Rais wa Marekani anayesubiriwa kuapishiwa Donald Trump amemteua Kimberly Guilfoyle ambaye ni demu wa mtoto wake Don Junior kuwa balozi wa Marekani nchini Ugiriki.
Hata hivyo girlfriend huyo wa...
Trump: Ama kutakuwa na amani au msiba kwa Iran; tumebakiwa na malengo mengi Na Jacob Magid Fuata Leo, 5:18 asubuhi "Hili haliwezi kuendelea.
Kutakuwa na amani au kutakuwa na janga kwa Iran...
Kama asemavyo yule myahudi Echolimal ,Hayawi hayawi sasa yamekuwa !
Raisi Donald Trump katika kuchanganyikiwa kwake na kuonesha Marekani si taifa la kulitegemea na kwamba limeisha,ameweka wazi...
Rais Joe Biden amemwambia Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kwamba Marekani haitashiriki katika hatua ya kulipiza kisasi dhidi ya Iran, ambayo ni chaguo la Baraza la vita la Israel baada...
Kwa macho ya kawaida, Iran ni nchi ya Kiislamu yenye historia ndefu, minong’ono ya nyuklia, maandamano ya hijab, na wasomi wa miji mitakatifu.
Lakini kwa macho ya kisiasa, kiuchumi na...
Mambo yanazidi kuchukua sura mpya ambapo Urusi amesema kitendo cha marekani kuishambulia Iran kitakua na matokea mabaya sana.
Wachambuzi wa siasa za kimataifa mje hapa Kila mmoja Atoe mtazamo...
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, nguvu na uwezo wa Iran hauko dhidi ya majirani na nchi za ulimwengu wa Kiislamu.
Rais Rouhani ameyasema hayo asubuhi ya leo katika...
Iran ametafutwa muda mrafu na alivyokua mjinga amenasa kwenye chambo, imepigwa na kainchi ka Israel ikapigika, sasa Marekani inajongea huku ikiwa na jambo lake, muda wowote tunaweza tukapata...
Naona mambo ni moto kwelikweli kuligana na mtandao wa global firepower iran imekamata nafasi ya 14 kidunia huku Israel ikizidi kudidimia na kukamata nafasi ya 18 kidunia.
2020 Military Strength...
Kama unataarifa za shambulio ,mmejiandaa kujilinda , halafu anaingia nchini kwako anauwa watu muhimu aliowaterget anaondoka bila hata ndege moja kuguswa basi huyo mtu humuwezi .
Umeshindwa...
Residents of Tehran - still shocked by Israel's sudden attack on Iran in the early hours of Friday morning - speak of fear and confusion, a feeling of helplessness and conflicting emotions.
"We...
Kwa wanaokumbuka namna Trump alivyomwambia Netanyau apige Iran's nuke sites, wanajiuliza. Sasa Trump kapenya.
Nini kitafuata kama alikuwa hatishi? Je akili za Trump sawa na waliomchagua...
Ikumbukwe kuwa baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kuiambia Iran kuwa itapigwa kipigo cha mbwa koko kama haitakubali mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani. Mara moja Rais wa Iran alitoka...
Iran yasema vita havitaibuka katika eneo
Mei 19, 2019 07:57 UTC
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema hakuna vita vitakavyoibuka Mashariki ya Kati...
Mgombea wa uchaguzi wa Marekani: Biden ni mpenda vita kuliko Trump
Nov 17, 2020 12:21 UTC
Mmoja wa wagombea wa kiti cha Seneti ya Marekani katika uchaguzi wa mwaka huu wa 2020 amesema kuwa siasa...
Yaani dunia ilikuwa shwari mpaka Trump mwenyewe akawa ndio gumzo. Establishment wamerudi madarakani vita vishaanza. Wakimuuliza Biden Netanyahu vipi anajibu Sisi tunateta Israel. I meant madarakani