Al-Aqsa.
Hotuba hiyo ilipata ukosoaji na shutuma nyingi katika ulimwengu wa Kiarabu kwa sababu ukweli unauma...
Tunisia: "Shahidi wa Kuinua Bendera ya Palestina"
Fares Khaled, kijana wa Tunisia, aliamua—wakati wa maandamano ya wafuasi wa maandamano ya Gaza jana—kutundika bendera ya Palestina kwenye mnara...
Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.
Watu hao kwanza ni...
Majeshi ya israel yaendelea na operation zao kuisafisha Rafah hapo wakiyaangamiza Mahandaki yaliyokuwa yanatumika na magaidi wa Hamas. Rafah sasa hivi itakuwa chini ya israel.
Kazi bado inaendelea ni vuta nikuvute kati ya utawala wa Trump na nchi ya China katika vita vya ushuru.
BREAKING: 🇨🇳🇺🇸 China announces additional 84% tariff on US goods...
Deir al-Balah, Gaza ya kati: Israel usiku huu imefanya shambulizi lenie nguvu isiyo ya kawaida ulitokea muda mfupi uliopita, kufuatia onyo la kuhamishwa wakazi wa eneo yalikotokea makombola hayo...
Akiwa katika moja ya mikutano ya Republicans Trump ametumia lugha kali ya mtaani kujisifia kwamba kuna nchi zinabusu makalio yake kuamba makubaliano katika vita vya tarrifs alivyovianzisha!
A number of Wednesday's front pages reflect on the Duke of Sussex's appearance in court in London challenging a Home Office decision to set the level of his personal security while he is in...
Rais wa marekani Donald Trump bado anaendeleza msimamo wake juu ya nchi ya China katika suala zima la kuiwekea ushuru.
Pia Trump amehitaji usaidizi wa haraka wa Federal Reserve kuondoa interest...
JUST IN: 🇺🇸 Former Treasury Secretary Summers says US might be headed for a "serious financial crisis."
https://x.com/WatcherGuru/status/1909929351207940320?t=aqkE5sHJW7RJL35lYk_xtg&s=19
Mtafuta hifadhi afungwa jela kwa kutukuza ugaidi.
Muislamu mwenye msimamo mkali ambaye aliwasili nchini Uingereza akiomba hifadhi amefungwa jela kwa kuunga mkono kundi la kigaidi la Islamic...
JUST IN: 🇪🇺 🇺🇸 European Union to impose between 10% and 25% tariffs on US goods.
https://x.com/WatcherGuru/status/1909962445570834677?t=BG_6OJW2HO9f-l2Eos6FPQ&s=19
Uchumi wa Russia unapungua kwa kasi, na misukosuko zaidi juu ya upeo wa macho.
Uchumi wa Russia umepungua sana katika miezi ya hivi karibuni, kulingana na data ya hivi karibuni ya kiuchumi, na...
Ni muendelezo wa ngumi za hapa na pale kati ya Marekani na China zinazo shika kasi kwa sasa hasa upande wa vita vya nyongeza za ushuru.
JUST IN: 🇨🇳 🇺🇸 China Central Bank asks state-owned banks to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.