Mlipuko umetokea jijini New York nchini Marekani na kuacha watu 29 wamejeruhiwa na hamna taarifa za vifo.
Jeshi la Polisi limethibitisha mlipuko huo ulikuwa ni wa makusudi na ulipangwa na watu...
Hospitali kubwa nchini Zimbabwe imesitisha huduma za upasuaji baada ya kuishiwa madawa na taifa kuwa katika hali mbaya ya kiuchumi.
Serikali ya rais Robert Mugabe inakabiliwa na uhaba wa fedha na...
Makao makuu ya vyama vitatu vya upinzani nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo yamechomwa moto katika mji mkuu wa Kinshasa huku mili miwili ilioungua ikipatikana ndani yake.
Mashambulio hayo...
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani kupitia tiketi ya chama cha Republican George HW Bush amesema kuwa atampigia kura mgombea wa urais kupitia tiketi ya Democrat Hillary Clinton .
Bwana Bush...
Nilikuwa naangalia analysts wakionyesha vikundi vyote vilivyo kwenye mapambano huko Syria. Kwa namna hii ISIS anaweza akafutwa ila ikaibuka upya vita kati ya Turkey na Kurds, Syria na Al-Nusra...
Sakata la Dominique Strauss-Kahn laibua upya skendo za wanadiplomasia wa Tanzania
2011-05-18 WikiLeaks Notes: Diplomatic Sexual Abuse a la Strauss-Kahn
FROM THE CABLES/GITMO FILES
Dominique...
Italy ina eneo la kilomita 301,338.
Mji mkuu wake ni roma mji wenye historia ya dunia nzima.
Kwa mujibu wa sensa yao ya mwaka 2013 ina wakazi 60, 782, 668
Italy pia ni ya 12 kwa uchumi...
Watu wenye silaha wameshambulia kambi ya jeshi eneo la Kashmir na kuua wanajeshi 17 na kujeruhi wengine 19.
Watu hao wenye silaha walikuwa wanne.
=========================
Terrorists have killed...
Jenerali wa jeshi la Somalia Mohamed Jimale Goobale pamoja na walinzi wake 6 wamefariki dunia katika shambulio la kujitoa mhanga linalosadikiwa kufanywa na waasi wa kikundi cha Al-Shaabab...
Takribani watu 15 wamefariki katika ajali ya boti iliyokuwa imebeba watu 150 katika mto mmoja nchini Thailand
=======
Bangkok, Thailand (CNN)At least 15 people died after a boat carrying about...
Mi nafikiri Mugabe alikua anafuata mkumbo...tu..Kwamunonekano wake!! ni dhahili kabisa anakichaa!!!..au malaria sugu!!..Na hii yote imesababishwa na marafiki zake wa karibu kupoteza kabisa Dira ya...
Mbunge mmoja nchini Uholanzi amegoma kumpa mkono Waziri Mkuu wa israel Benjamin Netanyahu kama ishara ya kupinga mateso ya wapalestina mashariki ya kati.
Netanyahu yuko Nchini Uholanzi kwenye...
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis ametangaza kwamba Mother Teresa atafanywa mtakatifu Septemba mwaka huu.
Sherehe ya kumtawaza kuwa mtakatifu itafanyika tarehe 4 Septemba.
Njia ya...
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ameomba msamaha kwa kutoa hotuba inayofanana kila neno na ya Obama aliyotoa baada ya kushinda uchaguzi mwaka 2008.
Baadhi ya setensi zilikuwa zinafanana kila kitu...
Army uses helicopters to evacuate 20 soldiers injured in the dawn attack followed by hours-long gunfight
The soldiers’ deaths follows more than two months of clashes between protestors and...
Watu wanne wamefariki na wengi kujeruhiwa kufuatia basi walilokuwa wamepanda wachezaji wa timu ya soka ya South Carolina kupata ajali baada ya basi lao kupasuka tairi.
Baada ya kupasuka tairi...
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kituo cha televisheni cha serikali ya N. Korea , KRT, kinasema mafuriko hayo yaliosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kuwa yaliwahi kulikumba taifa hilo...
Taasisi ya KUpambana na Rushwa nchini Nigeria imezifunga akaunti za Mke wa Rais mstaafu wa Nigeria, Goodluck Jonathan.
Akaunti hizo zilikuwa na kiasi cha shilingi bilioni 64, mke huyo wa Rais...