International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

China inakumbwa na matatizo makubwa mawili ambayo ni 1.Kupungua Kwa kuzaliana 2.Kuoungua Kwa kasi ya ukuaji wa Uchumi (Mdororo). Cha kufahamu ni kwamba Kwa Sasa China lazima ikubaki kwamba...
4 Reactions
80 Replies
3K Views
BRICS = Brazi, Russia, India, China, South Africa Kaandika kwenye ukurasa wake wa Twitter Wazo kwamba nchi za BRICS zinajaribu kuachana na Dola ya Marekani huku tumekaa na kuwatazama LIMEKWISHA...
43 Reactions
262 Replies
12K Views
Habari kamili: Taylor Adam Lee, mwanajeshi wa Marekani mwenye umri wa miaka 22 aliyekuwa akihudumu katika Kituo cha Jeshi cha Fort Bliss, Texas, alikamatwa tarehe 6 Agosti 2025 kwa tuhuma za...
3 Reactions
10 Replies
945 Views
Kenya imetangaza kuwa haina nia yoyote ya kulipiza kisasi dhidi ya Tanzania kufuatia uamuzi wake wa hivi majuzi wa kuwapiga marufuku wageni kushiriki katika biashara ndogo ndogo...
2 Reactions
5 Replies
545 Views
Naibu balozi wa urusi katika umoja wa mataifa Dmitry Polyanskiy amesema Rais wa Urusi Vladimir Putin huenda akakutana na Rais wa Marekani Donald Trump Hatua hiyo inaleta matumaini makubwa katika...
1 Reactions
8 Replies
891 Views
Mahakama ya Afrika Kusini imeamua kuwa Serikali ya Zambia ina haki ya kuusafirisha mwili wa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Edgar Lungu, na kumzika kwa heshima za kitaifa, licha ya pingamizi kutoka...
1 Reactions
8 Replies
792 Views
Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa "kuna fursa" ya kukutana na viongozi wa Urusi na Ukraine, kufuatia kile alichokitaja kuwa "mazungumzo yenye tija" kati ya mjumbe wake na Vladimir Putin...
1 Reactions
6 Replies
908 Views
Kanali wa Kikosi cha Walinzi wa Kifalme wa Saudi Arabia ameshiriki safari yake ya kusisimua na ya kihisia kutoka kuwa mtetezi mwaminifu wa Ufalme wa Kiislamu hadi kuwa mfuasi wa Yesu Kristo —...
2 Reactions
7 Replies
701 Views
Kituo cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki kilichowekezwa na China kimezinduliwa hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Tanzania. Kabla ya hapo, Kituo cha Kimataifa cha Usafirishaji cha...
6 Reactions
3 Replies
502 Views
Shirika la Ujerumani lililotaka kuchunguza ili liiwekee vikwazo Israel kwa Kusababisha Njaa na Mateso kwa Wa gaza limegundua kuwa ni maigizo yanayoandaliwa a Hamas kuhadaa Dunia kampeni ambayo...
0 Reactions
7 Replies
438 Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza mpango wa kuweka ushuru mpya wa zaidi ya asilimia 10 kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka kwa nchi ndogo, zikiwemo kadhaa kutoka Afrika na Karibiani. Hatua...
1 Reactions
5 Replies
499 Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza agizo rasmi la kuongeza ushuru wa ziada wa asilimia 25 kwa bidhaa zinazoingia Marekani kutoka India, kutokana na India kuendelea kununua mafuta kutoka...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Sheria mpya kutoka uhamiaji Marekani inawataka raia wa Zambia na Malawi wanaotaka kwenda Marekani kwa kutembea ama kibiashara ku deposit kwanza kiasi cha dollars za marekani elfu 15 kabla ya...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Kwanini Kenya ndio inaumia na tangazo la kuzuia wafanyabiashara wadogo hapa nchini naona tangu tangazo litoke wanalia lia media zote za kenya hadi waziri wa biashara na uwekezaji wa kenya leo...
11 Reactions
68 Replies
4K Views
Wanajeshi wa IDF wafichua kwamba shambulio la Hamas la oktoba 7 lilikua na mkono wa israel, katika kile kinachodaiwa kuwa ni sababu/fursa tosha ya kuwaondoa wapalestina milele
8 Reactions
68 Replies
3K Views
Iran imetekeleza Jumatano hukumu ya kifo kwa kumnyonga mtu mmoja aliyepatikana na hatia ya kufanya ujasusi na kutoa taarifa kwa Israel. Taarifa hizo ziliwezesha mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Rais Donald Trump wa Marekani amemtuma tena mjumbe wake maalum kwenda Urusi, wiki moja baada ya kumpa muda wa mwisho Rais Vladimir Putin awe ameshakomesha vita vyake dhidi ya Ukraine ifikapo...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Naim Qassem ambaye ni kiongozi wa Hizbullah amesema kundi lake halijaona umuhimu wa kusalimisha silaha zake kwa serikali ya Lebanon wakati Israel imevunja mkataba wa kusitisha vita na inaenndelea...
5 Reactions
11 Replies
665 Views
Prime Minister Benjamin Netanyahu will convene his security cabinet at 6 p.m. Thursday at his office in Jerusalem, according to the Prime Minister’s Office, where it is expected to approve fresh...
1 Reactions
4 Replies
901 Views
Uingereza imeanza kutoa chanjo ya kwanza duniani dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Gonorrhoea ambayo yamefikia viwango vya juu. Chanjo hiyo itatolewa kwa makundi ya watu walio hatarini zaidi haswa...
1 Reactions
3 Replies
616 Views
Back
Top Bottom