International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Vita baina ya India na Pakistan vimetabiriwa kutoepukika kufuatia mauwaji ya kigaidi yaliyofanywa Kashmir. Aina ya watu wanaoitwa watalii waliouliwa na muda na namna tukio lilivyotokea limeelezwa...
0 Reactions
0 Replies
237 Views
BREAKING: Mlipuko mkubwa wa ajabu ulitikisa bandari ya Shahid Rajaee ya Iran - ardhi ilitikisika na Kusik Ikea maili nyingi kutoka hapo. Utawala wa Ayatollah haujatoa taarifa yoyote kuhusu...
1 Reactions
9 Replies
882 Views
Ukifika pale Italia, kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa Vatican. Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Kanisa la Roman Catholic ambapo mkuu wa kanisani hilo ni Papa. Pale Italia wana pesa yao, ila...
34 Reactions
67 Replies
8K Views
Kwa vile Marekani haiwezi kuwa na askari wa upelelezi ndaniy ardhi ya Yemen inalazimika kutumia droni kwa kazi hiyo.Droni zinazoaminiwa na jeshi ni aina ya MQR-9 na matoleo yanayofanana nayo...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Raisi Trump kuona kila mtu anamkosoa kwa vita vya kibiasahara na IMF kumtahadharisha kuwa uchumi wa US unakufa kwa kasi amebadili msimamo ghafla. Ameipigia magoti China akisema ataipunguzia kodi...
14 Reactions
93 Replies
4K Views
Leo, Aprili 26, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky walikutana kwa mazungumzo ya faragha mjini Roma, kabla ya mazishi ya Papa Francis. Mkutano huo ulifanyika...
1 Reactions
8 Replies
923 Views
Mlipuko mkubwa watokea huko Iran kwenye eneo la Bandari Abbas. Vyombo vya habari vya Iran vinakadiria zaidi ya watu 406 wamejeruhiwa na mlipuko huo. Inahisiwa mlipuko huo uliotokea kwenye...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Mamia ya watu wamejeruhiwa kufuatia mlipuko mkubwa na moto katika bandari ya Bandar Abbas, zaidi ya kilomita 1,000 kusini mwa Tehran, Iran, kwa mujibu wa maafisa na vyombo vya habari vya serikali...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Kati ya Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Serikali ya Jamhuri ya Rwanda (Washiriki), kwa kuunga mkono njia ya kuelekea amani, utulivu, na maendeleo ya pamoja ya kiuchumi katika eneo...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Magaidi wa Hamas watoa video ya Propaganda baada ya kuona kipigo kwa magaidi hao kimezidi. Wamesahau kuwa ISRAEL HAITISHIWI NYAU!!
2 Reactions
60 Replies
2K Views
Hii Vatican ni nchi? Mfumo wake wa upigaji kura uko vipi? Yaani raia wake wanapiga kura kumchagua Rais Kwa mfano Iran kuna Rais ambae ni kiongozi anaechaguliwa na raia wa Iran. Kuna Ayatollah Ali...
8 Reactions
58 Replies
3K Views
"Ikiwa Iran itatushinda - nchi za Magharibi ndizo zitafuatia. Baada ya Oct 07,20203 Israeli haitaruhusu tena madhara kwa Wayahudi na wala Hatutasamehe kwa yeyote aakayejaribu kutushambulia...
8 Reactions
31 Replies
1K Views
Haya mambo utayapata africa tu Tamaa za madaraka wananchi wa tunisia waandama dhidi ya serikali kwa kukandamiza upinzani. Haya mambo kama huelewi ndio anayofanya samira watu wamehamasisha uwepo...
3 Reactions
5 Replies
402 Views
Gazeti lenye mrengo wa serikali ya Israel la Haaretz limesema nchi hiyo haitapeleka kiongozi yoyote kuiwakilisha kwenye mazishi ya papa Francis anayetarajiwa kuzikwa hapo kesho. Utawala wa nchi...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo hii amepokelewa White-house na Rais wa Marekani Donald Trump Wakiwa kwenye kikao chao watazungumza mambo mbalimbali yakiwemo vita vinavyoendelea na...
2 Reactions
9 Replies
773 Views
Makundi ya wapalestina wakiwemo Hamas wamesikitishw sana na matamshi ya mzee Mahmoud Abbas ambapo alitukana matusi mabaya na kwa kujisahau katika kazi zake. Bila kumrudishia matusi wapalestina...
1 Reactions
51 Replies
2K Views
Ni kitu cha kushangaza na kusikitisha kuona akina mama na watoto wakifurahia kipindi majeneza ya Mama na watoto Kfir mwenye miezi 10 na Kaka yake Ariel Bibas miaka 8 yakiwekwa jukwaani kipindi...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Milwaukee, Hannah Dugan, alikamatwa na FBI tarehe 25 Aprili 2025 kwa madai ya kumsaidia mshukiwa kukwepa maafisa wa Uhamiaji na Forodha (ICE) wa Marekani. Tukio hilo...
2 Reactions
4 Replies
469 Views
Kuna mtu anaweza kuelezea sababu za magari ya Kenya kutoka Malawi yanayopitia Tanzania kutaabishwa katika mipaka yetu kutokana na mgogoro wetu na Malawi?
4 Reactions
67 Replies
4K Views
Amerika ilimuua MUAMMAR GADDAFI na kuiharibu LIBYA ambayo sasa haijulikani tena namna ya kupona. Sasa, wanataka kumfuata nahodha wetu, IBRAHIM TRAORE JULIUS MALEMA Kama jambo lolote likimtokea...
10 Reactions
18 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…