Obama kuanza safari ya kuja kuaga Afrika!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Baada ya kuaga Dunia nzima kuanzia kuanzia, Mexiko, Brazili, Ulaya yote, Australia mpaka Asia yote, ni Afrika tu, tu ndiyo bado Raisi Obama hajakanyaga kuja kuaga, ingawaje sisi ndiyo tuliofurahia Uraisi wake klk Binadamu yoyote yule Dunia hii ukiondoa mke na Watoto wake!

Kuna wengine kama nchi ya Kenya waliacha mpaka kwenda kazini na kuzalisha kujenga uchumi wa nchi yao ili kufanya party ya kuapishwa kwa Obama, yaani walikuwa tayari kurudisha maendeleo ya nchi yao nyuma kwa ajili ya Raisi wa USA, hata hapa TZ tulideki na kusafisha Barabara alivyokuja nchini mwetu mpaka Raisi wetu kwa kujipendekeza kwake akabadilisha jina letu lenye maana kihistoria na kuliita Barack Obama, hakuna Binadamu mwingine aliyefanya hivi Dunia hii!

Hivyo basi ni wakati wa Barack Obama kulipa fadhila angalau kidogo kuja kutuaga kama alivyowaaga binadamu wengine wa Dunia hii!
 
ES

CCM kweli mmezoea vya bure. Unafikiri ni kama Kikwete aliaga kila kona ya nchi?

Unafikiri Obama alienda makusudically kwa ajili ya kuaga ama kuna agenda ambazo zinampeleka huko kwenye nchi ulizotaja kisha ajenda ya kuwaaga inakua kama nyongeza?

Atawaaga kwenye tv siku atakapoapishwa Rais mwingine.
 
Back
Top Bottom