Chief Business Officer at Infobip,Ivan Ostojić
Global cloud communications platform Infobip today announced its Conversational Experience Orchestration Platform (CXOP) — a game-changing solution...
Ayatollah asema Vita ndio inaanza sasa, Marekani yaufunga kwa muda Ubalozi wake Jerusalem huku Trump akitafakari aingie vitani ama la!
Kama kuna Watanzania wamebakia Iran basi Bunge letu lifanye...
Katika kipindi cha zaid ya miongo 3 tumeshuhudia Amani ya DRC haijawahi kuwa na Amani iliyotulia,lakini kama mnakumbuka DRC ni miongoni mwanchi zilizojiunga na EAC na baadae akapata uanachama...
Furahaa ya saudia ni kujipitisha tu ili iran kama anaweza kutungua ndege yake.
Yani hapa naona mashavu ya iran yalivyo vimba.
Ni ndege ya emirate usajiri UAE 129.
Watu wanajua kutafuta CV.
Marekani yatarajia kukishambulia kituo cha nyuklia cha Iran cha Fordow ndani ya siku chache, maafisa wa Israel waliiambia Axios, wakati rais wa Marekani anapima hatua za kijeshi katika mkutano wa...
Kwa sasa ana miaka 88. Bodo yupo serekalini kama naibu waziri mkuu huko Uganda Aliwahi kuwa Mwanajeshi. Ni mwanasheria kitaalam na mwanasiasa.
Kwa sasa anaonekana kabisa ana shida kubwa ya kiafya...
Tumsifu YESU KRISTO watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Mda huu nimekaa roho yangu imeniuma sana kwa kweli
Kwan dunian hapa hatuwezi zungumza tu tukaelewana mpaka tuuwane jaman
Leo...
The International Monetary Fund (IMF) ranks Kenya as a middle-income country, while Tanzania is considered a low-income country
In 2025, the Bretton Woods institution projects Kenya's economy...
Iran wamesema nchi na dunia itashuhudia kupitia TV rubani wa kike wa f-35 akisema wapi ndege zao ziliongezewa mafuta kabla ya kuelekea Iran,pamoja na mengine
Kumbe ndiyo maana israel imeshambulia...
Tajiri mwenye asili ya India, mwenye umri wa miaka 53 na mpenzi maarufu wa mchezo wa polo, ambaye pia alikuwa karibu sana na Prince William, amefariki dunia kwa kusikitisha wakati wa mechi ya polo...
Kuna watu wanaweza kufikiria vita ni maamuzi ya mwisho kutuma bomu la nyuklia.
Mpaka unapeleka ilo bomu ni kwamba umefikia maamuzi kuwa idadi ya vifaa vya kupigania vita vimekwisha.
Mfano urusi...
Kabla ya Trump kuingia madarakani awamu ya kwanza, Obama alikuwa amefanikisha kupatikana kwa makubaliano ya udhibiti wa nuclear Iran yaliyojulikana kama Joint Comprehensive Plan of Action(JCPOA)...
Kama kuna makosa ya Kidiplomasia ambayo Kagame amewahi kuyafanya basi kosa kubwa zaidi ni kitendo cha kutangaza kuvunja uhusiano wa Kidiplomasia na Belgium sasa. Huo ni mtego ambao ametengenezewa...
Taasisi ya sayansi inayoshirikiana na Jeshi ambalo pia ina mafungamano na shirika la ujasusi la Mossad Weizzman institute of science ambayo imejikita kwenye utafiti ,utengenezaji wa silaha...
Rais wa Guinea‑Bissau, Umaro Sissoco Embaló, ametoa tamko kuhusu mvutano kati ya Iran na Israel jana tarehe 16 Juni 2025:
Rais Embaló amewataka viongozi wa Iran na Israel Benjamin Netanyahu na...
Kiongozi mkuu wa Iran the supreme leader Ayatollah huenda ni Mossad Tena double agent aliyekubuhu.
Simuamini Kabisa tangu Yule general Suleiman kuuliwa Iraq, Rais wao Ebrahim Raisi afe kwenye...
Iran News Network, ambao ni sehemu ya kituo cha televisheni cha taifa cha Iran, imesema kuwa imeshambuliwa na Israel, kulingana na ripoti za Reuters.
Hii inafuatia vitisho vya awali kutoka kwa...
Tarehe 31 Julai 2024, Ismail Haniyeh, kiongozi wa kisiasa wa Hamas, aliuawa kwa mlipuko wa bomu katika chumba chake cha kulala akiwa pamoja na mlinzi wake ndani ya jengo la kifahari la Neshat...
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema "tuko njiani kupata ushindi".
Akitembelea kambi ya anga ya Israel, alirejelea madai ambayo tumesikia kutoka Israel leo - kwamba "inadhibiti anga...
Iran yatoa onyo la kuhama mara moja watangazaji wa vituo vya habari vya Israel vya N12 and N14, taarifa kamili hapo chini kwa kimomboIran issues evacuation warning for Israeli news channels...