Mawaziri wa Ulinzi na Mazingira wa Ghana wamefariki katika ajali ya Helikopta ya Kijeshi katika eneo la kati la Ashanti, pamoja na watu wengine sita.
Mkuu wa Majeshi Julius Debrah aliuambia...
Israel lazima "iwashinde kabisa" Hamas huko Gaza, Benjamin Netanyahu amesisitiza siku ya Jumanne, Agosti 5. Mkuu wa majeshi ya Israeli, kama sehemu kubwa ya uongozi wa juu wa kijeshi, anapinga...
Mahakama ya Katiba nchini Cameroon imemzuia mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa Maurice Kamto kugombea urais dhidi ya Rais Paul Biya, ambaye ana miaka 92 na amekuwa madarakani tangu 1982...
Hatimaye mwanasiasa wa ngazi ya juu wa marekani ameondoka Taiwan mchana huu.
Ziara ya Pelosi ilileta gumzo duniani kote na kufuatiliwa na mamilioni ya watu ulimwenguni kote.
China imeachwa na...
Baada ya siku mbili za mazungumzo jijini Stockholm, pande zote zilionyesha nia ya kusuluhisha tofauti zao lakini msimamo wa Washington wa kuitaka China kusitisha biashara hiyo ya nishati bado ni...


Su-57 Gains New Hypersonic Strike Capability: Why the Zircon Mach 9+ Missile Could be a Game Changer

Su-57 and Hypersonic Missile Artwork
***kama alivyoeleza Mkuu wa Jeshi la Anga la...
Wataalamu wa Shirika la Ujasusi la Kijeshi la Ukraine (HUR) wamefanikiwa kuvunja ulinzi wa Jeshi la Majini la Urusi na kupata nyaraka za ndani zinazohusu manowari mpya ya daraja la Project 955A...
Muungano wa kijeshi wa NATO unaratibu ufikishaji wa kawaida wa silaha kubwa kwa Ukraine baada ya Uholanzi kusema itatowa mfumo wa ulinzi wa anga, risasi na msaada mwengine wa kijeshi wenye thamani...
Ni ukweli kwamba anachofanya Ibrahim Traore ni jambo zuri in term of mabadiliko ni jambo ambalo waburkinafaso wanafurahia na waafrika wote wanafurahia
Hawa viongozi wengi wa Afrika ambao ni...
Jeshi la Israel linasema limefanikiwa kulidunguwa kombora lililorushwa kutoka nchini Yemen mapema leo.
Taarifa hiyo imekuja baada ya milio ya ving'ora vya hadhari kusikika kwenye maeneo kadhaa ya...
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema hakuna mtu anayekufa kwa njaa Gaza na kwamba Israel haijawahi kuwa na sera ya kuwanyima Wapalestina chakula
“Tunaruhusu misaada ya kibinadamu...
Trump anapaswa kukumbuka jinsi 'mkono uliokufa' ulivyo hatari," ni maneno ambayo rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev alitumia akihutubia Marekani, suala ambalo liliikasirisha Ikulu ya...
Wakuu,
Kwanini China kila ugonjwa mbaya unaanziaga huko? Baada ya COVID sasa umekuja huu mwingine unaitwa Chikungunya na kuna watu 7,000 tayari wameathirika.
Mnaonaje China ikatengwa ili mambo...
Shirika la anga la Marekani (Nasa) limepanga kuharakisha ujenzi wa kinu cha nyuklia kwenye Mwezi ifikapo 2030 kama sehemu ya mpango wa kuanzisha makazi ya kudumu ya binadamu kwenye uso wa Mwezi...
Kinachoweza kubadilisha kinachoendelea kutokea Palestina hakuna isipokuwa ni rehma za Allah.Si mataifa majirani,ndugu wala marafiki wa Ulaya pamoja wapenda haki duniani wanaoweza kubadili...
Wizara ya Nishati ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kukamilika kwa utengenezaji wa bomu jipya la nyuklia aina ya B61-13. Wakati dhana ya jumuiya yenye hatma ya pamoja ya binadamu inazidi...
Babu kachoka na visingizio na kutishiwa Nyau eti Uingereza sijui Canada kaamua kuwaambia kama Mbwai mbwai tu so Palestina kutawanywa watakuwa Taifa katika nchi kadhaa Duniani ila Sio katika Ardhi...
Waziri wa Usalama wa Israel, Itamar Ben-Gvir ametembelea eneo la Msikiti wa al-Aqsa mjini Jerusalem na kusali huko, na kukiuka mpango wa miongo kadhaa unaohusu mojawapo ya maeneo nyeti zaidi...
Kijana mwenye kipaji cha michezo aitwaye Abu Khater mwenye umri wa miaka 17 amefariki kwa kukosa kula chakula na kunywa maji kwa muda mrefu.
Kwa mujibu wa manesi wa magofu ya hospitali ya Ashifa...
Wanaukumbi.
Amir alikuwa mvulana mdogo ambaye alifika bila viatu mwishoni mwa Mei katika mojawapo ya vituo vya usambazaji chakula vya Wakfu wa Gaza Humanitarian Foundation (GHF). Alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.