International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Taasisi ya Upelelezi FBI imeanza kufanya uchunguzi ili kugindua chanzo cha mitandao mbalimbali jana nchini humo kuvamiwa na kushindwa kufanya kazi. Mitandao hiyo iliyovamiwa ni PayPal, Amazon...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
UPDATES ======== - Ndege za kivita za Marekani zimeteketeza kiwanda cha kuunda magari ya kutumia kwenye vita kichokuwa kikitumiwa na magaodo wa ISIS na hakuna kilichosalimika. - Magaidi wa ISIS...
3 Reactions
80 Replies
10K Views
Anayejua ni Kwa nini Rais wa Marekani anaanza Kazi ya urais baada ya miezi 4 toka achaguliwe je kuna nini kinakuwa kinafanyika?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Takribani wanfungwa 174 wametoroka katika Gereza moja nchini Haiti baada ya Wafungwa hao kufanya fujo zilizoplelekea kupoteza maisha kwa askari wa ulinzi. Mamlaka za ulinzi mpaka sasa zimesema...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
ASSUMING that her opponent fails to recover, Hillary Clinton can reach the White House even without Nevada, which polls suggest is in her grasp. Yet Nevada could hardly matter more to her. To...
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Rais wa Ufilipino, Rodrigo Duterte ametangaza kusitisha Uhusiano wa kiuchumi, kijeshi na Marekani ingawa Marekani imekanusha kupata maombi hayo. Amesema kuwa anaanza kushirikiana kikamilifu na...
11 Reactions
82 Replies
8K Views
Mwaka huu lazima pachimbike, habari ndiyo hiyo kwa mujibu wa polls ni kwamba zaidi ya 70% ya Wanachama wa Republicans wanaamini kwamba Obama ataiba kura za D.Trump! Laana ya kumuua Gadafi inazidi...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
SOMALIA: Maharamia wamewaachilia huru watu 26 baada ya kuwateka wakiwa ktk Meli karibia na visiwa vya Shelisheli miaka 5 iliyopita. - Maharamia waliwateka jumla ya watu 29 mnamo mwezi Machi mwaka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Takribani Watu 55 wamefariki Dunia na wengine zaidi ya 600 wakijeruhiwa baada ya treni ya abiria iliyokuwa ikitoka Younde kuelekea Doula kupinduka. ======== AT LEAST 55 people were killed and...
0 Reactions
0 Replies
665 Views
Massive cyberattack involved tens of millions of IP addresses
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Idadi ya watu waliokufa kutokana na ajali ya treni nchini Cameroon imeongezeka kutoka watu 55 na kufikia watu 70 na wengine 300 wanapatiwa tiba kutokana na majeraha ya ajali hiyo ambayo ilitokana...
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Kwa muda wa miaka mingi nimekuwa nikifatilia chaguzi mbali mbali za Marekani lakini kuna kitu kimoja ambacho nimekuja kukifahamu hawa jamaa pamoja wanatulazimisha sisi nchi za dunia ya tatu tuwe...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
October 19, 2016 at 11:25 pm By Dan Ngabonziza King Mohammed VI (l) and President Paul Kagame A Moroccan real estate company has announced it will construct 5000 affordable housing units in...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau mimi kwa maoni yangu binafsi hii tuzo la Nobel Prize huwa linatolewa kinafiki sana. Maana halisi ya nia ya mwasisi wa tunzo hili Alfred Nobel mwaka 1901 ilikuwa ni kutoa tunzo hili kwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Afrika Kusini imeanzisha mchakato wa kujiondoa kutoka uanachama wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita. Wanadiplomasia wa Afrika kusini wamearifu umoja wa mataifa juu ya uamuzi huo na...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Shirika la Ndege la Emirates lasema kuanzia Oktoba 30 litasitisha safari zake kati ya Dubai na Abuja kutokana na kuyumba uchumi wa Nigeria. ========= Emirates Airline kuahirisha mara nne...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Trump amesema kupitia debate ya Jana alipoulizwa swali na moderator kuwa je atakubali matokeo ya uchaguzi endapo atashindwa? Amesema siwezi kukubali sasa nitakubali badae siwezi kuongea kwa...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Baada ya kuaga Dunia nzima kuanzia kuanzia, Mexiko, Brazili, Ulaya yote, Australia mpaka Asia yote, ni Afrika tu, tu ndiyo bado Raisi Obama hajakanyaga kuja kuaga, ingawaje sisi ndiyo tuliofurahia...
1 Reactions
1 Replies
918 Views
Yule kaka wa Obama ajulikanye kama Maliki Obama amesema kwamba ana wasi wasi hata kama Raisi wa USA Barack Obama ni ndugu yake, ana ana wasi wasi kama ni mtoto wa baba yake!
1 Reactions
0 Replies
997 Views
Kanali Muommar Gadhafi miaka 68- alipata madaraka katika mapinduzi yasiyo ya kumwaga damu mwaka 1969- alimpindua aliyekuwa mfalme wa Libya wakati huo Mfalme Idris. Watoto wa Gadhafi 1...
2 Reactions
20 Replies
8K Views
Back
Top Bottom