International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Takribani wanafunzi 60,000 waliomaliza elimu ya sekondari nchi Burkina Faso wameanza mafunzo ya uzalendo yatakayodumu kwa mwezi mmoja kama sehemu ya kuwajengea uwezo wa kutetea na kupigania taifa...
1 Reactions
3 Replies
422 Views
Mwanamke wa Saudia Noura Salem Al- Shammari ametoa figo yake moja na kumchangia mke wa pili wa mumewe Taghreed Awadh Al-Saadi, ambaye alikuwa akiteseka kwa miaka mingi baada ya figo yake kufeli.
2 Reactions
17 Replies
996 Views
Mnamo Agosti 2025 Serikali ya Marekani ilitangaza ongezeko la zawadi hadi dola milioni 50 kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwa Rais wa Venezuela Hatua hiyo ilichukuliwa...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Rais wa Marekani Donald Trump aliweka maono yake ya kuifanya Washington DC kuwa "kubwa tena" mapema leo, akiahidi kukabiliana na uhalifu na ukosefu wa makazi katika mji mkuu wa taifa...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Mke wa aliyekua rais wa Korea Kusini, Kim Keon Hee, amekamatwa baada ya Agosti 12, 2025 usiku mahakama kutoa hati ya kumtia mbaroni kufuatia tuhuma za ufisadi ambazo yeye amezikanusha, kwa mujibu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wicknell Chivhayo: Mfanyabiashara Anayejenga Afrika Kupitia Ukarimu Mfanyabiashara maarufu kutoka Zimbabwe, Sir Wicknell Chivhayo, ameweka historia kama mmoja wa wafadhili wakubwa zaidi Afrika...
0 Reactions
2 Replies
469 Views
Mwanakulitafuta, Mwanakulipata Ibtissame Lachgar wa nchini Morocco anatuhumiwa kwa kuweka picha akiwa amevalia shati ambalo linauchukiza Uislamu, na kuandika maelezo ambayo pia yalikuwa...
11 Reactions
83 Replies
3K Views
According to Gallup's latest poll, several current and former Trump administration officials have also seen plunging favorability ratings, including secretary of state Marco Rubio, and president...
5 Reactions
56 Replies
3K Views
Idadi ya nchi zinazotangaza kutambua taifa la Palestina inaendelea kuongezeka, ambapo zaidi ya mataifa 145 sasa yanatoa wito wa kutambuliwa kwake kimataifa Nchi nyingi zilizotambua taifa la...
3 Reactions
1 Replies
364 Views
Kuna zaidi ya watumwa Waafrika milioni 2 katika nchi zilizotawaliwa na Waarabu, na mamia ya maelfu zaidi huleta walionunuliwa na kuuzwa na Waarabu na Waislam nchini Nigeria, Sudan, Mauritania...
8 Reactions
84 Replies
3K Views
Ofisi ya Waziri Mkuu wa Ureno Luis Montenegro imetangaza Alhamisi kuwa itatathmini iwapo itaitambua Palestina kama taifa huru wakati wa hadhara kuu ya Umoja wa Mataifa mwezi Septemba mwaka huu...
3 Reactions
6 Replies
400 Views
Ni nadra sana kushuhudia Piers Morgan akikubali mtazamo wa dunia ulio tofauti kabisa na msimamo wake. Piers Morgan, ambaye yeye mwenyewe ni mashine kali ya hoja na fikra, anajulikana kwa kuingilia...
0 Reactions
2 Replies
374 Views
06 August 2025c Minnesota Man Is Sentenced to 28 Years in Federal Food Aid Fraud https://m.youtube.com/watch?v=5FTjSSg6qBo Abdiaziz Shafii Farah, 36, played a leading role in a scheme that stole...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hebu angalieni hapo Chini kwenye picha ndege teule zilivyojipanga, zilivyoegeshwa kwa ustad wa hali ya juu. Ni ndege teule takatifu kutoka shirika teule takatifu Eli Al la nchi Teule takatifu ya...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Mke wa aliyekua Rais wa Korea Kusini, Kim Keon Hee, alifika mahakamani kusikiliza kesi inayomkabili kilichodumu saa tano, lakini hakimu hajatoa uamuzi kuhusu ombi la waendesha mashtaka la kutaka...
0 Reactions
2 Replies
569 Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema atautumia mkutano wake unaotarajiwa na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, kupima mawazo ya kiongozi huyo kuhusu namna ya kumaliza mzozo wa Ukraine. Viongozi...
0 Reactions
0 Replies
516 Views
By DASSU M.M.N.L.S.(11/08/2025) A former US secretary of state Henry Kissinger once said",America has no permanent friends or enemies, only interests". He went to a greater lengthy delianating...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Niko naangalia CHAN hapa MECHI zinazochezwa Kenya viwanja vyao vizuri Sana. Hii Nyayo Stadium imetulia Sana
18 Reactions
163 Replies
6K Views
The tide in the US is slowly turning against politicians who support the atrocities in Gaza. Could any of this have been possible without the thriving independent media platforms and the internet...
0 Reactions
0 Replies
189 Views
Back
Top Bottom