International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Shambulio lisilotegemewa limefanywa kaskazini ya Israel likihusishwa na wanamgambo wa Houth kutoka Yemen. Wakazi wa miji ya Haifa na Krayot pamoja na miji ya jirani wanasema walishtushwa na sauti...
1 Reactions
3 Replies
611 Views
Kwa kujiamini kukubwa Israel imekuwa ikichokoza na kupiga kila kona bila kuhisi kwamba inajichimbia kaburi lake. Kiburi hicho kinatokana na misaada inayopata kutoka Marekani bila kuona ukweli kuwa...
5 Reactions
59 Replies
2K Views
- Stalin's daughter - lived and died in the United States for decades. - Khrushchev's son is a US citizen. - Where are Putin's daughters? They are not seen in Russia. — Deputy Pekhtin. With...
11 Reactions
46 Replies
3K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, kama Uongozi wa SADC ulivyokuwa umekubaliwa na nchi ya Rwanda, kuwarahisishia wanajeshi wa umoja huo, kuondoka mashariki mwa DRC, kupitia mipaka ya Rwanda, huku...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Standard ya kupima GDP kati ya China na Marekami ni tofauti GDP ya China inatumia mfumo wa production au productive sectors. China wanaangalia hasa total output ya kila economic dept kama...
11 Reactions
85 Replies
4K Views
Huko India katika eneo mojawapo la kitalii Pahalgam, Jammu katika jimbo la Kashmir limepigwa shambuli baya la magaidi na kuua watu zaidi ya 24. Narendra Modi aliyekuwa na ziara yake Saudi Arabia...
0 Reactions
0 Replies
290 Views
Nchini Japani, watafiti wamegundua mbinu rahisi na rafiki kwa mazingira ya kuwalinda ng’ombe dhidi ya kung’atwa na wadudu: kuwachora kwa mistari myeusi na meupe kama ya pundamilia. Utafiti wao...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Rais wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore amezindua kiwanda cha kusindika nyanya kilichopo katika mji wa Bobo-Dioulasso. Uzinduzi wa kiwanda hicho umefanyika leo tarehe 30 Novemba 2024 ...
10 Reactions
20 Replies
2K Views
Mkuu wa Majeshi wa Israel nchini Syria: "Tunashikilia nyadhifa muhimu na tuko kwenye mstari wa mbele kujilinda vyema iwezekanavyo." Mkuu wa Majeshi wa Eyal Zamir alifanya tathmini ya hali kwenye...
2 Reactions
14 Replies
958 Views
Papa Francis amesema kuwa yuko tayari kuwa mpatanishi katika mazungumzo kati ya Rais Nicolas Maduro na kiongozi wa upinzani, Juan Guaido, ikitokea pande zote mbili kuomba kupatanishwa. Aliyasema...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
IDF yamuua gaidi mkuu wa Jama'a Islamiya nchini Lebanon. IDF imemuua Hussein Izzat Mohammad Atwi, gaidi mkuu katika kundi la kigaidi la Jama'a Islamiya lenye mfungamano na Hamas, wakati wa mgomo...
1 Reactions
1 Replies
393 Views
Kampuni hizi zinasema kuwa zinawekeza zaidi katika uzalishaji bidhaa nchini Marekani huku ushuru (Tariffs) unapoanza kutumika. Tangu kuanza kwa muhula wa pili wa rais Trump, mashirika kadhaa...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Katibu Mkuu wa Usalama wa Ndani nchini Marekani, Kristi Noem ameonja adha wa wananchi wa kawaida nchini humo Kaibiwa pochi nene kabisa. Ndani ya pochi mlikuwemo bulungutu la kushiba mtu...
0 Reactions
4 Replies
554 Views
Kinachoendelea pale Gaza ni kama walimwengu wameamua waiache Israel ishinde vita vyake vya kuwamaliza Hamas na kuitawala Palestina. Kundi jengine la walimwengu ni kama wale wapenzi wa filamu za...
12 Reactions
68 Replies
3K Views
Majeshi ya Marekani bado yanaendeleza kipondo kwa Wahouth huko Yemen baada ya wao kununua ugomvi usiowahusu. Majeshi ya Marekani usiku huu yameshusha kipondo cha kufa mtu kwa magaidi hao na...
3 Reactions
15 Replies
861 Views
Vatican wamethibitisha kuwa Papa Francis amefariki dunia Jumatatu asubuhi kutokana na kiharusi kilichofuatiwa na kushindwa kwa moyo. Taarifa rasmi imeeleza kuwa afya ya Papa ilikuwa tayari...
1 Reactions
1 Replies
706 Views
"Nimebubujikwa na machozi ya furaha" kumsikia Rais Donald Trump akitamka maneno mazito wakati akifungua sherehe na ibada maalum ya kuadhimisha Pasaka, masaa machache yaliyopita: "Tukiwa...
19 Reactions
73 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Umri miaka 77 na asili kutokea Ireland ameshika hatamu muda huu. Taarifa kamili za wasifu wake hapo chini kwa kimombo: FARRELL Card. Kevin Joseph Card FARRELL Kevin...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mungu wetu awatie nguvu wakatoliki na wakiristo wote tukiwa kwenye msiba mzito wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Papa Francis
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Kwanini ulevi wa aina yoyote ile umetajwa kuw ni haramu ni kwa vile unasababisha majanga makubwa kwa watu waiso na hatia.Mtume saw kasema ulevi na mama wa maasi. Watu 12 huko Ecuador wamepigwa...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom