Umoja wa Ulaya Kuketi Mezani na Iran

Umoja wa Ulaya Kuketi Mezani na Iran

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,152
Mawaziri wa Ulaya wanatarajiwa kukutana leo kuishawishi Iran irudi kwenye meza ya mazungumzo, Mawaziri hao wa Mambo ya nje watakutana na mwenzao wa Iran Abbas Araghchi mjini Geneva, Uswis leo Ijumaa, kwa matumaini ya kupunguza mvutano kati ya Iran na Israel.

Uingereza, Ujerumani, Ufaransa, na mwanadiplomasia mkuu wa Umoja wa Ulaya Kaja Kallas, wanashiriki katika mazungumzo ya kwanza ya ana kwa ana kati ya Tehran na serikali za magharibi tangu Israel iliposhambulia Iran wiki moja iliyopita.

Hatua hii Inafuatia tangazo la Rais Trump kwamba ataahirisha uamuzi wowote wa kuingilia kijeshi kwa nchi yake huko Iran kwa majuma mawiili.

1750410024327.png

====
Reuters,

Europe pushes diplomacy as Israel-Iran air war enters second week​

Iran said on Friday it would not discuss the future of its nuclear programme while under Israeli attack, as Europe sought to draw Tehran back to the negotiating table, with a decision on potential U.S. involvement expected within two weeks.

Israel began attacking Iran last Friday, saying it aimed to prevent its longtime enemy from developing nuclear weapons. Iran retaliated with missile and drone strikes on Israel. It says its nuclear programme is peaceful.
Israeli air attacks have killed 639 people in Iran, the Human Rights Activists News Agency said. Those killed include the military's top echelon and nuclear scientists. Israel has said at least two dozen Israeli civilians have died in Iranian missile attacks. Reuters could not independently verify the death toll from either side.

Israel has targeted nuclear sites, missile capabilities, while also hitting civilian areas, as it tries to shatter the government of Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei, according to Western and regional officials.
"Are we targeting the downfall of the regime? That may be a result, but it's up to the Iranian people to rise for their freedom," Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu said on Thursday.
Iran has said it is targeting military and defence-related sites in Israel, although it has also hit a hospital and other civilian sites.

Israel accused Iran on Thursday of deliberately targeting civilians through the use of cluster munitions, which disperse small bombs over a wide area. Iran's mission to the United Nations did not immediately respond to a request for comment.

Iran's emergency services said on Friday that five hospitals had been damaged in Israeli strikes.
With neither country backing down, the foreign ministers of Britain, France and Germany along with the European Union foreign policy chief were due to meet Iran's Foreign Minister Abbas Araqchi in Geneva to try to de-escalate the conflict on Friday.
"Now is the time to put a stop to the grave scenes in the Middle East and prevent a regional escalation that would benefit no one," said British Foreign Minister David Lammy.
 
Israel alivyoona mazungumzo yanaweza yakafanikiwa basi akashambulia ile siku Ili tu mazungumzo yakwame, ilikuwa duru kama ya sita hivi ya mazungumzo. Israel hataki mazungumzo, anachotaka ni kuiangamiza Iran Ili abakie kuwa solenly nuclear super power wa middle east.
 
Israel alivyoona mazungumzo yanaweza yakafanikiwa basi akashambulia ile siku Ili tu mazungumzo yakwame, ilikuwa duru kama ya sita hivi ya mazungumzo. Israel hataki mazungumzo, anachotaka ni kuiangamiza Iran Ili abakie kuwa solenly nuclear super power wa middle east.
Mahesabu yake yameenda vibaya.
Yeye mwenyewe keshafeli analazimisha watu waingie vitani kwaajili yake.
 
Huo mchezo west huwa wanaupenda. Huwa wanagawana majukumu, camp moja huwa inajifanya ni good cop, camp nyingine inajifanya ni bad cop.
Kitu ambacho Iran inabidi afanye ni kukatia hasara ka Israel mpaka miaka mingine ijayo kajifikirie mara mbilimbili kurudia kuishambulia Iran.

Iran kweli imepewa hasara kubwa kwa uchokozi iliyofanyiwa lakini Ina human capital na Resource za kurudisha vyote vilivyoharibiwa na Israel.

Na ikibidi sasa wayatafute mabomu ua Nyukilia wawe nayo.
 
Israel alivyoona mazungumzo yanaweza yakafanikiwa basi akashambulia ile siku Ili tu mazungumzo yakwame, ilikuwa duru kama ya sita hivi ya mazungumzo. Israel hataki mazungumzo, anachotaka ni kuiangamiza Iran Ili abakie kuwa solenly nuclear super power wa middle east.
Wrong timing and calculation.

Sio kwa Iran. Hesabu zake bado zingekuwa wrong kwa Taifa kama Uturuki achilia mbali Iran ambaye ni mbabe hadi kwa mahawara wote wa Israel.

This time Israel amepitia magumu ambayo hajawahi kuyapitia tangu kuanzishwa kwa taifa uchwara.

Yanayoendelea Gaza ndiyo anayoyapitia leo Israel.
 
Kitu Iran inatakiwa kufanya nikuicho Moa kisha kuiingiza tena kwa nguvu hadi asikie kamlio ,hiyo ndiyo kitu Israel walifanya kwa Irani

Watu wapo kwenye mazungumzo kisha Israel anakuja mlango wa nyuma na kuua wataalam wamwenzake then anakimbilia mezani eti mkapatane ,shit.

Iran asilegeze
 
Kwa nini waende kwenye mazungumzo ilihali Israel wanamuweza?

Iran wanashinikizwa kuingia mazungumzo...?

Tafadhar, Iran asishiriki aendelee kuifuta Israel kama adhima yake tokea kitambo

Akituma watu wake huko, ujuwe yamemfika shingoni Iran
 
Kuna watu mie niliwaambia ila wakawa wabishi.
Israel safari hii ameyakanyaga vibaya,ukitaka kujua hilo tizama washirika wake wa magharibi wanavyohaha kuleta mapatano.
Leo Iran kasema hana time na mazungumzo wakati vita vinaendelea, hapo ni wazi kabisa wanasema msitutie pressure ya kusimamisha vita. Aliye anzisha vita yeye ndio ainue mikono mwanzo na sisi tuwe wa nwisho kupiga risasi ya mwisho.


View: https://youtu.be/PLLXfUdoRMc?si=KUj3Wq-o24VExdY3

Waisrael wanakimbia kuelekea Cyprus kuna rafiki yangu yuko huko anasema wamejazana wengine karibu watanza kulalala barabarani hahaha
 
Hawa wakubwa ulimwenguni wanajuana kwakweli sisi tungojee matukio tu.
 
Juzi gazeti Washington Posts limesema kama US hasipo mpo supply ya silaha za kuintercept mabomu, Myahudi atakuwa na hali mbaya. Kwani ndani ya wiki mbili mbili mzigo utakakata. Jana jioni msemaji wa White House alikuwa na kikao na waandishi wa habari, walimuuliza je US wanampango wa kuingia vitani, akawajibu ndani ya wiki mbili hizi watatoa majibu,ila kwa sasa wanajaribu kutumia diplomasia ambayo kwa uhakika US hawezi kumshawishi Iran na Iran hapoi kabisa, mda wote anashambulia.
 
Iran inajaribu kutafuta muafaka kwa kuyaomba mataifa ya Ulaya kusuluhisha mambo na ndio maana wa Ulaya wamemuomba Trump asubiri kwanza waongee na Iran.

Iran wameshapata hasara kubwa sana toka mzozo huu uanze na kwa bahati mbaya vyombo vya habari vya kigeni haviruhusiwi nchini Iran hivyo kupata picha kamili ya hasara iliyopatikana hadi sasa inakuwa ni changamoto sana.
 
Back
Top Bottom