Jimbo la California nchini Marekani imeipiku Japan kwa kuwa na uchumi mkubwa namba NNE Duniani.
Uchumi wa California umeipita Japan, na kuifanya jimbo hilo la Marekani kuwa nguvu ya nne kwa ukubwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Jenerali wa Urusi, Yaroslav Moskalik, ameuawa katika mlipuko wa bomu uliotokea ndani ya gari aina ya Volkswagen Golf jijini Moscow. Anaaminika kuwa miongoni mwa viongozi...
Huyu kijana wa Burkina Faso anayesifiwa sana na Waafrika wanaolishwa fake news ni kama sanamu tu Burknafso.
Burkinafaso ni nchi ya 182 katika ya 185 katika orodha ya nchi masikini duniani.
GDP...
HII NI YA KUVUTIA 🔴
Mbunge wa Lebanon Walid Baarini anasema haungi mkono tena Hezbollah, alisema Hezbollah imeshindwa katika vita hivyo inapaswa kuweka silaha zake chini.
Aliongeza kuwa kujenga...
Fisrt lady (Mke wa Rais) wa Siera Leone, Fatma Maada mwaka jana alipokuwa akifanyiwa mahojiano alielza mambo mbalimbali ikiwemo kueleza kuwa yeye kama mke wa Rais si sehemu ya serikali ila...
Taarifa iliyotolewa na maafisa Wa jeshi kutoka Pakistan na India wamerushiana risasi usiku kucha katika mstari wa udhibiti katika Kashmir inayozozana
Umoja wa mataifa umewataka wapinzani hao...
Rais wa Mamlaka ya Palestina atoa kauli isiyo ya kawaida: "Hamas, nyinyi wana wa mbwa, wapeni mateka watuondoleeni tatizo hili."
Mwenyekiti wa Mamlaka ya Palestina Abbas alitoa taarifa kwa vyombo...
Chama cha Liberal Democrats kimependekeza mpango wa kutoza faini ya hadi pauni 1,000 kwa watu wanaocheza muziki au video kwa sauti kubwa katika usafiri wa umma nchini Uingereza. Lengo ni...
Kuendelea Kwa china kiviwanda, Kilimo na uzalishaji kuna tokana na kuwa na uongozi wa Wana sayansi. Ambao wanajua maana kamili ya uzalishaji na sio maneno maneno.
Kiwango cha kuishi huko Gaza kabla ya mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 kulikuwa 75.5 lakini sasa hivi ki sporo oka kwa kiasi kikubwa na kuwa 40.6 baada ya mashambulizi ya Oct 07,2023
Kiwango cha...
Mbunge wa Marekani Cory Mills anaiambia Bloomberg alizungumza na Rais wa Syria Ahmed al-Sharaa kuhusu vikwazo vya Marekani, kuondolewa kwa silaha za kemikali, na uwezekano wa Syria kujiunga na...
'Qatar imekuwa mpatanishi katika migogoro mingi inayotokea huko Mashariki ya kati kati ya Israel na magaidi wa Hamas ni mara nyingi imejulikana katika ubadirishanaji wa mateka waliotekwa na...
Maafisa wa polisi wa kitengo cha wasomi cha Gideons cha Lahav 433, chini ya uongozi wa Shabak, walimkamata mpiganaji wa Jihadi aliyekuwa na silaha nzito huko Qalqilya ambaye alikuwa akielekea...
Serikali mpya ya Syria imeamua kuwatumia PIJ kikundi cha Kigaidi kilichokuwa kinafanya Shughuli zake nchini humo sasa, waende Iraq na Iran na huko walete laana...
Rais Trump wa USA amesema anashangaa kuwaona Wakimbizi kutoka Congo na kuhoji Kwani Congo ni kitu gani?
Akina Nyani Ngabu sijui hali zao zikoje
Mlale unono 😁
Wakati wa mkutano na Waziri Mkuu wa...
Wanaukumbi.
🇮🇱🇱🇧 Hapo jana Israel walisema wanaelekea kwenye uamuzi wa kuivamia Lebanon, leo Hezbollah wamerusha roketi kwenye kituo chao na kuua na kujeruhi makumi ya wanajeshi.
Wakati huo...
Jeshi la Burkina Faso lasema lilizuia njama 'kuu' ya mapinduzi.
Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imesema ilitibua "njama kubwa" ya kumpindua kiongozi wa kijeshi Kapteni Ibrahim Traoré, huku...
President Donald Trump touted that the United States and China were at the negotiating table to reach a resolution to the trade war — but Beijing says that’s not true.
Washington was “actively”...
Kuwasili nchini Iran kwa ndege za kivita aina ya Sukhoi 35, mapema mwaka ujao
[https://media]
Mjumbe wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.