International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Raia wa Marekani kesho wanapiga kura ya kumchagua Rais atakayeliongoza taifa hilo kwa kipindi cha miaka minne ijayo. Katika uchaguzi huo Mgombea DONALD TRUMP wa chama cha Republican atachuana...
6 Reactions
423 Replies
34K Views
Naona watu wengi wanajadili sana uchaguzi wa marekani na ushindi wa trump, wengine wanaponda wengine wanapongeza, em tuwe na akili, tusianze kumjadili mtu kabla ya kuona utendaji wake ukoje...
1 Reactions
4 Replies
813 Views
Check out Donald J. Trump (@realDonaldTrump): Donald J. Trump (@realDonaldTrump) | Twitter
1 Reactions
0 Replies
1K Views
D.Trump! Chama cha D.Trump Republican siyo tu kimeshinda uchaguzi bali pia kimechukuwa viti vingi zaidi kwenye Bunge (Senate) la USA hivyo D.Trump kama vile Pombe Magufuli(PhD) wetu anaongoza...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
In a message to Donald Trump, Russian President Vladimir Putin has expressed confidence that the dialogue between Moscow and Washington, in keeping with each other’s views, meets the interests of...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomba anayejua maisha ya hawa WAGOMBEA urais wa USA TRAMP na HILLARY, atujuze.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Crude prices slumped on Wednesday, with investors selling off as vote counting showed Donald Trump winning the US presidential election. North Sea benchmark Brent dropped by 1.3 percent, trading...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Huyu mgombea wa Marekani bwana Trump ambaye nimempa jina la MAGUFULI sababu wana tabia zinazofanana kwa asilimia nyingi. Huyu bwana wa Republic pamoja na mapungufu yake ila ni kiongozi bora...
17 Reactions
141 Replies
28K Views
Kwanini mnaonyesha upendeleo wa wazi kabisa kumpendelea mgombea urais wa Marekani Hillary Clinton, je kwanini mnamuogopa Donald Trumph,Acheni upendeleo
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Katika kile kinachoonekana kukwepa lawama kutoka kwa wanachama wenzake wa Republican, Rais mstaafu wa Marekani wa awamu ya 43, George .W. Bush na mkewe Laura kupitia kwa Mkurugenzi wao wa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana bodi, Ninawaomba serikali ya Tanzania iandae pongezi kwa Marekani kwa kupatikana Rais wa 45 wa taifa hilo kubwa na lenye demokrasia pana. Tangu kuchaguliwa kwa Rais Magufuli hajawahi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Vyombo vya habari vya Nchi ya Malawi vimetangaza kutotangaza habari zozote zinazomuhusu Rais wa Taifa hilo Peter Mutalika. Hii ni baada ya kuona vinakandamizwa Uhuru wao kwa Kuambiwa lipi la...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Nilisikia kauli ile ila sikujua hasa kwanini alisema kauli ile.Hata hivyo niliikubali sana. Sababu kubwa ya kwanini niliikubali ni kwamba, wazungu wana aibu wanapofanya mambo mabaya dhidi ya...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi ni miongoni mwa watanzania wanaopinga baadhi ya tafiti zinazotoa majibu potofu kwa jamii. Uchaguzi wa Marekani pia umeonyesha kuwa sio kila anayeongoza kwenye kura za maoni anaweza kuibuka...
0 Reactions
4 Replies
890 Views
Mtandao wa Uhamiaji wa nchini Canada wapata hitilafu baada ya kuzidiwa kufuatia watu wengi kutembelea mtandao huo wakitaka kuhamia nchini humo kufuatia ushindi wa Trump. Watumiaji wengi wa...
1 Reactions
0 Replies
717 Views
habari wadau.. wazungu wametufundisha kitu kwamba mzawa kwanza.. wamechoka na wageni na wahamiaji kufaidika marekani kuliko wao wazawa... unemployment inakuwa kubwa kwa wazawa huku wageni...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mchakato wa kugombea nafas ya Urais nchini Marekanina mengi nimejifunza nikihusisha na siasa zetu. Nikakumbuka kitabu kimoja nilikisoma zaman sana cha DANIEL...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hillary Clinton and Donald Trump are separated by only two percentage points in a new Washington Post-ABC News tracking poll, ending a week in which the race has tightened as core Republican...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Haaahah yaani Africa tulizidi kuwasemea marekani na tayari tulikuwa na rais wao wakati America ni ya kwao na maamuzi ni ya kwao wenzetu hawajaendeshwa na mihemuko wala mchecheto wanajua nani...
0 Reactions
0 Replies
549 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…