International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Tutaweka hapa picha zao ili waswaliwe kwa kweli maana gone too soon. Walipaswa wale wale bata hapa Duniyani kabla ya kwenda Ahera.
9 Reactions
46 Replies
2K Views
Tofauti na ilivyokuwa inasemwa kwamba aliruka kupitia mlango wa dharura si kweli.. Kwa maneno yake mwenyewe baada ya ajali alitoka kwa miguu yake akitembea hadi nje alipokutana na ambulance na...
7 Reactions
61 Replies
2K Views
Umoja wa Mataifa umetangaza kupunguza kwa kiwango kikubwa shughuli zake za kibinadamu duniani, na kulaumu kile ilichokitaja kuwa "upungufu mkubwa zaidi wa ufadhili kuwahi kutokea" kwa hatua yake...
0 Reactions
0 Replies
293 Views
Trump aisii Israel isimuue kiongozi mkuu wa Iran, ripoti inasema. Rais wa Marekani Donald Trump amekataa mpango wa Israel wa kumuua Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei, maafisa watatu wa...
1 Reactions
7 Replies
549 Views
Ukiona Wamagharibi wanakiri hivi, ujue hali ni tete! Multiple casualties reported as Iranian missiles hit Israel https://www.bbc.com/news/live/c93ydeqyq71t Missiles from Iran and Yemen 'hitting...
12 Reactions
166 Replies
9K Views
Hii vita ukiweka mambo ya udini na kushirikisha akili Kwa undani utagundua mambo mengi ambayo yanampa aueni Israel na wakati mgumu Iran katika kushambuliana na kubwa zaidi ni hili. Ukiangalia...
0 Reactions
8 Replies
639 Views
Wakati dunia nzima imejikita katika vita vya Iran na Israel huko Nigeria kwa mashemeji zetu katika jimbo la Benue watu zaidi ya 200 wamechinjwa kama kuku na magaidi wiki hii ila hizo habari...
4 Reactions
11 Replies
599 Views
Wadau hamjamboni nyote. ," Mohsen Rezaei, jenerali wa IRGC ambaye aliongoza vikosi vya Iran wakati wa vita vya Iran na Iraq, aliiambia TV ya serikali. Rezaei, aliyeonekana tena akiwa amevalia...
2 Reactions
8 Replies
614 Views
Katika mkutano wa ulinzi wa Afrika uliofanyika hivi karibuni jijini Nairobi, Kenya, Kamanda wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Michael Langley, aliweka wazi kwamba kwa...
1 Reactions
2 Replies
544 Views
Kwa wanaojua kilichotokea Afghanistan ambako magaidi wa kitaleban sasa wanatesa huku Irak ikigeuka taifa lililofeli, watakubaliana nami kuwa Marekani licha ya unafiki na woga, inaonekana kutokuwa...
1 Reactions
16 Replies
908 Views
Wadau hamjamboni nyote. Shirika la Habari la Fars linaloshirikiana na IRGC liliripoti Jumatatu. "Israel inatumia ufuatiliaji wa simu kuwaua watu nchini Iran. Hapo awali ilimuua Ismail Haniyeh kwa...
1 Reactions
1 Replies
571 Views
Shirika la kijasusi la Uingereza, maarufu MI6 litaongozwa na mwanamke kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka mia moja 16 ya uhai wake. Blaise Metreweli, aliyejiunga shirika hilo mwaka 1999...
2 Reactions
7 Replies
448 Views
Kwamba kifo cha huyo mzee na lile gauni lake kinaweza kutendeka.... An Israeli official told the Wall Street Journal on Saturday that Iran’s Supreme Leader Ali Khamenei is "not off-limits" in...
6 Reactions
56 Replies
3K Views
Ni sawa na vita ya Kagera, waganda wengi walikuwa wananchukia Idi Amini waliiona Jwtz kama mkombozi na walikuwa tayari kuisaidia kwa lolote japo kwa usiri kwa hofu ya hasira za kujulikana. Na...
1 Reactions
12 Replies
753 Views
Israel haikuwa inawataka wale mateka.hawa jamaa ni wahuni sana.walijitekesha ili wapate sababu ya kutupiga Hamas na Hirizbola. Ndo maana hawakutaka hata kuwatafuta Israel haikushindwa wapata...
3 Reactions
5 Replies
465 Views
Iran imeidhabu Israel kwa makombora tiifu na kubomoa Jiji la Tel aviv Kambi za jeshi na makao mkuu ya Wizara ulinzi ❗️What is known about Iran's retaliatory attack on Israel: ▪️The Iranian Armed...
11 Reactions
89 Replies
6K Views
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei amekataa pendekezo la makubaliano ya nyuklia ya Marekani, na kusema ni kinyume na maslahi ya taifa. Anasisitiza kuwa Tehran haitaacha kurutubisha uranium...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Rais wa Marekani Donald Trump ameitaka Iran irudi haraka kwenye meza ya mazungumzo na kusaini makubaliano ya kusitisha mpango wa nyuklia kabla haijapoteza kila kitu. Rais Trump ameandika hayo...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Vikosi vya Ulinzi vya Israel vimetoa onyo la dharura kwa Wairani, na kuwaambia wakaazi kuondoka katika eneo lililo karibu na vituo vya kijeshi. Katika ujumbe kwenye mtandao wa X, akaunti ya IDF...
0 Reactions
8 Replies
600 Views
Israeli HAIJAWAHI kuanzisha vita—na wala HAIJAWAHI kushindwa vita hata moja. 🇮🇱
2 Reactions
6 Replies
409 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…