International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mbunge wa Lebanon kwa Hezbollah: Toa silaha zako au utuache na uende kuanzisha nchi yako Biar Abu Aassi, Mbunge wa Lebanon kutoka chama cha Vikosi vya Lebanon: "Tunasisitiza kwamba Hezbollah...
0 Reactions
7 Replies
529 Views
27 Aprili 2025 Vancouer, Canada https://m.youtube.com/watch?v=KzeegXPn-OU Watu waliokuwa katika sherehe za siku ya Lapu Lapu tarehe 26 Aprili 2025 katika mtaa moja wa mji wa Vancouver Canada...
0 Reactions
2 Replies
417 Views
Mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama nchini Burkinafaso (ANR) Oumarou Yabre ameweka tahadhari kadhaa na kupitia watu wake ndani na nje ya Jeshi na idara wamefanikiwa kugundua chai iliyokuwa apewe...
18 Reactions
78 Replies
5K Views
Katika zama hizi za mabadiliko makubwa duniani, bara la Afrika linashuhudia kuibuka kwa viongozi vijana wanaojaribu kuvunja minyororo ya ukoloni mamboleo na kuchochea ari ya kizalendo. Miongoni...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Hali ya Maisha Cuba ni ngumu. Kuna uhaba wa chakula, mgao wa umeme na maji. Hata sanitary pads za wanawake ni shida. Mamia ya wa Cuba waliorudishwa Kwa nguvu kutoka Marekani hasa Jimbo la...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Imam Mkuu wa Al-Azhar, Ahmed El-Tayeb, ambaye pia aliwahi kuwa Mufti Mkuu wa Misri, ni msomi mashuhuri wa dini ya Kiislamu, mwenye elimu, ujuzi, na uelewa mkubwa wa masuala ya dini na dunia kwa...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Anaitwa Mohammed Asaduzzaman kutoka Bangladesh. Kila kitu kinawezekana kwenye maisha, hata Mzaramo siku moja anaweza kuwa meya Uingereza.
2 Reactions
11 Replies
783 Views
Iran bado mpaka asubuhi ya leo Inahangaika kuzima moto uliosababishwa na mlipuko mkubwa amabao Iran wenyewe wameshindwa kujua umetokana na nini na wanataka kuhaha kusingizia kuwa kuna mkono wa...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Vita baina ya India na Pakistan vimetabiriwa kutoepukika kufuatia mauwaji ya kigaidi yaliyofanywa Kashmir. Aina ya watu wanaoitwa watalii waliouliwa na muda na namna tukio lilivyotokea limeelezwa...
2 Reactions
7 Replies
598 Views
Mvutano kati ya Saudi Arabia, UAE, na Iran unakuwepo licha ya mataifa haya kufuata falsafa za pamoja za dini ya Kiislamu lakini utofauti wa kikabila, kijeshi, na kiitikadi unafanya mataifa haya...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Papa Fransis ameacha utajiri wa shilingi laki mbili na nusu za kitanzania
4 Reactions
97 Replies
5K Views
Maafisa wakuu wa IDF wanazidi kuishauri Serikali iwaachie waiangamize Gaza, na walitoa taarifa ifuatayo mwishoni mwa wiki: “Toka vita vianze Gaza tulikuwa tumeichukua lakini Serikali wakaingia...
1 Reactions
3 Replies
436 Views
Vita baina ya India na Pakistan vimetabiriwa kutoepukika kufuatia mauwaji ya kigaidi yaliyofanywa Kashmir. Aina ya watu wanaoitwa watalii waliouliwa na muda na namna tukio lilivyotokea limeelezwa...
0 Reactions
0 Replies
237 Views
BREAKING: Mlipuko mkubwa wa ajabu ulitikisa bandari ya Shahid Rajaee ya Iran - ardhi ilitikisika na Kusik Ikea maili nyingi kutoka hapo. Utawala wa Ayatollah haujatoa taarifa yoyote kuhusu...
1 Reactions
9 Replies
882 Views
Ukifika pale Italia, kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa Vatican. Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Kanisa la Roman Catholic ambapo mkuu wa kanisani hilo ni Papa. Pale Italia wana pesa yao, ila...
34 Reactions
67 Replies
8K Views
Kwa vile Marekani haiwezi kuwa na askari wa upelelezi ndaniy ardhi ya Yemen inalazimika kutumia droni kwa kazi hiyo.Droni zinazoaminiwa na jeshi ni aina ya MQR-9 na matoleo yanayofanana nayo...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Raisi Trump kuona kila mtu anamkosoa kwa vita vya kibiasahara na IMF kumtahadharisha kuwa uchumi wa US unakufa kwa kasi amebadili msimamo ghafla. Ameipigia magoti China akisema ataipunguzia kodi...
14 Reactions
93 Replies
4K Views
Leo, Aprili 26, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky walikutana kwa mazungumzo ya faragha mjini Roma, kabla ya mazishi ya Papa Francis. Mkutano huo ulifanyika...
1 Reactions
8 Replies
923 Views
Mlipuko mkubwa watokea huko Iran kwenye eneo la Bandari Abbas. Vyombo vya habari vya Iran vinakadiria zaidi ya watu 406 wamejeruhiwa na mlipuko huo. Inahisiwa mlipuko huo uliotokea kwenye...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Mamia ya watu wamejeruhiwa kufuatia mlipuko mkubwa na moto katika bandari ya Bandar Abbas, zaidi ya kilomita 1,000 kusini mwa Tehran, Iran, kwa mujibu wa maafisa na vyombo vya habari vya serikali...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom