Huku ukweli wa kudondoshwa ndege kadhaa za kivita za India ukithibiti mnamo siku ya mwanzo ya vita, na droni zake 25 kuangushwa kabla kufikia maeneo lengwa nchi kadhaa zimejitokeza kutaka...
Nigeria ni mojawapo ya mataifa ya hovyo sana Africa, mzalishaji namba moja wa mafuta Africa raia wake milioni 90 hawana umeme, yani 40% ya watu wake bado wanaishi kwa vibatari!
Msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) kwa lugha ya Kiarabu, Kanali Avichay Adraee, ametoa onyo kwa raia wa Yemen walioko karibu na bandari za Ras Isa, Hodeidah, na as-Salif kuondoka katika...
Ofisi ya Waziri Mkuu:
Marekani imeifahamisha Israel kuhusu nia ya Hamas ya kumwachilia mwanajeshi Idan Alexander kama ishara kwa Wamarekani, bila fidia au masharti yoyote.
Marekani imefahamisha...
Tunajua Misri na Jordan zina makubaliano yasiyo na faida yoyote kwao.Hata hivyo makubaliano hayo hayahusiani na kuua watu wa Palestina.
Baada ya kuua kwa karibu miaka miwili ni zamu yao kuiambia...
Luteni Jenerali Ahmed Sharif Chaudhry, mkurugenzi mkuu wa kitengo cha habari cha jeshi, Inter-Services Public Relations (ISPR), amedai kuwa India imefyatua “makombora sita ya balistiki” ambayo...
Wadau hamjamboni nyote?
Ni taarifa kuwa Bi Hannar Wariara Koinange hatimaye amepata uraia wa Marekani na kukabidhiwa passport ya nchi hiyo
Ni rafiki yangu kwenye Facebook na ila bado sijapata...
Maajabu Jordan yagoma kupokea mwili wa gaidi mfungwa wa kundi la kipaleatina Islamic jihad na kuurudisha misri aliachiwa huru na Israel
Wadau hamjamboni nyote?
Moatassem Radad ni mpalestina...
Kundi la kigaidi la PKK, ambalo limehusika na mapigano ya zaidi ya miongo minne na kuwaua zaidi ya watu 40,000, limetangaza kuwa limevunjwa na kuweka silaha chini
Chama cha Wafanyakazi wa...
Vituo kadhaa vya habari vya Gaza vinaitukuza video hii kuanzia leo. Inaonyesha magaidi huko Gaza wakiwanyonga watu wao wenyewe, bila kesi, hadharani.
Huu ni utamaduni wa aina gani? Ni nani...
Mwanadiplomasia wa Marekani nchini Israel amefichua mpango ambao utaanza hivi punde wa kuingiza misaada eneo la Gaza ili kuokoa maisha.
Huckabee amesema mpango huo utashirikisha makampuni binafsi...
Washukiwa watano wamekamtwa kuhusiana na kutoweka kwa mwandishi wa habari Aserie Ndlovu na mpenzi wake Zodwa Mdhluli wanatarajiwa kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu wa KwaMhlanga huko...
Juzi tulishuhudia India ikitembeza kichapo ndani ya Pakistan ambapo Pakistan waliapa kulipiza, Sasa leo wametuma makombora kuelekea India.
Chanzo cha hii yote ni kwamba Pakistan wamekua wakilea...
Makamo wa raisi wa Marekani JD Vance amesema walipata taarifa za kientelijensia za kutisha na ndipo juhudi kubwa zikafanyika kusitisha vita kwa kumpigia waziri mkuu wa India,Neranda Modi haraka...
Mzuqa
Yani huyu bwana mdogo hatari sana. Umri mdogo tu 32 anawapelekesha watu vibaya sana.
Ni yeye ndie alilazimisha waziri wa mambo ya nje Marekani Rex Tillerson kufukuzwa kazi na Trump. Hii...
Hamas wamekubaliana na marekani kumuachia raia pacha wa israel na marekani hapo kesho,baada ya mazungumzo ya Hamas na marekani
Marekani hivi karibuni imekua ikiingia makubaliano na makundi hasimu...
Serikali ya kijeshi ya nchini MALI imetangaza kusitishwa kwa shuguli zote za vyama vya kisiasa nchini humo hadi hapo itakapotangazwa tena. Tangazo hilo limetolewa tarehe 7 May 2025 kupitia...
Wadau hamjamboni nyote?
IDF na Mossad wameupata mwili wa Sgt. Daraja la Kwanza Zvi Feldman, ambaye hajapatikana tangu Vita vya Kwanza vya Lebanon vya 1982 vya Sultan Yacoub, Waziri Mkuu Benjamin...
Baada ya magaidi wa Hamas kuonekana wakijikusanya kwa wingi katika jengo moja huko Khan younis majeshi ya Israel yaliamua kulishambulia kwa bomu jengo hilo na kuangamiza kila kitu ki licho kuweto...
Wahouthi huko Yemen wametangaza mkakati wa kulifunga anga la israel kwa kupiga viwanja vya ndege
Kwa ile shughuli iliyofanywa leo ben gurion, sidhani kama kuna ndege itaeanda israel
Shirika la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.