70% Republicans voters believe, the election will be rigged!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Mwaka huu lazima pachimbike, habari ndiyo hiyo kwa mujibu wa polls ni kwamba zaidi ya 70% ya Wanachama wa Republicans wanaamini kwamba Obama ataiba kura za D.Trump!

Laana ya kumuua Gadafi inazidi kumuandama Barack Obama, na Historia itakuja kumuhukumu kwamba is the most hated and incompentent President to ever rule USA!

Hii si ajabu haijawahi kutokea tangu kuanzishwa kwa Taifa hilo kubwa na muhimu Duniani, sasa Wamarekani hawaamini tena mfumo wao wenyewe, mfumo ambao wamekuwa wakiusifia siku zote na hata kujaribu kwa hiari au mabavu kuulazimisha kwa wengine, hasa Afrika na Uarabuni!

Wakati huo huo pengo kati ya D.Trump na mpinga Kristo Clinton linazidi kupungua kwa kasi na sasa ni 40% dhidi ya 44%, D.Trump amepunguza kwa 8%, ikumbukwe Clinton alikuwa anaongoza kwa zaidi ya 12% na hii ni pamoja na maskandali yote ya kutungwa na media zote Duniani kuwa 100% nyuma ya Mpinga Kristo Clinton!

Half of Republicans would reject election result if Clinton wins: Reuters/Ipsos

trumpArtikelbild001.jpg
 
teheteh...Obama na DEMOCRATS yake si Chama Cha Majambazi ..😀😀
 
Ukiwa unasoma habari kama hizo kwenye mitandao uwe na background check.

Kwanza lazima ujue Rais wa Marekani hana mkono kwenye Upigaji kura. Mambo makubwa humalizwa kwenye ngazi ya Jimbo.

Hakuna suala la majumuisho kwanza kufanywa na Nec Makao makuu kama huku kwetu.

Najua picha uliyonayo ni kama upo kwetu. Kwamba atakuwepo Mtu kama Lubuva kila siku akiwatangazia Watu matokeo.
 
Hakika Wa AFRIKA tunamatatizo ya Akili kuliko viumbe wote walio wahi kuumbwa kwenye uso Wa DUNIA. Hebu angalia hii Comment... Huyu mtu nafikiri katoka sayari nyingin kabisa ...(Obama ataiba kura Dah)
 
There is artificial Democracy in United States of America, it will be very very shameful to have a lesbian in the White House
 
Hakika Wa AFRIKA tunamatatizo ya Akili kuliko viumbe wote walio wahi kuumbwa kwenye uso Wa DUNIA. Hebu angalia hii Comment... Huyu mtu nafikiri katoka sayari nyingin kabisa ...(Obama ataiba kura Dah)

Hakuna unachokifahamu wewe, kaa kimya!
 
Ukiwa unasoma habari kama hizo kwenye mitandao uwe na background check.

Kwanza lazima ujue Rais wa Marekani hana mkono kwenye Upigaji kura. Mambo makubwa humalizwa kwenye ngazi ya Jimbo.

Hakuna suala la majumuisho kwanza kufanywa na Nec Makao makuu kama huku kwetu.

Najua picha uliyonayo ni kama upo kwetu. Kwamba atakuwepo Mtu kama Lubuva kila siku akiwatangazia Watu matokeo.

Ni nani amekudanganya Raisi wa USA hana mkono wake? Unafahamu Mfumo mzima wa USA ulivyo? Unafahamu CIA mipaka yake? Unafahamu nani bosi wa CIA?
Unafahamu kwamba Supreme Court ya USA wale Majaji wanateuliwa na Raisi wa USA halafu ndiyo wanakuwa rubber stamped na US senate?

Kama Raisi wa USA angekuwa hana nguvu hivyo kama unavyofikiria unafikiri ni kwa nini Makampuni pmj na financial Instutions kubwa Duniani hutumia mabilioni kufadhili mgombea Uraisi wa USA?
 
Kama mfumo uko ivyo tueze wasiwasi wa Trump nini? Mpaka Obama ana msihi akubali matokeo? Jambo moja najua dunia nzima kura zinaibiwa ila siokwakiwango cha Ccm Tz.
 
CCM inaingiaje hapa? Au ulifikiri Mada inahusu kulinganisha USA vs CCM?
 
Huyu nae Hajui tu. Ngoja niwakumbushe, wakati Bush anagombea kipindi cha pili na cha mwisho alifunga goli la mkono mpaka mashine zikawekwa pembeni Watu wakahesabia kura kwa mkono kwa namna mashine zilivyofanyiwa manuva. Obama akiwa anagombea kipindi cha kwanza kura za awali kabla ya Siku ya uchaguzi ilikua ukimpigia Obama kura inaleta jina la McCain, Obama analalamika wakasolve Lakini ni ujanja ujanja tu. So hakuna jipya hapo, Sema mleta Mada anaongeza na hisia zake.
 
Trump make them believe so. But if you ask them 1 by 1 they can not even explain.
 
Clinton ni lesbian?

"We had a brief romantic fling when l lived with John in Manhattan and Hillary Clinton studying at Yale University 1970s.
Los Angeles : Yoko Ono shocked reporters yesterday when she responded to a question concerning the presidential run of Hillary Clinton and possibility that she could become the first woman President of United States in America history.
Maelezo hayo juu yalitolewa jana na Yoko Ono alikuwa mke wa hayati mwanamuziki John Lennon.
Kwa vitendo vya mwanamama huyu imelataa matatizo mengi na kupelekea mume wake Bill Clinton kuanza kutafuta washikaji nje kama Monica Lewinsky.
 
Trump make them believe so. But if you ask them 1 by 1 they can not even explain.

Swali ni kwamba ni kwa nini wafikirie hivyo? Na kwa nini leo hii? 70% ni namba kubwa sana, 70% ya Wanachama wa Chama kikubwa kukosa imani na Institution ya Nchi siyo jambo dogo hata kidogo, hivyo swali ni kwamba wamefikaje hapa?
 
Ni nani amekudanganya Raisi wa USA hana mkono wake? Unafahamu Mfumo mzima wa USA ulivyo? Unafahamu CIA mipaka yake? Unafahamu nani bosi wa CIA?
Unafahamu kwamba Supreme Court ya USA wale Majaji wanateuliwa na Raisi wa USA halafu ndiyo wanakuwa rubber stamped na US senate?

Kama Raisi wa USA angekuwa hana nguvu hivyo kama unavyofikiria unafikiri ni kwa nini Makampuni pmj na financial Instutions kubwa Duniani hutumia mabilioni kufadhili mgombea Uraisi wa USA?
And yet, Obama ameshindwa kumsimika Judge Garland kumreplace Scalia. Miezi mingapi imepita vile. Senate imemwekea ngumu. Wapi CIA ya kumsaidia Obama. Wacheni uzushi jamani.
 
Swali ni kwamba ni kwa nini wafikirie hivyo? Na kwa nini leo hii? 70% ni namba kubwa sana, 70% ya Wanachama wa Chama kikubwa kukosa imani na Institution ya Nchi siyo jambo dogo hata kidogo, hivyo swali ni kwamba wamefikaje hapa?
Goebbelsian propaganda technique: "Repeat a lie a thousand times and it becomes the truth." Trump amerudia uzushi huo kwa muda sasa na watu inawaingia.
 
"We had a brief romantic fling when l lived with John in Manhattan and Hillary Clinton studying at Yale University 1970s.
Los Angeles : Yoko Ono shocked reporters yesterday when she responded to a question concerning the presidential run of Hillary Clinton and possibility that she could become the first woman President of United States in America history.
Maelezo hayo juu yalitolewa jana na Yoko Ono alikuwa mke wa hayati mwanamuziki John Lennon.
Kwa vitendo vya mwanamama huyu imelataa matatizo mengi na kupelekea mume wake Bill Clinton kuanza kutafuta washikaji nje kama Monica Lewinsky.
That is a fake story first published by World News Daily Report, a known fabricator of all kinds of stories. Ni kama hadithi za madai kwamba Trump alisema nini sijui atamfanyia Mugabe au Museveni. Ni fake news.
Mkuu, some disclaimer yao hapa: DISCLAIMER
Wenyewe kwenye website yao yenye link wanasema hivi: WNDR assumes however all responsibility for the satirical nature of its articles and for the fictional nature of their content. All characters appearing in the articles in this website – even those based on real people – are entirely fictional and any resemblance between them and any persons, living, dead, or undead is purely a miracle.
In other words, they make up stories.
 
Huyu nae Hajui tu. Ngoja niwakumbushe, wakati Bush anagombea kipindi cha pili na cha mwisho alifunga goli la mkono mpaka mashine zikawekwa pembeni Watu wakahesabia kura kwa mkono kwa namna mashine zilivyofanyiwa manuva. Obama akiwa anagombea kipindi cha kwanza kura za awali kabla ya Siku ya uchaguzi ilikua ukimpigia Obama kura inaleta jina la McCain, Obama analalamika wakasolve Lakini ni ujanja ujanja tu. So hakuna jipya hapo, Sema mleta Mada anaongeza na hisia zake.
habari za vijiweni zisizo na ukweli.
 
Back
Top Bottom