Moja kwa moja kwenye swali langu.
Mahakama ya ICC ilimhukumu Putin kwa makosa yanayohusiana na vita ya Ukraine na kutaka akamatwe.
Sasa ni wazi Putin ataenda kuongea na Rais wa Marekani Bwana...
Sisi yetu ni macho tu kushuhudia laana inayoendelea kuwapata madhalimu duniani.
Kwa sasa taifa la Marekani chini ya Trump linayumba sana na halijielewi linakoelekea.
Trump amewahi kudai pesa...
Magaidi wa Hezbollah wanaendelea kuteka nyara misaada ya chakula ambayo ilipaswa kuwafikia wananchi wa Palestina badala yake misaada hiyo magaidi hao wanaipeleka kwenye Mahandaki!!!
Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben Gvir ametembelea gereza la mfungwa mashuhuri wa ugaidi wa Kipalestina Marwan Barghouti na kutoa tishio, picha zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii, na...
Mkono mrefu wa Majeshi ya Israel unaendelea kuwabinya na kuwanyong’onyeza magaidi wa Hezbollah huko Lebanon baada ya kuanza kuwalenga popote walipo na kuwaangamiza.
Lebanon kusin sasa hivi...
Seneta wa Colombia na mgombea urais, Miguel Uribe, amefariki dunia miezi miwili baada ya kupigwa risasi kichwani katika shambulio la kulengwa mahsusi lililotikisa taifa hilo la Amerika Kusini...
🇮🇱 Ofisi ya Waziri Mkuu:
Baraza la Mawaziri la Usalama limeidhinisha pendekezo la Waziri Mkuu la kushindwa kwa Hamas.
IDF itajiandaa kuchukua udhibiti wa Jiji la Gaza huku ikitoa misaada ya...
kwamba atajaribu kurejesha baadhi ya maeneo ya Ukraine wakati wa mkutano wake na Rais wa Urusi Vladimir Putin Ijumaa ijayo.
"Urusi imechukua sehemu kubwa ya Ukraine. Wamechukua eneo muhimu...
Shirika la Ujerumani lililotaka kuchunguza ili liiwekee vikwazo Israel kwa Kusababisha Njaa na Mateso kwa Wa gaza limegundua kuwa ni maigizo yanayoandaliwa a Hamas kuhadaa Dunia kampeni ambayo...
Baraza la Katiba la Cameroon limeunga mkono uamuzi wa tume ya uchaguzi ya nchi hiyo wa kumwondoa kiongozi wa upinzani Maurice Kamto katika uchaguzi wa urais wa tarehe 12 Oktoba.
Wakati...
Seneta wa Marekani Lindsey Graham ameonya kuwa ikiwa Marekani itasitisha misaada kwa Israel, basi Mungu atailetea taifa hilo adhabu.
Akizungumza katika hafla ya kuchangisha fedha ya 58 ya...
Hii ni syndicate inayojificha nyuma za mamlaka kwenye mataifa ya uarabuni, kwa kuwaaidi viongozi wa mataifa haya usalama, ulinzi, wa kuendelea kuwepo madarakani au kutowekwa hatiani ili wao wapewe...
Jeshi la Korea Kusini limesema mapema hii leo kwamba limeanza kuondoa vipaza sauti vilivyopo kwenye eneo la mpaka na jirani yake Korea Kaskazini, kama hatua ya kupunguza mvutano kati ya mahasimu...
Rais Volodymyr Zelensky amesema Ukraine itakataa pendekezo lolote la Urusi la kulitoa eneo la Donbas kama sharti la kusitishwa kwa mapigano, akionya kuwa linaweza kutumika kama chachu ya...
Shirika la Chakula Duniani la Umoja wa Mataifa (WFP) limesitisha safari za ndege kuelekea mji wa Solle, kaskazini magharibi mwa Burkina Faso, baada ya mlipuko kutokea karibu na helikopta...
Mwanasiasa wa chama cha Republican nchini Marekani, Solomon Pena, ambaye alishindwa kwenye uchaguzi wa jimbo la New Mexico mwaka 2022, amehukumiwa kifungo cha miaka 80 jela kwa kuandaa...
Mahakama ya kijeshi mjini Mogadishu imewahukumu kifo askari wawili wa Somalia waliopatikana na hatia ya kushirikiana na kundi la kigaidi la Al Shabab kupanga mauaji ya kamanda wao wa kikosi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.