International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Fujo za kidini huko Palestina na India zimekuwa na athari kubwa kwa jamii ya Waislamu, zikichangia matatizo makubwa ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Hali hizi ni matokeo ya mizozo ya muda mrefu...
8 Reactions
50 Replies
2K Views
Askari wa jeshi lowezi huko palestina aliliwa na papa alipokua akipoza fuvu kwa kuogelea baharini huko palestina Ufuo huo sasa unaogopwa na wazayuni,maana papa walionekana kurudi tena na...
0 Reactions
13 Replies
972 Views
Hajielewi hata anachosema. Israel inaua na kuvunja majengo na kunyang'anya mashamba ndani ya maeneo yanayotajwa yako chini ya mamlaka yake na hakuna Hamas. Israel katika mapendekezo yote ya...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Mamia ya wananchi wa Gaza wameondoka leo kupitia Uwanja wa Ndege wa Ramon kuelekea Ufaransa na nchi nyingine nimewashuhudia mimi mwenyewe kwa macho yangu vibaka hao waliondoka Walitoka sehemu...
1 Reactions
16 Replies
737 Views
3 Reactions
10 Replies
812 Views
Wadau hamjamboni nyote? Miongoni mwa wanaopewa nafasi kubwa ya kuwa Papa mpya ni Kardinali Peter Turkson, askofu mkuu kutoka Ghana, ambaye huenda akaweka historia kwa kuwa Papa Mweusi wa kwanza...
14 Reactions
114 Replies
8K Views
Mungu ameweza kuwaepusha wataruki na maafa baada ya mtetemeko mkubwa kuikumba Leo jiji Lao kubwa la Istanbul. Cha kumshukuru Mungu hakuna kifo Bali majeruhi hasa watu waliokuwa wakijirusha kutoka...
2 Reactions
8 Replies
528 Views
Maonesho ya 137 ya Canton yamefunguliwa hivi karibuni mjini Guangzhou China. Takwimu zinaonesha kuwa katika siku ya ufunguzi, jumla ya wanunuzi 64,530 wa ng'ambo wameshiriki katika maonesho hayo...
0 Reactions
2 Replies
388 Views
Baada ya sakata la mkuu wa Pentagon Pete Hegeseth kuhusika kumuingiza mwandishi wa habari kwenye kundi la siri za kivita. kwa mara nyengine amewarushia mkewe na nduguye siri za wizara hiyo...
2 Reactions
10 Replies
772 Views
Siku moja tu tangu vita vya kibiashara kwa dunia nzima vianze rasmi raisi Donald Trump ameinua mikono na kutoa matamshi ya kurudi nyuma na kufedheheka. Vita hivyo vimesambaraka mapema kwa vile...
4 Reactions
48 Replies
2K Views
Wamarekani hawapendi kuonekana wamefel watazua hata sababu za kijinga ili ionekane adui hajafanikiwa lakini ukija kwenye uhalisia ni kwamba US kapasuka.
6 Reactions
15 Replies
993 Views
Inasemekana ndilo ghala kubwa kuliko yote huko Russia. Mlipuko uliotokea ni mkubwa kuliko milipuko ya bomu la nyuklia. Ni hasara kubwa zaidi kwa Russia tangu vita vya Ukraine vianze...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Picha na AP Nchi ya Bangladeshi wameliomba shirika la polisi wa kimataifa la Interpol kutoa hati nyekundu au Red Notice ili kumkamata aliekuwa Waziri mkuu wa nchi hiyo Sheikh Hasina ambae kwa...
0 Reactions
7 Replies
533 Views
Moto mkubwa umezuka israel kiasi cha watumiaji wa vyombo vya moto kutelekeza vyombo vyao barabarani Inadaiwa ni kutokana na halo mbaya ya hewa,lakini usiku wa kuamkia leo houthi walifanya...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Africa ni bara lililogawanyika sana.Mgawanyiko huu haukuja kwa bahati mbaya,it is by design.Wakoloni walijua kwamba kama wangeacha bara la Africa liwe na umoja,wasingeweza kuitawala na kuiba...
11 Reactions
79 Replies
3K Views
Kufuatia hasara kubwa anazopata tajiri na bilionea wa Marekan,Ellon Musk ameamua kutotumia tena muda wake mwingi kujishughulisha na utawala wa raisi Donald Trump. Hasara za bilionea huyo...
2 Reactions
10 Replies
938 Views
Sitaki kuandika juu ya sababu za kumsimamisha, my concern is the Idependncy of the Judiciary! Ghana president suspends chief justice in unprecedented move Rais wa Ghana, John Mahama...
1 Reactions
4 Replies
580 Views
Uganda inaipita Tanzania katika Pato la Taifa kwa kila mtu, na hivyo kuimarisha nafasi yake kama mojawapo ya nchi zinazokua kwa kasi kiuchumi za Afrika Mashariki, kulingana na uchambuzi wa hivi...
5 Reactions
115 Replies
5K Views
Kazi kwenu Bwana Utam, STRUGGLE MAN, nk ----- Rais Xi Jinping wa China amewataka viongozi kuongeza juhudi katika kanuni ya kuoanisha Uislamu katika mwelekeo na dini za nchi hiyo ili kuendana na...
18 Reactions
347 Replies
17K Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, siku ya Alhamisi alitoa ishara ya uwezekano wa kumalizika kwa ongezeko la ushuru wa forodha kati ya Marekani na China, ongezeko ambalo limeyumbisha masoko ya fedha...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom