International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Nimeishi maisha yangu nikijua kua Mtawala wa mashariki ya kati kiuchumi na kijeshi ni Irani.. Jeshi lenye nguvu la mashababi na viongozi wa kijeshi mashababi ni irani Sasa hiki ni nini mngu...
11 Reactions
40 Replies
3K Views
Katika miongo ya karibuni, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imejitokeza kama moja ya mataifa yanayoendeleza teknolojia ya makombora kwa kasi na kwa nguvu kubwa. Miongoni mwa silaha zake zinazozua...
1 Reactions
4 Replies
472 Views
Yanayomtokea Iran salsa hivi siamini Kabisa Urusi na China wamekaa kimya mshirika wao akishambuliiwa na Israel Yani hata kutoa kauli TU za ukali hawatoi. Angalau Pakistan kaonesha wazi Yuko...
8 Reactions
52 Replies
2K Views
Waziri wa usafirishaji Bi.Miri regev ametangaza leo kuwa ni marufuku kwa raia kuondoka nchini humo kufuatia janga hili la vita kutokana na maelfu ya raia kukimbilia nchi za ulaya na Marekani...
3 Reactions
19 Replies
984 Views
Wadau hamjamboni nyote, Iran yapiga marufuku maafisa kutumia vifaa vilivyounganishwa kwenye mtandao Leo, saa 2:00 usiku Mamlaka ya usalama wa mtandao ya Iran imepiga marufuku maafisa kutumia...
0 Reactions
22 Replies
1K Views
dakika 27 zilizopita BREAKING NEWS Waziri wa ulinzi wa Israel asema mashambulizi makubwa nchini Iran yanakaribia Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz alisema Jumanne kwamba Israel inajiandaa...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema hataki kusitisha mapigano na Iran, bali anataka "mwisho halisi" wa suala la nyuklia la Iran, akimaanisha kwamba Iran inapaswa kuachana kabisa na silaha za...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Kilichokua kinajadiliwa ilikua Iran ipunguze nyuklia au madini ya uranium, na kubaki na ya matumizi ya nishati tu, ila sasa inashurutishwa iache kabisa mawazo ya nyuklia, na mpaka sasa anga ya...
1 Reactions
3 Replies
611 Views
Sio siri, Iran inapigika haswa, uongozi wa kijeshi umefutwa, wanasayansi wamefagiwa, makambi ya kijeshi yamesambaratishwa, Israel imeteka anga, ndege zake zinaruka huku na ule zikipiga popote...
0 Reactions
0 Replies
385 Views
Kama Israel inashinda hii vita na kweli inazuia mashambulizi dhidi ya Iran, Kwanini inazuia media kutoa taarifa? Hadi channel za YouTube zimezuiliwa kurusha matangazo upande wa Israel. Hii...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Ubalozi wa China nchini Israel umewataka raia wake kuondoka nchini humo haraka iwezekanavyo, katika tangazo lake la leo Jumanne. Taarifa ya ubalozi wa China nchini Israel, ilichapishwa kupitia...
2 Reactions
16 Replies
939 Views
Wadau hamjamboni nyote. Kumekucha kumekucha. June 13, 2025 Iran’s new Guards chief says ‘gates of hell’ will open on Israel Kamanda mpya aliyeapishwa wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu...
7 Reactions
51 Replies
3K Views
Kiki za kwenye mitandao huwa zina muda mfupi wa uhai! Yule jamaa yenu wa Burkina Faso naona kiki zake zimeshaishiwa gesi sasa. Siku hizi hasikiki tena baada ya watu kama mimi kuwafumbua macho...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
21 minutes ago Iran says Israeli strike hit hospital in Kermanshah, calls it a war crime Iranian Foreign Ministry spokesman Esmaeil Baghaei said Monday that Israeli forces targeted Farabi...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Wakuu, Hivi nini kinaendelea kwnye hili shirika la Air India? Hili ni tukio la 3 lisilo la kawaida linaripotiwa kutokea kwenye ndege za Shirika hili === Ndege ya Air India (AI‑159) iliyokuwa...
0 Reactions
1 Replies
484 Views
Kwa makobazi wa kike na wa kiume, hii ni ngumu kumeza. Sasa ni dhahiri shahiri kuwa hakuna kiongozi wa Iran asiyegusika. Hiyo ni pamoja na Ayatollah pamoja na Rais wa Iran. Sitoshangaa Israel...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Mimi mwenyewe ninaogopa kushuhudia kile kinataka kutokea, labda mwezi huu wa October. Kweli kabisa Iran ina nguvu za Kijeshi: kibaya zaidi kwa sasa inapata support kubwa toka Urusi na Uturuki...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Hii Dunia ina unafiki mwingi sana. Leo Israel analalamika Iran anashambulia wanawake na watoto wakati yenyewe hapo jirani Gaza imewaua maelfu ya wanawake na watoto wasiyo na hatia. Nasema hivi...
15 Reactions
130 Replies
4K Views
Taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya Ujerumani baada ya mashambulizi ya Israel katika nchi ya Iran. Taarifa ikiishutumu Iran kwa kuishambulia Israel. Inaonekana Ujerumani inateswa na historia...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Hamna namna hadi Ayatollah atie saini kuacha mawazo ya nyuklia, kwa sasa amesazwa na lile gauni lake ila wengine wote wanafagiwa.... Israel imefanya maangamizi makubwa sana mpaka hapo, Marekani...
1 Reactions
5 Replies
634 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…