Trump nae ni mduanzi tu, kashindwa kukaza

Codehood

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2021
Posts
470
Reaction score
1,054
  • Trump hikes China tariffs to 30% and then 84%
  • China reciprocates
  • Trump hikes tariffs to 145%
  • China reciprocates
  • Trump announces that he wants Xi to call him
  • China does nothing
  • Trump announces he would be ready to "make a deal"
  • China does nothing
  • Trump rolls back tariffs

I forgot the exact point i wanted to make here but just looking at the timeline is kinda hilarious.
 
Kuna namna wamarekani wamezembea hadi taifa lao linaanza kupungua influence Duniani. Mchina sio taifa la kumtisha marekani ni uzembe wa ndani wa wamarekani.

Marekani mifumo yake ya ndani ndio inayo mdhoofu. Mambo ya haki sawa, feminism, Atheism, LGBTQ agenda, kuharibu nuclear family structure, kuendekeza vita zisizo na ulazima kwenye ardhi za mataifa mengine. Hizi ni miongoni mwa sera zinazoidhoofisha marekani day by day.
 
Mkuu,

Siku zote hizi kabla ya tariffs hukujua Trump mduanzi tu?
 
Kuna namna wamarekani wamezembea hadi taifa lao linaanza kupungua influence Duniani. Mchina sio taifa la kumtisha marekani ni uzembe wa ndani wa wamarekani.

Marekani mifumo yake ya ndani ndio inayo mdhoofu. Mambo ya haki sawa, feminism, Atheism, LGBTQ agenda, kuharibu nuclear family structure, kuendekeza vita zisizo na ulazima kwenye ardhi za mataifa mengine. Hizi ni miongoni mwa sera zinazoidhoofisha marekani day by day.
Tatizo lenu nyinyi pro America hamtaki ukweli mchungu kuwa kwa sasa dunia imebadirika mnadhani dunia ya sasa ni sawa na ya miaka ya 90.
 
Kuna namna wamarekani wamezembea hadi taifa lao linaanza kupungua influence Duniani. Mchina sio taifa la kumtisha marekani ni uzembe wa ndani wa wamarekani.

Marekani mifumo yake ya ndani ndio inayo mdhoofu. Mambo ya haki sawa, feminism, Atheism, LGBTQ agenda, kuharibu nuclear family structure, kuendekeza vita zisizo na ulazima kwenye ardhi za mataifa mengine. Hizi ni miongoni mwa sera zinazoidhoofisha marekani day by day.
China ni atheist.

Kuna raise na fall of Empires hii ni lazima itokee iwe unataka au hautaki hata China iliwahi ku raise mara nyingi na ku fall mara nyingi tu katika historia yake na ku raise huku tena karne ya 21 sio kitu kipya kabisa kwao katika historia ya taifa lao.

Ni wewe tu ndio unaona Marekani kuanza kuzidiwa nguvu na China ni jambo la kushangaza kwa anayefahamu historia ya China hata kwa udogo hawezi washangaa wachina kwa hiki wanachofanya sasa.

Wakati wachina wanajenga great wall wazungu wote wa marekani na ulaya walikuwa wanakunya vichakani huko ulaya mind you hapa taifa la marekani wala lilikuwa haifikiriwi kuwepo duniani.
 
Marekani imepata Rais Taahira lenye utoto mwingi
Msichokijua trump mda wote alikua step mbele kuliko wote inaitwa mchezo wa chess....trump aliwekea nchi zote tariff akijua mazara yake kiuchumi.....na kweli uchumi ukashuka watu wakapata hasara sana.... lakjn ukiangalia iyo hasara ilikua kimkakati...ghafla akatoa tariff zote ikabaki china tu...hilo siyo kwa kukurupuka na ndo maana kabla ya kutangaza kuzitoa tariff alitweet akatoa kidokezo kwamba wote waliopata hasara ninwakati sahihi wa kununua kurudisha hasara zao...hpo wakina elon wamerudisha pesa zao walizopoteza. Haya mambo yote yamekuja ni trump alikua anamtafuta Mchina....na trump anakibuli kwa sababu marekani ndo consumer mkubwa wa bidhaa za kichina....china sawa wanafanya biashara nchi nyingi lakin consuming capacity ya marekani ni kubwa kuliko nchi nyingine combine zaidi ya dola bilion 500....so mchina asipo uza marekani uchumi wake utashuka...kwa kulijua hilo trump kampandishia tariffs hili na yeye afaidike mara mbili.
 
Acha kujifariji Trump alikurupuka akidhani dunia ya sasa ni sawa na ya miaka ya 90 Marekani alikuwa anaiburuza dunia anavyotaka.
Kama lengo lilikuwa ni china mbona jana kafuta tariff kwenye bidhaa za kidijitali kutoka china?
 
Huu naona ulikua mchezo wa ndani kuibua mabilione wapya kupitia trading na hata mchina alijua nini kinafanyika na kafaidika pia..... Watu wameuza prediction watu wamepiga pesa. "Forex"
 
Kafanya ivyoo kuzisaidia kampuni za kimarekani kama apple....Microsoft computers...ambazo mauzo yake yangeshuka kutokan na mfumuko wa bei baada ya hizo tariffs
 
Back
Top Bottom