Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,524
- 4,603
Kiongozi mkuu wa Iran the supreme leader Ayatollah huenda ni Mossad Tena double agent aliyekubuhu.
Simuamini Kabisa tangu Yule general Suleiman kuuliwa Iraq, Rais wao Ebrahim Raisi afe kwenye helicopter kwenye mazingira tatanishi, na boss wa Hamas Ismail haniyeh kufa kambini, na Nasrallah kufa ni wazi Ayatollah aliwachoma Tu Kwa Mossad.
Angalia sasa hivi viongozi wa ngazi za juu Iran wanavyouliwa itakuwa tu Ayatollah anawachoma Kwa Mossad.
Na sasa hivi hajali kabisa kwasababu umri umeenda na ni mgonjwa hana cha kupotezea.
Yani haya ni mawazo yangu tu Kwa tafiti za kufikiria.
Simuamini Kabisa Ayatollah.
Mungu wabariki raia wa Iran kwenye ukombozi wao ambao wataupata Karibuni.