Baada ya Kujiendesha kwa hasara kwa miaka kadhaa, bandari hiyo iko mbioni kufungwa mapema Jumapili hii ambapo chanzo kimesema shughuli za hapo zimeshuka kwa zaidi ya 90% , huku ikidaiwa...
Rais Trump na mwenzake wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, wanafikiria "mpango mkubwa" ambao utaifanya Marekani kununua ndege zisizo na rubani za Ukraine zilizojaribiwa katika uwanja wa vita huku Kyiv...
Tulsi Gabbard's Revelations Confirm a Deep State Conspiracy Against Trump
🚨BREAKING NEWS FROM DNI Tulsi Gabbard:
"Americans will finally learn the truth about how in 2016, intelligence was...
Rais mstaafu wa Marekani, Barrack Obama na mkewe Michelle Obama wamekanusha tetesi za kutengana
wakisema ni uzushi mtupu.
Wakizungumza Julai 16, 2025 katika kipindi kipya cha podcast ya Michelle...
Mamia ya raia wa Liberia waliandamana jijini Monrovia wakiongozwa na kiongozi wa upinzani Mulbah Morlu, Wakitaka serikali ya Rais Joseph Boakai kuwajibika kwa ahadi za kampeni na maisha bora...
Power corrupts, and absolute power corrupts absolutely.
Madaraka yakianza kulevya.
Sababu alizotoa hazina mashiko.
Bado moyo wangu ni mzito kumkubali Ibrahim Traore kama ambavyo mitandao mingi...
Wengine panya huwapa hofu, lakini huko Cambodia, viumbe hawa wamekuwa msaada mkubwa usioepukika
Panya wa Kiafrika aina ya giant pouched rats hupita kwa ustadi kwenye mashamba wakitafuta harufu ya...
Marekani hivi karibuni iliandaa mkutano kati yake na nchi tano za Afrika ambazo ni Gabon, Guinea-Bissau, Mauritania, Senegal na Liberia. Lakini kwenye mkutano huo, Rais Donald Trump wa Marekani...
Kundi la wanasheria wa haki za binadamu nchini Sudan wameishtumu jeshi la kijeshi la Rapid Support Forces (RSF) kwa kuvamia na kuchoma moto vijiji katika jimbo la Kordofan Kaskazini na kuua...
Ufaransa inakabidhisha rasmi vituo vya mwisho vya jeshi kwa serikali Senegal, hatua inayomfanya mkoloni huyo wa zamani sasa kutokuwa na kambi yoyote ya kudumu ya kijeshi kote magharibi na kati ya...
Kiuhalisia taifa la Ufaransa linapaswa kuwa nchi maskini zaidi kuliko mataifa mengi ya Afrika.Hata hivyo kwa uzoefu wao wa ukoloni na unyonyaji wanaonekana kama taifa lililoendelea sana.
Tanzania...
Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, limepinga agizo la serikali, kuwataka wasichana waliopata mimba kuendelea na masomo.
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki CENCO, limesema...
Wakuu,
Sema watu 100 ni wengi jamani tuacheni masihara.
Alafu Trump huyu baba alipunguza budget ya National Weather Service (NWS) na kusababisha watu 600 kufukuzwa kazi. Leo majanga kama haya...
Rais Donald Trump amegundulika kuwa na tatizo la mzunguko wa damu kwenye miguu, linalojulikana kitaalamu kama chronic venous insufficiency, baada ya kufanyiwa uchunguzi na madaktari wa Ikulu ya...
Jeshi la Israel (IDF) lashutumiwa kwa kulenga kanisa kwa makusudi
Kardinali Pierbattista Pizzaballa amesema:
“Tunachojua kwa hakika ni kwamba tanki — IDF wanasema kwa bahati mbaya — lakini sisi...
Arusha, Tanzania – 18 Julai 2025:
Katika hatua ya kihistoria ya kutetea utawala wa sheria, haki, na haki za binadamu katika Afrika Mashariki, watetezi wawili mashuhuri wa haki za binadamu – Bi...
Rais wa Cameroon mwenye umri wa miaka 92, Paul Biya amabaye ni kiongozi mkongwe zaidi duniani kwa sasa ametekeleza mabadiliko makubwa katika safu ya juu ya jeshi siku chache tu baada ya kutangaza...
Watu wengi wasiopenda demokrasia kila mara hupenda kutolea mifano ya nchi za uarabuni zenye raia wenye maisha bora sana kiuchumi pasipo kuwepo na utawala bora kwenye nchi zao. Watu wa haina hii...