International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mahakama ya Moldova imemuhukumu Kiongozi wa Pro-Kremlin , Evgenia Gutul kifungo cha miaka saba jela kwa kosa la kuingiza fedha kutoka Urusi ili kufadhili chama cha siasa. Gutul amekanusha...
0 Reactions
0 Replies
260 Views
Huyu bwana alianzisha vita ambayo hawezi kuimudu. Kupigana two frontlines kwa wakati mmoja ilikuwa ni kosa moja kubwa la kiufundi lililomgharimu. Atleast angepigana moja kwanza iishe. Yaani...
20 Reactions
133 Replies
7K Views
Wanaukumbi. Abu Obaida: •Al-Qassam Brigades are ready to cooperate positively and respond to any request by the Red Cross to deliver food and medicine to enemy prisoners. •We condition this on...
2 Reactions
23 Replies
927 Views
Kikosi maalum cha urusi toka spetnaz cha spat-12,kilifanya operation yenye uthubutu wa hali ya juu ndani ya ukraine Operation hiyo iliyodumu kwa dakika 15 usiku mwingi,ilifanyika kwenye kambi...
20 Reactions
53 Replies
4K Views
Kifo katika maisha ya dunia ni kitu cha lazima ambacho humpata kila kiumbe bila uchaguzi.Wako wanaokufa wachanga,wazee na wakongwe. Vifo navyo hutofautiana kutokana kwa namna nyingi sana.Kilicho...
8 Reactions
35 Replies
1K Views
Likizo ya Siku ya Mei Mosi nchini China inageuka kuwa ya kitamaduni isiyo ya kawaida! Kuanzia maonyesho ya kuvutia hadi bidhaa za kitamaduni zinazovuma, majumba ya makumbusho sasa ni chaguo bora...
1 Reactions
23 Replies
650 Views
Trump ameitishia urusi kwa kuamuru nyambizi zenye mabomu ya nyuklia zisogee karibu na urusi! Hilo ni tishio kubwa kuliko yote LA kutumia silaha za nyuklia. Putin amepuuza na kuamua kukaa kimya...
6 Reactions
6 Replies
707 Views
Familia ya mateka wa Israel Evyatar David anayeshikiliwa na Hamas huko Gaza imelishutumu kundi hilo kwa kumuua njaa kimakusudi kama sehemu ya kampeni ya propaganda. Taarifa ya familia hiyo...
0 Reactions
16 Replies
819 Views
VIDEO ya kuhuzunisha ya sekunde 40 inayomuonyesha mateka wa Israel Evyatar David, akionekana kuwa na mifupa na dhaifu ndani ya handaki akilazimishwa kuchimba kaburi lake mwenyewe. Video hii...
1 Reactions
13 Replies
897 Views
General Mohamed Siad Barre, the last President of a unified Somalia When he was ousted in a coup by several warlords whose public face was General Mohamed Farah Aideed, Siad Barre escaped to...
1 Reactions
4 Replies
857 Views
Kwa nini nchi zinazotengeneza silaha za nyuklia hawauzi hizo silaha kwa nchi nyingine kama wanavyouza silaha nyingine zote?
0 Reactions
7 Replies
611 Views
SIASASYRIA Putin ampokea Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Bakari Ubena 01.08.20251 Agosti 2025 Rais wa Urusi Vladimir Putin amempokea kwa mazungumzo Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Asaad...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
China na Marekani hivi karibuni zilifanya duru mpya ya mazungumzo ya kiuchumi na kibiashara huko Stockholm, nchini Sweden, ambapo pande hizo mbili zilibadilishana maoni kwa kina kuhusu masuala ya...
1 Reactions
4 Replies
447 Views
Serikali ya China hivi karibuni ilizindua mpango mpya wa kutoa malipo ya kifedha kwa familia zinazojifungua watoto, ikiwa ni jitihada za kupambana na kupungua kwa kasi kwa viwango vya uzazi...
2 Reactions
20 Replies
929 Views
Je, hii inaweza kuwa mara ya kwanza katika historia kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii kusababisha ongezeko la matumizi ya nyuklia? Rais Donald Trump, aliyekerwa na kauli za Rais wa...
4 Reactions
2 Replies
818 Views
China na Urusi ni nchi zenye sheria kali za kudhibiti dini zote: 1. China Nchini China, kuna aina mbili za Makanisa ya Kikristo: (a)Makanisa yaliyosajiliwa rasmi na serikali: Haya yanasimamiwa na...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Tabia za wafaransa daima ni kuwatega binadamu wenzao watende ambacho ni kwa faida zao kwa kwango cha kuwadhalilisha bila kujali ubaya wake. Hata majaribio ya chanjo za corona walitaka zifanywe kwa...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
How North Korean IT Workers Use Fake Identities to Get Remote Jobs and Fund the Regime In the era of remote work and global freelancing, a hidden cyber operation is quietly thriving — one in...
0 Reactions
4 Replies
959 Views
Makamu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Taiwan asema kuwa China iko karibu kuivamia, hii inatokana na mitikasi ya China kuizunguka Taiwan hivi karibuni. Je Taiwan itaweza mzuia China asifanye jambo...
7 Reactions
55 Replies
2K Views
1 August 2025 Goma, Nord Kivu DRC Mahojiano Exclusive BERTRAND BISIMWA Kiongozi wa M23 akizungumuza Kuhusu hali ya siasa na kile wanacho kitaka DR Congo . Uongozi bora wa kitaifa Hatutaki...
0 Reactions
3 Replies
304 Views
Back
Top Bottom