International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wakuu hapa JF, Great Thinkers, Putin aliyeonana na Trump jana huko Alaska ni Putin halisi au muigizaji. Putin ni kiboko...
9 Reactions
46 Replies
3K Views
Barani Asia, utawala wa Korea Kaskazini unafuatilia kwa karibu hali ya Iran. Mashambulizi y a Marekani kwenye maeneo ya nyuklia ya Iran mwishoni mwa juma lililopita linaweza kuishawishi Korea...
3 Reactions
7 Replies
700 Views
Marekani haishambulii Korea Kaskazini kwa sababu kuu kadhaa, zikiwemo: 1. Tishio la silaha za nyuklia - Korea Kaskazini ina silaha za nyuklia na imekuwa ikitishia kutumia dhidi ya Marekani na...
0 Reactions
8 Replies
892 Views
Salaam Wanazuoni, Vladimir Putin alipokelewa Marekani kama Mfalme wa Wafalme. Viongozi wengi hawakuwahi kupokelewa vile nchini Marekani. Sijui sana ila nionavyo kupokelewa katika kambi ya jeshi...
17 Reactions
57 Replies
3K Views
Hawa waarabu mpango wa greater Israel huu hai Netanyahu kawatonya tena wakae wakijua watafuatwa mmoja baada ya mwingine kila mmoja atafikiwa kwa wakati wake kwenye ile greater Israel...
2 Reactions
53 Replies
2K Views
Putin ameonekana mnyonge sana kuitwa na kwenda Marekani ni kuonesha Putin yupo hoi. Huo ni ukweli ambao hatutakubaliana nao sababu tulikuwa tunaamin Putin ni mbabe sana. Miaka yote naamini...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Hakukuwa na makubaliano rasmi Mkutano ulimalizika bila matokeo madhubuti hakukuwa na mapatano ya kuacha mapigano au kipindi maalum cha amani nchini Ukraine . Masaibu ya kisiasa kwa Trump katika...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Hostages Square mjini Tel Aviv inazidi kujaa watu wakiwa wamebeba mabango na kuvaa riboni za njano asubuhi ya maandamano wa nchi nzima ulioitishwa na familia za mateka huko Gaza...
0 Reactions
0 Replies
436 Views
Hawa watu kwenye hii dini ya muarabu sijui nywele za wanawake huwapa mzuka au nyege au nini, yaani jamaa bila aibu na likanzu sijui lijoho lake anazurura hospitalini akichukua video ya kila...
2 Reactions
9 Replies
881 Views
Historia ya kale Ya Rwanda Wakazi wa kwanza huaminiwa kuwa wawindaji wa jamii ya Wasani. Katika karne za kwanza BK walifika wahamiaji Wabantu wenye ujuzi wa kilimo na uhunzi. Rwanda ilikuwa eneo...
2 Reactions
13 Replies
6K Views
Mpaka sasa Urusi imepoteza watu wengi sana katika vita yake na Ukraine, si ukiwazia tu wapiganaji waliokufa, bali pia wale waliojeruhiwa au kupotea — na ripoti kutoka vyanzo mbalimbali vinaelezea...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Habari: Putin na Trump Wakutana Alaska Licha ya Shitaka la Kukamatwa na ICC Anchorage, Alaska — Agosti 15, 2025 Leo Rais wa Urusi Vladimir Putin na Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kimondo kilichogonga nyumba nchini Marekani kina umri mkubwa kuliko sayari ya Dunia, wanasayansi wamesema. Kitu hicho kilisafiri angani katikati ya mchana kabla ya kulipuka katika anga la jimbo...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Ikiwa ni kweli; Je, viongozi wa Sudan Kusini watajifunza kutokana na historia au watatanguliza njaa zao? Kipindi kile Janjaweed wanawaua Wasudan weusi, wanahistoria wakasema kuwa, Wasudan weusi...
1 Reactions
9 Replies
638 Views
Chonde chonde turuhusuni tufikie wahitaji El Fasher, Sudan – WFP © WFP/Mohamed Galal Njaa na mabomu vilimlazimu Sondos mwenye umri wa miaka minane na familia yake kuukimbia mji mkuu wa Darfur...
0 Reactions
3 Replies
360 Views
17 Aprili 2025 Goma, Jimbo Kivu ya Kaskazini DR Congo KUTOKA OFISI KUU ZA M23 MJINI GOMA https://m.youtube.com/watch?v=8ejxs6ue7D0 Katika mahojiano haya ya kipekee, Corneille Nangaa, Mkuu wa...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Zaidi ya watu 300 wameripotiwa kupoteza maisha kaskazini magharibi mwa Pakistan kufuatia mvua kubwa na mafuriko yaliyodumu kwa siku mbili, kwa mujibu wa taarifa za maofisa wa eneo hilo. Mvua hizo...
0 Reactions
1 Replies
681 Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov amesema kwamba Urusi haitakubali kurejesha ardhi iliyokwisha itwaa kutoka Ukraine katika mazungumzo ya kutafuta amani yanayotarajiwa kufanyika leo...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Hivi karibuni, ili kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Chikungunya, mkoa wa Guangdong, China uliachilia mamilioni ya mbu maalumu, ambao wanaweza kula mbu wanaoambukiza virusi hivyo. Utafiti wa...
2 Reactions
7 Replies
619 Views
Back
Top Bottom