International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo Syrian minister says Qatar to provide $29 million a month for salary payments By Reuters Qatar is set to provide Syria with $29...
2 Reactions
17 Replies
684 Views
https://www.instagram.com/p/DJb7VKly4tE/?igsh=MTdyMjI3eTRiaHlxag== My Take Kiwango hicho Cha ugunduzi kitaifanya Somalia kuwa mzalishaji namba 3 wa Mafuta Afrika nyuma ya Nigeria na Libya...
0 Reactions
28 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kumbe Rais Wa Burkina Faso Ibrahim Traore tabia ya kufanya mbwembwe za kuweka Silaha Kiunoni ikiwa nje nje pamoja na kusalimia watu na viongozi mbalimbali kwa kuwapa Tano...
5 Reactions
45 Replies
4K Views
Makamu wa Rais wa Ufilipino, Sara Duterte, ameondolewa madarakani kwa tuhuma kadhaa, zikiwemo kupanga kumuua Rais wa nchi hiyo, ufisadi wa kiwango kikubwa, na kushindwa kulaani vikali hatua za...
2 Reactions
7 Replies
799 Views
Pakistani wapo milioni 247 wakati India wapo zaidi ya milioni 1400 (bilioni 1.4) hivi lakini Pakistan wameweza kumshughulikia India ipasavyo Hili nawaambiaga humu hata Rwanda hatupaswi...
14 Reactions
49 Replies
3K Views
✓✓✓New details on the million-dollar theft✓✓✓✓✓ In the recent history of the small town of West Haven, two major events have unfolded. The first was the theft of one million dollars, committed...
0 Reactions
0 Replies
440 Views
HUYU NDIYE PAPA MPYA. Robert Francis Prevost, aliyezaliwa tarehe 14 Septemba 1955 mjini Chicago, Marekani, ni Papa mpya wa Kanisa Katoliki, Anachukua jina la Papa Leo wa XIV. Kuchaguliwa kwake...
20 Reactions
82 Replies
6K Views
Kuna habari kuwa baadhi ya wanajeshi walioasi nchini Guinea walifanya jaribio la kutaka kumuua kiongozi wa kijeshi wa nchi hiyo Capteni Mousa Didas Kamara. Habari zinasema kuwa mlinzi wa Capteni...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Guinea’s Sekouba Konate, the coup leader with a difference Guinea’s interim junta leader General Sekouba Konate delivers a speech at the Alpha Yaya military camp in Conakry in this on...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Marekani imepeleka angalau ndege sita za kivita aina ya B-2 stealth katika kisiwa cha Diego Garcia, hatua inayotafsiriwa kama onyo kwa Iran kufuatia kuongezeka kwa mvutano Mashariki ya Kati...
8 Reactions
61 Replies
4K Views
Dakika 20 zilizopita, kombora la balestiki la Houthi lilirushwa kuelekea Israeli. Picha za waogeleaji wa pwani huko Tel Aviv zikikatishwa na ving'ora. Kombora hilo lilipopolewa na mifumo ya...
2 Reactions
52 Replies
2K Views
Rais wa Burkina Faso The son of Africa kipenzi cha dhati Kwa wengi na mfano wa kuigwa inasemekana alipokuwa shuleni darasani tangu elimu ya awali Hadi elimu ya juu alifanya vizuri sana. Walimu Na...
8 Reactions
13 Replies
849 Views
Maadhimisho ya kusherehekea miaka 80 toka kushindwa kwa majeshi ya NAZI yaliyoshindwa Majeshi ya Urusi, yamefanyika Moscow, huku yakihudhuriwa na Marais wa nchi rafiki wa Urusi bila Marais wa...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Wanaukumbi. ⚡️BREAKING: "Matukio mawili ya usalama" huko Gaza. - Kauli ya Al-Qassam. Al-Qassam ililipua jengo lililokuwa limenaswa na askari wa Israel mjini Rafah na kuwaacha wanajeshi sita...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Papa Leo XIV akisali kwenye Kaburi alipozikwa aliyekuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki, Baba Mtakatifu Francisko, katika Basilika ya Bikira Maria Mkuu www.radiomaria.co.tz...
0 Reactions
3 Replies
380 Views
Magaidi wa Hamas waliokuwa wamejichimbia kwenye Jengo wameuwawa baada ya jengo hilo kushambuli na Drones za jeshi la Israel...
0 Reactions
1 Replies
333 Views
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia afya ya uzazi na jinsia (UNFPA) limetangaza kuwa Serikali ya Marekani imeamua kukata ufadhili wake wa baadaye kwa shirika hilo. Hatua hii itasitisha...
1 Reactions
8 Replies
823 Views
https://www.youtube.com/live/J6MqpK91bEA?si=_JJA8qKMlvBCbpgc Uchaguzi wa Papa mpya umeanza rasmi leo, Jumatano, Mei 7, 2025, katika Kanisa la Sistine, Vatican, kufuatia kifo cha Papa Francis...
21 Reactions
524 Replies
32K Views
Papa mpya, Leo wa XIV, ametoa wito katika Misa yake ya kwanza huko Vatican kwa Kanisa Katoliki "kupambana kwa dharura" na upungufu wa imani. Akizungumza siku moja baada ya kuchaguliwa kuwa Papa...
2 Reactions
15 Replies
941 Views
Haijajulikana vita vya safari hii kati ya India na jirani yake Pakistan vitachukua muda gani,hata hivyo katika siku za mwanzo India ambayo ndiyo iliyoanzisha mashambulizi inaonekana...
7 Reactions
71 Replies
3K Views
Back
Top Bottom