International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Naona kila nikiisoma habari hii sipati kuelewa inasema Marekani wanailipa pesa Iran mabilioni ya dollar ili tu kuwaachia wafungwa wa kimarekani walioshikiliwa huko Ni kama Marekani wamekubali...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Jaji wa mahakama jijini Newyork ametupilia mbali pingamizi la Rais Donald Trump la kuzuia wananchi wenye visa ama wakimbizi walioruhusiwa kuingia Marekani kabla hajatia sahihi sheria mpya ya...
2 Reactions
105 Replies
11K Views
Salaam ziwafikie. Eti ni swali tu. Is it by accident au by design? Kila ukanda wa Afrika una mgombea wake wa uenyekiti isipokuwa Afrika Kaskazini. Kuna sheria yoyote inayozizuia nchi za North...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Watu 47 wakiwemo watoto 10 na maharusi waliotoka kufunga ndoa wamefariki dunia na wenginie 22 kujeruhiwa baada ya lori kuacha njia na kutumbukia mtoni huko Madagascar. Lori hilo lilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mtu uje kuniambia Trump ni ana nia nzuri, nitaomba ukapimwe akili kwanza. Nia ya Trump ni kurudisha nguvu ya Marekani iliyokuwa hapo awali na si kuongeza maendeleo, hivyo waafrika acheni...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
Iran imejibu mashambulizi baada ya wairan wawili kuzuiliwa kuingia Marekani kufatia sheria mpya ya Trump. Iran imweka Ban pia kwa Raia wa Marekani hakuna Kuingia Marekani. Nimeanza kuamini maneno...
12 Reactions
140 Replies
14K Views
Mhubiri wa zamani wa Kiislamu nchini Nigeria, ambaye alioa takribani wake 86 amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 93. Mohammed Belo Abubakar, maarufu kama Baba Masaba, amefikwa na mauti akiwa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Yahoo news and Fox News Ina report watu wengi wa iran na Iraq na nchi za waslam wengi wamekwama transit na ticket zimefutwa .ATF wameomba Airline yoyote kutokubali mtu yoyote kupanda ndege ambayo...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Shirika la habari la Aljazeera kupitia kwa mwandish wake mjini S.Carolina, limemnukuu Rais D.Trump akisema "we aim to put radical islamic terrorist out of United States. We don' want them here. We...
14 Reactions
179 Replies
14K Views
Watu wengi wameshangaa sana licha ya kuwa rais lakin bado fb na twiter acc za trump anazitumia kufikisha taarifa muhimu!!!!!!!! Nilichogundua ni kwamba vyombo vya habari havipo upande wake na...
2 Reactions
4 Replies
882 Views
Rais Duterte wa Ufilipino amelituhumu Jeshi la Polisi nchini humo kuwa limejaa Rushwa na linakwamisha harakati za serikali yake katika kupambana na wauza mihadarati. Kutokana na hilo, Rais...
0 Reactions
0 Replies
761 Views
One American commando was killed and three others were injured in a fierce firefight early Sunday with Al Qaeda terrorists in central Yemen, the US military said. In the first counterterrorism...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Mzungu akipigania Wahamiaji haramu waingie na kuishi nchini mwake, halafu kesho analalamika crime imezidi, Wanawake wanabakwa, tolerance hakuna, wakati huo huo hawa hawa Wahamiaji nchini mwao...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
From Missing Chibok Girls, To Missing Budget, Now Missing President – Nigerians Storm London In Search Of Buhari WHO's next ???????????? Following concerns expressed over the authenticity of the...
0 Reactions
5 Replies
830 Views
Majambazi wa kiteknolojia nchini Japani waiba zaidi ya Yuan bilioni 1.4 sawa sawa na Tsh Bilioni 27.9 (Ksh Bilioni 1.29) kupitia ATM 1,400 katika miji kadhaa nchini humo ndani ya masaa 3. Wizi...
5 Reactions
21 Replies
5K Views
Kuna mambo yanaendelea Mexico ambayo vyombo vya habari haviyapi kipaumbele. Haya magenge yanaua watu vibaya sana kwa kuwakata vichwa kama kuku kisha kuchapanga mwili na mapanga. Ni kawaida kukuta...
6 Reactions
51 Replies
7K Views
Naam, hiyo ndiyo demokrasia ya Marekani. Huwanyamazishi wapinzani wako baada ya kuapishwa kuwa Rais, mwisho wa uchaguzi ndio mwanzo wa harakati za kisiasa. Rais Obama, pamoja na ushindi wa...
16 Reactions
266 Replies
22K Views
lhan Omar, mwenye umri wa miaka 34, ameweka historia kwa kuwa mbunge wa kwanza mwenye asili ya Kisomalia nchini Marekani. Mwanamke huyo Muislamu mwenye asili ya Somali na Marekani ndio raia wa...
3 Reactions
28 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…