Haiti prison break: 174 inmates escape after killing guard

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,562
2,000
Takribani wanfungwa 174 wametoroka katika Gereza moja nchini Haiti baada ya Wafungwa hao kufanya fujo zilizoplelekea kupoteza maisha kwa askari wa ulinzi.

Mamlaka za ulinzi mpaka sasa zimesema kuwa hawana taarifa ya uhakika wa namna Wafungwa hao walivyofanikiwa kutoroka.

Aidha Wafungwa wengine 100 wamekatwa wakiwa katika jaribio hilo la kutoroka.

=======

(CNN)A manhunt is underway after 174 inmates escaped from a prison in Haiti following a riot during which one guard was killed, authorities said.

The prison break occurred at a facility in Arcahaie on Saturday, said Inspector Garry Derosiers, the national police spokesman.

Of the more than 100 fugitives, a dozen have been captured, Derosiers said. The uprising was led by "heavily armed individuals," according to a statement from the Prime Minister's office. It's unclear how the prisoners broke out or who the armed individuals were.

Teams from SWAT and the defense forces are searching for the inmates. Nearby residents have been urged to be cautious and cooperate with police.

The US Embassy in the capital warned American citizens to avoid the area, describing the incident as a "violent prison break." Arcahaie is about 30 miles north of the capital, Port-au-Prince.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom