Hakuna Watu rahisi kuwagombanisha kama Wavaa Kobazi.
Je unajua Iran Taifa la kiislam Lina ugomvi mkubwa wa maji na mpaka na Taliban.
Katika Hali isiyotarajiwa Taliban yapendekeza Marekani ifungue...
Viboko katika Mbuga ya Taifa ya Virunga katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. / Getty Images
Viboko wasiopungua 50 na wanyama wengine wakubwa ndani ya hifadhi ya taifa ya Virunga iliyoko katika...
Serikali ya Trump imepiga marufuku mahusiano ya mapenzi kati ya wafanyakazi wake walio China na Wachina nchini humo.
Wachina wanamtisha sana mwendawazimu wannabe dictator Trump.
Meet Ange Kagame the giant Daughter of Africa's Tallest President Paul Kagame of Rwanda
Ange Kagame was born in Brussels, Belgium on the 8th of September, 1993 as the second child and only...
Shambulio la anga la Marekani nchini Yemen laua makamanda wakuu wa Houthi na wataalam wa Iran.
Shambulio la anga la Marekani limewaua watu 70, wakiwemo makamanda wakuu wa kikundi cha kigaidi cha...
Tofauti na utamaduni wa marais wa Marekani ambao huwa hawafanyi parade za kijeshi wakati wa amani Trump anapanga parade kubwa la kijeshi linaloangukia siku ya birthday yake kuonyesha ukuu wa jeshi...
Baadhi ya wanamgambo wa Iraq wanaoungwa mkono na Iran wako tayari kusalimisha silaha chini ya shinikizo la Marekani - Reuters.
Vikundi vya wanamgambo nchini Iraq vimejiandaa kusalimisha silaha...
Ripoti za koo za Gaza kushambulia Hamas wakitaka kulipiza kisasi kwa wale walioteswa na kunyongwa kwa kushiriki katika maandamano ya hivi majuzi.
Gaza inaweza kuwa kwenye ukingo wa vita vya...
Waandishi wa habari wameendelea kulengwa na kupoteza maisha katika mashambulizi ya mara kwa mara yanayofanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza, hali inayozidi kuzua hofu na maswali kuhusu usalama...
Hii hapa taarifa iliyowekwa kwa mtindo wa taarifa kwa vyombo vya
Ontario, Canada – Katika tukio la kusikitisha na la kushtua, mzazi mmoja wa kike amefariki dunia ghafla baada ya kupokea taarifa...
Barua ya Trump kwa Khamenei wa Iran:
"Mheshimiwa Ayatullah Khamenei,
Kwa heshima ya nafasi yako na watu wa Iran, ninakuandikia ujumbe huu kwa lengo la kufungua upeo mpya wa mahusiano yetu, mbali...
Mada hii itakuwa inakuletea updates zote zinazopangwa na US akishirikiana na Israel dhidi ya Iran Hadi siku ambayo Iran itaenda kupigwa......
Toka juzi kuna zaidi ndege 6 hatari za kivita za B-2...
Habari za wakati huu ndugu na jamaa popote mnakopatikana.
Leo baada ya kusoma habari ya vifo vya watu takribani 46 huko Gaza baada ya shambulizi la Israel kuna maswali nimejiuliza hapa ambayo...
Hapa kazungumza na waziri mkuu wa Japan kuhusu hatua alizochukua kwa nyongeza ya ushuru na namna gani wanaweza fikia makubaliano na Japan.
Huyu mzee kaona haitoshi katika kuzungumzia Japan kaamua...
Nchi za Africa zimefanya chaguo sahihi la kutafuta mshirika wa kiuchumi anayejali na kuheshimu mamlaka za Nchi hizo na kuepukana Ushirika wa Marekani na Ulaya ambao mara nyingi umekua haziheshimu...
Habari ambazo hazijathibitishwa zinaeleza kuwa Marekani imerudi nchini Afghanstan kwenye kambi ya Baghram baada ya kufanya makubaliano na Taliban. Hayo yameonekana baada ya Marekani kuwaachilia na...
Makundi ya Waislam wa jamii ya Fulani wanaendelea kuua kwa kuwachinja Wakristu huko Nigeria safari hii Wakristu 52 wamechinjwa huko katika jimbo la Plateau katika eneo la Bokkos.
Eneo hili ni...
Gaidi aliyejifanya kuwa mwandishi wa habari, Hassan Masana, aliyeripoti mauaji ya Oktoba 7 na ambaye aliongozana na magaidi hao naye ameangamizwa baada ya mashambulizi ya ndege za israel huko Khan...
Wadau hamjamboni nyote?
Gazeti la The Jerusalem Post limeripoti kuwa kundi la Hamas liliiomba Iran msaada wa kifedha wa dola milioni 500 mwaka 2021 kwa ajili ya kuliteketeza taifa la Israel ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.